kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaosema kujenga ni kuzika pesa

    Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba? Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba inapanda kila siku? Hivi mtu aliyejenga nyumba Kariakoo miaka ya 1970s kwa shs laki 1 alafu amekuja kuiuza...
  2. JamiiForums Tanzania Issa Shivji: Ufutaji wa Uchifu Kisheria, ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa

    Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali. Ufutaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ijenge jengo litakalokuwa na vizimba 500,000 Karume

    Ipo haja Kwa Serikali yetu tukufu kujenga soko la kisasa Karume litakalojumuisha, vizimba, stoo, maeneo ya mama lishe Kwa hesabu maalumu ili kukidhi haja za wafanyabiashara wote waliokuwepo hapo, vizimba vyote viwe na namba maalum za utambulisho ili kila muhitaji apatiwe kwa namba maalum...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi tumepotea njia? Tunanunua ndege kwa Cash halafu tunakopa pesa kujenga vyoo vya shule na madarasa

    Hivi hili taifa halina wachumi au watalaamu wa mipango? Hivi waliopo madarakani hawana huruma na wananchi? Taifa bado maskini kabisa ambalo huduma za kijamii na kiuchumi bado zipo duni kabisa linakwenda kukopa Tril 1.3 na kujenga vyoo vya shule na madarasa huku likitumia Cash kununua ndege za...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, sasa ni wakati wa kuunganisha Tanzania Bara na Visiwani kwa kujenga daraja

    Mh.Rais, Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT ujenge daraja kubwa linalopita juu ya bahari kutoka Bagamoyo mpaka Zanzibar ili hata wenye magari...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

    Wakuu habari za mwaka huu wa 2022! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshajenga msingi tu. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kujenga naomba kujuzwa gharama za mambo haya

    Naomba kujua ndugu zangu, idadi ya MATOFARI, MABATI, MBAO, NA CEMENT, Ambayo yataniwezesha kumaliza ujenzi wa vyumba viwili na sebule.
  8. JamiiForums Tanzania Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

    Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha. Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ubunge unalipa: Gwajima alishindwa kujenga Kanisa kwa miaka 20, kapata Ubunge juzi tu, Kanisa linajengwa usiku na mchana

    Kama kuna watu wavumilivu ni waumini wa Gwajima, waliabudu kwenye full suit ya mabati pale Ubungo, wakapigwa jua Tanganyika Pakers Kawe, wakarudi kwenye magofu Ubungo. Baada ya ubunge kanisa lake linajengwa kwa kasi usiku na mchana tena ni ghorofa, kweli ubunge unalipa.
  10. JamiiForums Tanzania Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza?

    Kwenu wataalam wa ujenzi. Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza, yaani niachana na nguzo za nondo/zege? Juu nitaweka mkanda kama kawaida. Kiutaalamu ina madhara yoyote?
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

    Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu. Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ndugai yuko sahihi - hatutakiwi kukopa kujenga madarasa, vyoo, zahanati, madawati, hivi tufanye kwa tozo na kodi

    Nimejaribu kufuatilia kinachoendelea mpaka nikashangaa watanzania walivyo mbumbumbu, nilivyomsikia ndugai sidhani kama alimaanisha watanzania tusikope kabisa bali ametizama matumizi ya mkopo wa trilioni 1.3 tuliokopa ili tujenge madarasa n.k akatazama kwenye bajeti yetu tulisema tunaweka tozo za...
  13. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, ili kujenga heshima jiuzulu Uspika wa Bunge

    Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na kukushangaa na kusema una stress za 2025 hauna budi kujiuzulu uspika. Ukikomaa kuwa wewe ni mhimili...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

    Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani. Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani. Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwanini mnakataa nchi Kukopa, wakati Kukopa Kwetu kumesaidia kujenga Darasa Zuri linaloonekana katika Gazeti la Nipashe la Leo?

    Ni Darasa zuri sana ambalo Kitaaluma litawafanya Watoto ( Wanafunzi ) Wetu wawe na Akili Kubwa za kuweza kuwafanya Wajenge nchi ili huko mbeleni tusiwe Wakopaji tena. Hongera mno kwa Mpiga Picha hiyo Shaaban Njia ( wa Gazeti la Nipashe ) kwa Picha hiyo nzuri wa Darasa la Wanafunzi kwani Value...
  16. JamiiForums Tanzania Vile tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa

    Picha ya pili ni Watanzania tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa, wakati tulishaambiwa kuwa Tozo ni kwa ajili ya kujenga madarasa😁😁😁
  17. J

    JamiiForums Tanzania Fedha za mauzo ya kitabu "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" kilichoandikwa na CDF Mabeyo zakarabati Msikiti na Kanisa huko Msata!

    Wakazi wa Msata wamemshukuru Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kwa kutoa sehemu ya fedha za mauzo ya kitabu chake kiitwacho "Wewe ni Shahidi wa Kristo?" ili kukarabati Msikiti na jengo la Kanisa Katoliki katika eneo lao Naye mkuu wa shule ya jeshi Msata ameahidi kusaidia...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kujenga nyumba ndogo pembeni kabla ya kumalizia nyumba kubwa

    Wakuu habarini za mihangaiko, nimejenga nyumba kubwa ya vyumba 3 nimeishia kuweka lenta lakini kutokana na kupanda Kwa gharama za vifaa vya ujenzi kuna uwezekano wa kuchukua hata miaka miwili Hadi kumaliza. Kuna wadau wamenishauri ili nitoke kwenye upangaji basi nijenge chumba kimoja na sebule...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi mwajiriwa anavyoweza kujenga utajiri kwa kumiliki nyumba za kupangisha zenye kipato kikubwa

    Tunatafuta usalama na uhuru. Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2). Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
  20. JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi kujenga uwanja kwa michango sio sawa

    Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari. Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…