kujibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  2. JamiiForums Tanzania Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
  3. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe. Tanganyika ilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama ilimkutaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
  5. JamiiForums Tanzania Mahakama iliamuaje Lissu ana kesi ya kujibu kwenye kosa lisilokuwepo Kisheria?

    Nimefuatilia submission ya Lissu na nimeshangaa ya kwamba ilikuwaje mahakama ikaona Lissu ana kesi ya kujibu. Kosa analoshtakiwa nalo Lissu halipo kisheria hasa kwenye kosa la Uhaini. Jamhuri inamshtaki Lissu kwa kosa la kuchochea umma ili kuitisha serikali. Ila ukienda kwenye Sheria ya kanuni...
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO: Huyu ndie mtanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kujibu maswali ya waandishi

    Mtangazaji: ukisikia elimu Bure wew unaelewa nini? Mtanzania genius: naelewa ni kitanda ambacho wamenitandikia na kukaa na kuongea ongea kikawaida Lissu kazi anayo , kutukomboa sisi nyumbu yataka moyo wa imani
  7. JamiiForums Tanzania Nikituma sms ukichelewa kujibu hatuongei tena

    Ni muda gani unauchukua kujibu baada ya kuusoma au kusubiri majibu kutoka kwa mtu ambaye umemtumia ujumbe mfupi wa maneno (message)? Kwa upande wa mwigizaji Nia Long wa Marekani yeye aliwahi kusema kuwa akimtumia mtu ujumbe alafu ukachukua siku zima kujibiwa hatazungumza na huyo mtu tena kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua nini maana ya kuwa na “Kesi ya kujibu” katika sheria

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Naomba kujua ni nini maana ya kesi ya kujibu kama ilivyotokea leo kwa mghwai? LONDON BOY
  9. JamiiForums Tanzania Hata kama Jaji ningekuwa mimi Kavulata angekutwa na kesi ya kujibu

    Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba...
  10. JamiiForums Tanzania Leo ndio leo! Je, Tundu Lissu ana kesi ya kujibu? Niliwahi shuhudia Miraji akimkwida Kikwete!

    Nina mengi ya kuandika kabla ya saa 3 asubuh ya Leo ili andiko langu liingie kwenye rekodi. Mtoto wa raisi ana nguvu Gani kwa kesi ya Lissu? Je Lissu kuwa huru Kuna madhala Gani kwake? Mbona ridhiwani kikwete hakuwai kuwa mwiba kwa Dr slaa alivyokuwa akimtaja majukwaani live dhidi UTAWALA wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

    JE WAJUA? KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU? Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atapewa" kesi ya kujibu

    Baada ya kukubaliana namna ya kuondoa kesi na ili isionekane kuwa serikali alimbambikia kesi "atapewa" kesi ya kujibu kisha muda mfupi baada ya kuanza utetezi ndipo DPP ataleta ile "taarifa". (Rejea kesi ya FEM) Hii itawapa faraja kubwa wahafidhina kuwa pamoja na serikali kutoendelea na kesi...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoka High Court - DSM: Submission ya "No Case to Answer" ya Tundu Lissu (full text) baada ya Jamhuri kufunga ushahidi wao leo 17/8/2026

    Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
  14. JamiiForums Tanzania Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

    Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako. Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnashindwa kujibu hoja za humu jukwani au na nyinyi hamjui mnataka nini au ni Dharau?

    -Tumeuliza nani anawatunza akina pambalu na Hilda Newton huko Kenya hamjibu. -Tumewauliza kwanini Lissu alichangisha watu Hela ili akanunue gari lakini akaishia kukarabati gari Hela za watu alipeleka wapi? Kimya....huu ni utapeli - Tumeuliza mapato na matumizi ya join the chain kimya.... huu...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watanzania wakiulizwa Swali hujibu kwa Swali?

    Nauliza tu...
  17. JamiiForums Tanzania Ufahamu: Kusikiliza Kutafakari au Kujibu?

    Unajua kwamba watu wengi wenye upeo wa chini wa ufahamu, husikiliza ili kujibu na hutazama ili kusimulia. Tofauti na watu wenye upeo wa juu ambao wao husikiliza ili kutafakari na hutazama ili kuona. Wapumbavu hudhani kutazama inawasaidia kufahamu kwa kuwa maisha yao yanaendeshwa na hisia za...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto namuuliza swali na akashindwa kujibu

    Nimeota namuuliza swali Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwamba Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini? Nyerere akashindwa kujibu, akalia sana akaanza kusema yeye kama mjenga misingi alifanya makosa makubwa sana kuiacha CCM kwenye genge la wahuni, na kuwanyima wananchi katiba inayohost...
  19. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa hakutakiwa kujibu chochote kwakua mahakama hii haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo.

    Naomba kujuzwa ,kwanini kesi ipelekwe kwenye mahakama ambayo haina uwezo wa kusikiliza kesi husika ? Au utaratibu na protocol za kisheria ndio unataka hivyo. Naombeni wataalamu nisaidie majibu.
  20. JamiiForums Tanzania Suala la mamlaka haramu kuitumia kampuni ya airtel kufungia namba za watu tunalichukulia kama mwendelezo wa kujiongezea kesi za kujibu

    Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii baadae. Washauri wa samia ni akina kingwendu kila kitu ni sifuri wanachochea moto zaidi tunaongozwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…