kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kuhusu ramani ya nyumba ndogo ya kuishi

    Ghawizah, Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo. ♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning. ♤ Iwe na public toilet. ♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo . ♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu Kuvunjiwa mkataba

    Habari zenu humu
  3. JamiiForums Tanzania Dudu baya kauliza maswali ya msingi kuhusu Airport ya Dar es Salaam(JKNIA)

    Kwa nini Airport ya Dar es Salaam huwa hawauzi Ugali, ubwabwa kama wa mtaani, pilau, ndizi, mchicha, metembele, magimbi, mihogo, viazi vitamu, dagaa, chips mayai(zege) na vyakula vingine vya aina hiyo vya Kiswahili, Kitanzania au kiAfrika zaidi? Soma Pia: Unauonaje ushauri wa "Dudubaya" kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Nishaurini kuhusu kujitolea halmashauri

    Habarini wakuu,nimeomba nafasi ya kujitolea kwenye halmashauri,nashukuru Mungu nimepata nafasi ila nawaza kwa huu mfumo wa kila ajira kupitia utumishi,vipi kujitolea kunaweza kuwa na tija nje ya kupata uzoefu?maana kwa zamani ukijitolea halmashauri kuna viajira km utendaji unaweza kupata vipi...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kisaikolojia kuhusu mvuto katika mapenzi (الحبة)

    1.Wasichana wanapenda kuongea maneno machafu kama wavulana. Wanawake huvutiwa moja kwa moja na wale wanaojaribu kuanza mazungumzo nao ana kwa ana, 2. Neno "I Love You" lina athari zaidi ya kihisia kwenye ubongo linaponong'onwa kwenye sikio la kushoto. Wanawake huwa wanavutiwa na mwanamume...
  6. JamiiForums Tanzania Sehemu 10 Unazoweza Kupata Maarifa Sahihi Kuhusu Kutengeneza Fedha Kwenye Ardhi Na Majengo

    Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa. Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kusoma kwa Njia ya Masafa (Distance Learning)

    Wakuu, nipo huku Mtwara ndani ndani,natamani kujiendeleza kielimu ngazi ya degree kwa kozi za Afya. Naomba mnielekeze chuo kizuri cha nje ya nchi ambacho kinatoa elimu kwa njia ya masafa na kinachotambulika na TCU. Napokea pia ushauri wa kozi nzuri za Afya ambazo mtu anaweza kusoma kwa njia ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, nakutafutia ushahidi wangu kuhusu vurugu wakati wa uchaguzi

    Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
  9. JamiiForums Tanzania Nasema ukweli kuhusu uganga

    Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga. Baada ya kupewa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

    JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri kuhusu stationery

    Wajuvi habari zenu? Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary. Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine. Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna aliyekufa na kurudi na kushuhudia maandiko kuhusu maisha baada ya kifo, je mwisho mwema ni upi?

    Kuna kauli huwa inatolewa ya Mwisho mwema hasa pale inapoonekana Mtu tajiri au hawa ma celebrities/watu maarufu wanavyofurahia maisha , kwenye comments za watu utakuta tujaliwe mwisho mwema . Je kufia imani , kutotafuta pesa na kuwa maskini , kutofurahia ya dunia kunakufanya kuwa na mwisho mwema ?
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu TAMISEMI agencies

    Habari zenu wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia?? Uzi tayari
  14. JamiiForums Tanzania Nifanye nini kuhusu changamoto hii ya usaili?

    Niko shortlisted mkoa X ajira za afya changamoto ni kwamba akaunti yangu iligoma katika ku-apply ilikuwa inasema am not qualified, licha ya kuwapigia lkn hawakupokea kunitatulia iyo shida hivyo ikabidi nitumie akaunt ya mtu mwngne ku-apply japokuwa vyeti CV barua ni vyangu lkn jina linasoma lake...
  15. JamiiForums Tanzania Weka hapa uchambuzi wa kitaalamu kuhusu ligi yetu.

    Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam. Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara. Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma he zimetoka au bado

    Jaman wadau nauliza kuhusu post za ualimu diploma zimetoka au bado
  17. JamiiForums Tanzania Kuhusu NHIF

    WApendwa ni hospitali ngapi kwa sasa zimebaki kuhudumia wagonjwa ukiwa na kadi ya nhif
  18. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Zanzibar_supermotors.

    Wana jukwaa habari ya wakati huu. Bila kupoteza muda naomba kufahamu kuhusu hawa wauzaji wa pikipiki hasa brand ya Honda wanaopatikana huko zanzibar ni wa kweli kwa kiasi gani. Maana nimefuatilia bei za pikipiki kutoka kwa uzaji mbali mbali ila naona wao bei zao ni chee kiasi kinanitia mashaka...
  20. JamiiForums Tanzania Telegram: Ukweli Kuhusu Usalama na Shughuli Haramu

    Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa njia fiche (encryption), ingawa ulinzi huu hauwashiwi moja kwa moja na hauhusishi mazungumzo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…