Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili.
Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari ya Dar kuliko nchi zote majirani
Pia kumekuwa na ongezeko la mizigo inayokwenda Kongo inayopitia...
WANAFUNZI KUACHA KUTEMBEA KILOMITA KUMI KWENDA MASOMONI: WANAKIJIJI WAAMUA KUJENGA SEKONDARI YAO
Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni vya Mayani na Tegeruka.
Sababu zinazohamasisha ujenzi wa sekondari ya Kijiji cha Kataryo:
(a) Kijiji cha Kataryo...
Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana.
Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
Habari wana JF
Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar.
Karibuni...
Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha.
Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi.
Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
Uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu iliyopo Kata ya Machame Uroki Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro uliyokuwa ukihatarisha usalama wa wananfunzi katika shule hiyo kutokana na choo hicho kuwa na dalili za kutitia umepatiwa ufumbuzi baada ya Bodi ya Maji ya Uroki...
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam.
Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
Eneo kubwa linalo milikiwa na Serikali lililopo Kwembe/luguruni lilitolewa au lilitengwa na Serikali ya awamu ya 5 kwajili ya ujenzi wa Arena baada ya Mbunge wa eneo hilo kuliomba.
sasa leo hii tunasikia Arena itajengwa Kawe?!! kulikoni?
mboni wilaya ya Ubungo inatengwa kupata miradi ya...
Nimeona picha za Mhe. Rais kuzindua Boti za Wavuvi huko Tanga.
Cha kusikitisha pamoja na nchi yetu kuzalisha Ma engineer tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mradi huo wa Boti za Uvuvi unazinduliwa kwenye Pwani ya Bahari ambayo haina hata eneo maalum la kisasa la kuegesha na...
Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi nchini ni kama majengo yanafanana, hakuna utundu. Niliwahi kutoa challenge watu wajadili ubunifu...