kujeruhiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

    Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni. Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo...
  2. Pulchra Animo

    GE2025 Pendekezo: TLS Watusaidie Kukusanya Taarifa Za Raia Waliouawa au Kujeruhiwa Kwa Risasi Za Moto Tangu 29 October 2025.

    Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025. Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
  3. R

    Takribani watu 30 wamefariki na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya jengo la Kanisa kuporomoka Ethiopia

    Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria...
  4. R

    Takribani watu 800 wamepoteza Maisha na 2,500 kujeruhiwa na Tetemeko la Ardhi Afghanistan

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha idadi ya vifo takribani 800 na majeruhi zaidi ya 2,800. Idadi hiyo imekuwa ikiongezeka zaidi ya...
  5. U

    Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  6. Just Pray

    Lori lagonga daladala Mwenge mataa, watu watano wanadaiwa kujeruhiwa

    Mapema leo mida ya Saa 12 asubuhi EATV imepokea taarifa ya kutokea kwa ajali ya gari kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Sam Nujoma, maeneo ya Mwenge Mataa ambapo Lori lililokuwa linatoka barabara ya Bagamoyo kuelekea Makumbusho linasemekana kuwa limegonga daladala inayofanya safari zake...
  7. Mindyou

    Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  8. BLACK MOVEMENT

    Mtu wa kwanza kukamatwa lile tukio la kujeruhiwa kwa Padri Kitima mbona hapelekwi mahakamani? Au movie imebuma?

    Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni? Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima. Move imekuja kuharibika kupitia...
  9. L

    Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi wa kina kubaini watu wote walioteswa na kujeruhiwa kwa vipigo na CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Tukio la Kupigwa ,kuumizwa ,kujeruhiwa na kuteswa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa limewaacha watu na maswali Mengi sana vichwani Mwao. Watu wanajiuliza ikiwa Kiongozi mwenye cheo cha Mwenezi wa BAWACHA Taifa anaweza kutendewa unyama wa aina ile wa kupigwa kikatili...
  10. Echolima1

    Ujinga na upumbavu wa waarabu waokoa mamia ya watu kufa au kujeruhiwa kwenye mabasi huko Israel

    Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel. Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi...
  11. Dalton elijah

    Geita: Wanafunzi Saba wafariki na wengine kujeruhiwa na Radi

    Wanafunzi wa Kidato Cha Tatu Shule ya Sekondari Businda Wilayani Bukombe Mkoani Geita, wamepoteza maisha katika msiba, huku wengine 82 wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa Masomoni Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Paskas Muragili amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea leo Jumatatu...
  12. S

    Haikutokea enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete, bali enzi za Magufuli na Samia, wananchi kushangilia vifo na kujeruhiwa viongozi na waandamizi

    Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa" Na Nyerere alipokufa ni kweli Watanzania tulilia sana. Tulilia pia alipokufa Waziri Mkuu wa enzi hizo, Edward...
  13. Waufukweni

    HONG KONG: Mzee wa miaka 62 aua Watu 35 na kujeruhiwa 43 kwa kugonga na gari baada ya kutoridhika na maamuzi ya talaka

    Watu 35 wamefariki na wengine 43 kujeruhiwa baada ya dereva aliyejaa hasira kutokana na kutoridhika na makubaliano ya talaka ya mgawanyo wa mali kuendesha gari lake kwa makusudi kwenye kundi la watu waliokuwa wakifanya mazoezi katika kituo cha michezo cha Zhuhai, mji mmoja wa China. Tukio hili...
  14. Mtoa Taarifa

    Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali ya Lori na Hiace mkoani Tabora

    Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya abiria dogo aina ya Toyota Hiace kuligonga lori kwa nyuma wilayani Nzega mkoani Tabora leo Alhamisi Novemba 7, 2024. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. ================ Watu 14 wamefariki...
  15. P

    Lebanon: Baada ya jana kwa Pagers za Hezbollah kulipuliwa, leo Radio Calls zao zalipuka; Watu 14 waripotiwa kufariki

    Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon. Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah kulipuka ghafla Utakumbuka kuwa jana Pagers za Hezbollah zililipuka ghafla na kusababisha vifo vya watu...
  16. MK254

    Wanajeshi 19 wa Iran waliuawa na wengine 150 kujeruhiwa kwenye shambulizi la Israel la kutumia elektroniki

    Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine.... Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard warriors...mnapigwa kote, mpaka sasa pale Gaza idadi ya mizoga yenu inasoma zaidi ya 40,000 Mlilianzisha...
  17. Roving Journalist

    Muliro: Aelezea tukio la mhalifu kujeruhiwa kwa risasi maeneo ya Tanganyika Packers

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne amesema Askari wa Jeshi hilo wamemjeruhi Mtu mmoja kwa risasi katika eneo la Tanganyika Packers wakati alipokuwa eneo hilo na mwenzake wakiwapora na kuwatishia Maisha Watu waliokuwa wakipita eneo hilo kwa kutumia mapanga.
  18. M

    Kamati yafichua wananchi waliopigwa risasi na kujeruhiwa na muwekezaji

    kamati ya bunge imebainisha vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na na walinzi wa malonje na kua vitendo hivyo vinatokana na miongozo kutoka kwa wamiliki wa shamba hilo, amesema kua kamati imebaini kuwepo na vurugu kati ya walinzi wa shamba la malonje na wananchi wa vijiji...
  19. G

    Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  20. M

    Wivu wa mapenzi: Akatwa viganja na kujeruhiwa

    Rehema Paulo (26) Mkazi wa kata ya Katente iliyopo wilaya ya Bukombe mkoani Geita amejeruhiwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani na kukatwa viganja huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea Julai 24, 2024 ambapo inadaiwa mwanamke huyo alikuwa na...
Back
Top Bottom