kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    Mshahara unaweza kujenga utajiri!

    JE,INAWEZEKANA KUJENGA UTAJIRI WA VIZAZI KWA MSHAHARA WA SERIKALI?. Ndiyo! Inawezekana kabisa. Hapa, tunaamini kujenga utajiri hakutegemei pekee ukubwa wa mshahara unaoingiza mwisho wa mwezi,bali nidhamu yako ya kifedha, mipango ya muda mrefu na mkakati thabiti wa kuwekeza. Hebu tuangalie...
  2. Scared

    Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  3. A

    KERO Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
  4. N

    Kuzuia ‘Media’ ni kuziba macho ya jamii na kujenga pengo la taarifa linaloweza kujazwa na uvumi

    Katika Jamii ya Kidemokrasia, uwazi na uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu za uwajibikaji. Hata hivyo, pale ambapo Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Inapoamua kuzuia Vyombo vya Habari kushuhudia ushuhuda wa...
  5. N

    Natafuta kiwanja cha kujenga Mwanza

    Salam ndugu zangu, mimi ni mkazi wa Mwanza ninaomba kwa atakayekuwa na kiwanja kizuri chenye ukubwa wa kuanzia 30 kwa 40 ama squameter kuanzia 1000. Maeneo yoyote kuanzia Nyegezi uelekeo wa hadi Usagara.
  6. Lycaon pictus

    Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  7. ChoiceVariable

    Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  8. ChoiceVariable

    Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  9. Roving Journalist

    Tutatenga fedha za kujenga barabara ya kuelekea Kampasi ya Mzumbe Tanga - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaahidi wananchi wa Mkinga kuwa katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27 kupitia TARURA itatengwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 16 kwa kiwango cha changarawe, ambazo zitaunganisha Chuo cha...
  10. Q

    Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
  11. R

    JF administration mbarikiwe, kwa nia njema tunapata pa kutolea mawazo kujenga jamii yetu

    Asnte sana Maxence Melo ubarikiwe. Tunajitahidi kuandika sense na si vinginevyo. Watawala wangelijua hilo, ingeliwasaidia sana kujua direction nzuri ni ipi. Lakini wao wanasema direction ya nini, tuna polisi na Jeshi na Machawa. No need ya direction!
  12. W

    KERO Shule ya Sekondari Kisungu-Dar, Wanafunzi wanapewa adhabu ya kuleta tofali za kujenga uzio

    Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
  13. Mel James

    KERO Serikali, Watu wanazidi kujenga kuzunguka Uwanja wa Mpira wa Ikhanga-Igawilo Mbeya

    Habari ndugu zangu! Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya. Uwanja huu ni mkongwe sana jijini Mbeya. Umetumiwa na timu kubwa kama yanga, simba wakija Mbeya kama kambi...
  14. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Shilingi Bilioni 67 zimetumika kujenga barabara na masoko Mwanza

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) imetumia kiasi cha bilioni 67 kujenga Barabara na Masoko ili kuwahudumia wananchi wa Mwanza...
  15. figganigga

    Zanzibar wanashindwa Kuvuta Maji kutoka Dar km 67 tu? Wanakazana kujenga Misikiti

    Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe) Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali. Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you! Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la...
  16. Genius Man

    Anayeogopa kufa na kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli ni mhaini dhidi ya serikali ya mungu na anamchango mdogo kwenye kujenga nchi bora

    Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
  17. mr mkiki

    Kuna UVCCM kule Facebook: Amehoji kwanini Serikali ya Tanganyika iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi

    Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea. Ngoja nimwambie: - Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
  18. H

    Ili Tuweze Kutatua Matatizo Yetu Kama Taifa, Tunatakiwa Kujenga Utamaduni wa Kusema Ukweli

    Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
  19. Echolima1

    Mpango wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli

    Netanyahu Atangaza Mpango wa $110 Bilioni wa Kujenga kiwanda Huru cha Silaha cha Israeli Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza uwekezaji mkubwa wa shekeli bilioni 350 (takriban dola bilioni 110) katika muongo ujao ili kuendeleza sekta huru ya silaha za ndani. "Niliidhinisha jumla...
  20. The dumb Professor

    Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
Back
Top Bottom