Nemezaliwa mwaka 1975 nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18,nikiwa namiliki duka la vyakula baadaye nikaanza kumiliki duka la nguo mtaji ukapanda nikiwa na miaka 20 nikawa namiliki haice mbili. super rofo hapo sijao nimepanga naishi na wadogo zangu wawili ni mwendo wa kula bata,pombe mademu na...