kujadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto Kabwe anataka watu wapoteze muda kujadili viporo vya IPTL/ESCROW wakati huu?

    Ni kwamba Zitto Kabwe hajui wazi hakuna mtu mwenye akili timamu mwenye muda wa kufuatilia tena na IPTL/ESCROW nyakati hizi, hakuna mtu mwenye akili timamu atakayefuatilia suala ambalo inajulikana hakuna pesa zilizokwapuliwa zinazoweza kurujeshwa tena au mtu yeyote aliyekwapua atakayewajibishwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Watanzania wapunguze na kuacha kujadili mpira 24/7

    Kuna kasumba kubwa imewaingia watanzania. Kujadili mpira hasa Simba na Yanga masaa 24 kwa siku 7 kwa wiki hii ni hatari kwa mustakabali wa Taifa. Tumelala kushabikia Simba na Yanga huku nchi inapigwa tu. Radio zinajadili michezo muda wote. Nini kifanyike ili kupunguzaa na kufuta uraibu huu wa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri wa Mambo ya nje wa Angola kujadili maandalizi ya ziara rasmi ya Kitaifa ya Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola, Mhe. Tete António, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  5. JamiiForums Tanzania Forex experts tukutane hapa kujadili namna ya kutrade new Trump market

    Hali sio nzuri kwa upande wangu naweza kupandisha trade double lakini ikifika kuanzia saa 5 narudi nilipokuwa. Muds naomba kuweka link ili kunusuru traders https://youtu.be/5J01qKDAziM?si=fgGr9YmXU2BlCFxN Kiukweli hali ya sasa inalazimisha kuwa scalper 5min unaingia na kutoka kitu ambacho sio...
  6. JamiiForums Tanzania Wataalamu wote tukutane hapa kujadili na kushare source code za MQ4 na MQ5 ili kukabiliana na mtindo wa masoko

    Wale mtakao pendelea kujadiliana na kutoa mawazo katika masoko ya forex na jinsi ya kukabiliana nayo upande wa kutengeneza code za Expert,Indicator,Library na n.k karibuni. Uchambuzi wa masoko ni uwanja mpana wa kupeana ujanja wa kuboresha au kubuni kukabiliana na masoko. Hizi ni moja software...
  7. JamiiForums Tanzania Trump na Putin Kujadili Mustakabli wa Kumaliza Vita vya Ukraine

    Donald Trump anatarajiwa kuzungumza na Vladimir Putin siku ya leo huku wawili hao wakitarajiwa kujadili eneo na udhibiti wa mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia - Baada ya rais wa Urusi wiki iliyopita kusukuma nyuma mpango uliosimamiwa na Marekani wa kusitisha mapigano mara moja nchini Ukraine...
  8. JamiiForums Tanzania Haji Manara amtaka Rais wa Yanga, Eng. Hersi kuitisha Kikao kujadili kauli ya Rais Karia

    Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi la Yanga SC la kutaka Bodi ya Ligi ijiuzulu. Soma: Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia...
  9. JamiiForums Tanzania Naipongeza CCM kwa kufanikiwa kuwapangia Watanzania cha kujadili

    Wiki hii tumepangiwa kujadili mambo ya simba na yanga na hii ni sehemu zote si vijiweni si ofisini, barabarani, wala hospitali. Kwenye mikusanyiko yote rasmi na isiyo rasmi story kuu ni hizi timu za CCM. CHADEMA mna safari ndefu sana, hii ndiyo nchi yenu ndiyomaana yule mzee akaona awaruhusu...
  10. JamiiForums Tanzania Mnaotumia Masaa Mengi Kujadili Mpira, Mnapata Dola Ngapi kwa Siku?

    Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote? Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali...
  11. JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  12. JamiiForums Tanzania Mwandishi mkongwe Abdallah Majura, ahoji kuhusu redio kujadili michezo asubuhi

    Mwandishi wa habari mkongwe nchini Tanzania, Abdallah Majura amehoji kuhusu radio kuwa na vipindi vya michezo asubuhi na kujadili mambo ya Simba na Yanga. “Tangu asubuhi watu wanatangaza michezo tu, lakini siamini kwamba Watanzania wote wanapenda michezo tu” Nafikiri Majura atakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa EAC-sSADC wajifungia Dar es salaam kujadili usalama wa DRC

    Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkutano huo umeongozwa na Waziri Mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: DACOBOA Wakutana na Uongozi wa TRA kujaili masuala ya kikodi

    Viongozi wa Chama Cha Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam (DACOBOA) wamekutana na Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 10 Desemba, 2024 kutoka Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano na kufanya nao mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kikodi kuhusu usafirishaji wa abiria ndani...
  16. JamiiForums Tanzania Katiba na Sheria yawakutanisha Wadau kujadili utekelezaji wa mikataba ya Haki za Binadamu

    Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  18. JamiiForums Tanzania Maskofu wa KKKT tuiheshimu Katiba yetu kwanza kabla ya kujadili Katiba ya Nchi

    Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa. Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
  19. JamiiForums Tanzania HezibuLlaah hawana tena woga kupigana na Israel.Warusha maroketi wanapotaka.Netanyahu aitisha kikao kujadili hali isiyokawaida.

    Maroketi ya Hezbollah hapo jana yamerushwa maeneo nyeti sana ya Israel hasa kaskazini.Hali hiyo imemfanya Netanyahu aitishe kikao cha dharura kujadili mabadiliko ambayo yamezidisha hofu kote kote nchini humo. Ving'ora vimewashwa kote kuwafanya watu kuingia kwenye mahandaki yao.Uwanja wa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Wanarwanda kwa kutumia lugha yenu kujadili mambo yenu , baadhi ya Watz wangeweza kuingilia mijadala yenu na kuwashauri yaliyowashinda 😀

    Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu 🙏 INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…