Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii baadae.
Washauri wa samia ni akina kingwendu kila kitu ni sifuri wanachochea moto zaidi tunaongozwa...
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.
Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.
DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania, @kenanikihongosi amesema CCM haitapoteza muda kujibu propaganda zinazoenezwa na watu wasiolitakia mema Taifa, badala yake itaendelea kuzingatia wajibu wake wa kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Chama ili kuhakikisha...
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
2. First...
TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA
Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi.
Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani
Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
Hehee hee! Labeka wanawanyu. Mayii! Mnajionea wanavyopagawa hehee. Wachekesha. Sasa vitambulisho si muliwauzia wenyewe kwa vitamaa vyenu. Sio raia wana nida card na ile vote Id. Mliwapa wenyewe. Leo mwakagua kila mtu heeeh. Nye Nye Nye. Mwakamatana wenyewe. Wahusika wapo vitengo nyeti...
Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini...
Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena.
GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
Uwiano wa kujibu nyuzi na kuzitama/soma jukwaani, hasa jukwaa hili la siasas unashangaza!
Kwa haraka haraka sana uwiano ni kama ifuatavyo kwa uchache:
1. Nyuzi za Leo-74/994; 2/10; 29/698; 10/134; 16/282;,na 24/307
2. Nyuzi za jana kurudi nyuma- 61/2000; 164/3000; 15/214; 15/219; 4/126...
Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake.
Naomba...
TANGAZO
Usikose kutazama mjadala maalum utakaorushwa moja kwa moja kupitia kituo cha televisheni ITV leo saa 3:00 usiku kwenye kipindi cha DKT 45.
Mjadala huu utakuwa na mgeni rasmi Bw. David Kafulila mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC, ambapo pamoja na mambo mengine, ataeleza kwa kina...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa .
Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya.
SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
Singida. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu Askofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu Mwanamapinduzi amekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida mkoani Singida.
Hatua hiyo...
Baada ya Mahakama Kuu ya Masijala ya Dar es Salaam kukubali ombi la upande wa Jamhuri la kuficha majina na taarifa nyingine za mashahidi raia wa upande wa Mashitaka katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, chama hicho kimesema kinaipinga Sheria hiyo ya iliyopitishwa...
Shalom wakuu,
Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya;
1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult)
Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii...
Hapa afande muriro kama unasoma JF umekosea sana kujibu kitu ambacho sio sehemu yako sababu polisi kazi yake kusimamia usalama pamoja na raia na mali zao.Sasa inakuwaje mambo ya siasa ukaweza kuyajadili ambayo maneno wanayotumia CCM na wewe ndio unatumia hayo hayo.
Siku mabadiliko yakija...
Huyu Bashe Kwa Lugha nyepesi kabisa unaweza muita ni CHAWA asiyemtanzia ambaye anatumia Janja kujiweka karibu zaidi ya Mamlaka ya Juu, ili aendelee kuchukua Nafasi za Watanzania.
Suala lake la Sukari, Mnunuzi Mmoja wa PAMBA, huku wakulima wakizidi kua Masikini Hana namna ya Kulikwepa, Njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.