kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuwakumbushe watoto wa 2000 na waweka mabango kuhusu mechi za simba na yanga

    Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba 1.6-0 2.5-0 3.4-1 4.3-1 5.2-0 6.1-0 Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu status ya HESLB

    Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wa jamii Forum kuhusu App na website yao

    Kwema wakuu KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi. 1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications. 2. Kwenye recently post zina jirudia rudia hata kama tayari umeshaisoma yaani inabdi ukiisoma itoke ila cha...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi "Taarifa Zinazopotosha Kuhusu Ununuzi wa Magari ya CCM"

    Katika siku za hivi karibuni, kumezuka taarifa za kupotosha kuhusu ununuzi wa magari na Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikidai kuwa CCM imenunua magari kwa bei ya juu sana. Taarifa hizo zimeambatanishwa na picha ambazo zimebadilishwa na kuwekewa maandishi ya uongo kwa lengo la kuichafua CCM. Picha...
  5. JamiiForums Tanzania Swali la Siku: Dhana gani kuhusu Chakula fulani unahisi ni Potofu?

    Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: 'Mwalimu, Naomba Usife Kabla Sijafa', Ujumbe wa Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere

    https://youtu.be/qcH8Unr_MFo
  7. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Msaada kuhusu simu za Samsung

    Habari ndugu zangu? Nisaidieni kujua ni simu gani nzuri kati ya Samsung S series na Note series na vipi kati ya S10+ na Note 10+ ipi ni nzui?
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini tupo Duniani? Hadithi ya kutisha ukweli kuhusu Biblia

    Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake, vipi ikiwa binadamu hapo mwanzo wa dunia hakukusudiwa kuwa hapa hii dunia? Sasa kabla haujafikiria...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Huu ujumbe wa HESLB

    Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali kwa mtu yeyote ambayo ameshakutana na tatizo kama hili kwnye papai

    Habarini wana jamvi wote. Natumai wote tupo poa, tunajenga taifa. Naomba niende kwenye maada moja kwa moja. Mimi ni mkulima wa mazao ya muda mrefu na mfupi. Sasa mwaka jana nilifanikiwa kulima zao la papai. Kuanzia kufulia miche mpaka kupanda shambani nilifanikiwa kwa asimilia nyingi tuu. Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania UBONGO WA MWANADAMU (Maswali matano ya kufikiria kuhusu uwepo wa Mungu)

    Salamu kwa nyote mnaosoma uzi huu. Baada ya kufikiria kwa kina basi haya ni maswali yangu matano kuhusu ubongo wa binadamu. Swali 1: Kama binadamu amegundua computer, na haya mambo yote tunayoyaona kuhusu teknolojia, Je ni kitu gani kitakuja kuvumbuliwa na binadamu ambacho kitashinda uwezo...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unamiliki kitambulisho cha NIDA utakubaliana na mimi kwenye mambo yafuatayo

    Nafikir kama unaimiliki namba ya Nida au kitambulisho Cha NIDA hasa wale walioandikishwa wakati zoezi la utoaji wa NIDA linaanza utakubaliana na mimi mambo yafuatayo: 1.picha zetu sio halisia 2.kadi Zina makosa mengi Kama A .majina yamekosewa Sana B.Tarehe za kuzaliwa zimekosewa pia...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa PLO Lumumba kuhusu vita ya Israel na Palestine

    P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa kwa ajili ya suluhu. Fuatilia ili upate ufahamu mzuri kuhusu mzozo huu.👇🏿 Mzozo wa Israeli na...
  15. JamiiForums Tanzania Je Kuna Sheria kuhusu jinsi ya kupaki gari kwenye parking lot ya Bank?

    Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka. Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Aliexpress

    Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua itanifikia hadi huku maana mara ya mwisho nilitumia posta ilifka had huku.Cha ajabu kufikia tarehe 03/10...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naungana na Dkt. Lwaitama kuhusu Katiba Mpya

    Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu Hizi Air Cooler

    Wakuu wa Tech inakuaje....!? Wakuu na amini tunatofautiana uwezo kimapato wapo wanaomudu gharama za kulipia AC nikiwa nacheki Youtube review za AC nakuta kwa 24Hrs ngoma imebeba Units kama 20 hivi hii ukizidisha na 300 ushee bei ya unit 1 mara 30 staki hata kujua jibu lake. Kiukweli hizi fan...
  19. JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI KUHUSU ROHO, MWILI NA NAFSI.

    Habari za leo; Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine. Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni...
  20. JamiiForums Tanzania Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

    Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu. Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…