Wanachama mwenzangu ambao mmepigwa ban kwanza poleni sana kwa changamoto hiyo,haiumizi ila inashangaza kiasi…nadhani pia ni muda wenu kutafakari kidogo kuhusu kupigwa kwenu ban.
Imagine mwanangu sana Binti wa zamani ulitaka kunisalimia leo halafu ghafla bin vuu,upepo umepita na chaukucha(steam...