kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wiki hii HAMAS walikubali kuwa walidanganya kuhusu idadi ya vifo vya watoto na wananchi wengine huko Gaza. Kwani ni kipi kilicho kweli juu yao?

    Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za waandishi wa habari, israel ilioogundua na kuwa eliminate, dunia ikasema kuwa israel inauua waandishi wasio na hatia. Matapeli hawa hadi walivalisha wapiganaji wao nguo za wafanyakazi wa UN, Israel ilipo wa eliminate, dunia ikasema kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi

    Vitu 10 Vya Kutisha Kuhusu Ndege Ambavyo Vitakufanya Ujisikie Wasiwasi Hata Kama Wewe ni Mwingiliaji Hodari Unachojua huenda kikayumbisha meza yako ya chakula... Ndege ni salama kimasafa—lakini nyuma ya pazia, ulimwengu wa anga unaficha ukweli wa kutisha. Hapa kuna mambo 10 ya kutisha ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo cha afya kolandoto

    Habari za Leo wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo, Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo? Japo nasikia...
  4. JamiiForums Tanzania Afande akifurahia hotuba ya Tundu Lissu kuhusu No Reforms No Elecetion

    Askari wa Jeshi la Polisi, akifurahia hotuba ya Lissu kuhusu No Reforms No Election ambapo Lissu amegusia pia namna maaskari na watumishi wengine wa umma wanavyokutana na kikotoo baada ya kustaafu. Kila mmoja atafikiwa tu na Lissu kwa namna yake. Lissu ndio habari ya nchi kwa sasa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kutoa gari bandarini

    Naomba kueleweshwa gari ambayo unaitoa kutoka Zanzibar ikifika Dar inatumia siku ngapi kukamilika hadi inatoka nje
  6. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kuhusu chuo Cha afya Kolandoto

    Habari za jumapili wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya radiology katika taasisi hiyo, Je, chuo hicho kina uwezo mzuri katika utoaji wa kozi hiyo? Japo...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ushuhuda kuhusu unlimited za Vodacom hasa ambazo hazijawekwa wazi

    Habari wana Technology, Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom. Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii. Na pia kulingana na ufuatiliaji nimeweza kuona kuna vifurushi mpaka vya 50000 unapata GB 30, ila naambiwa ni unlimited. Ningependa...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtaala mpya Kwa level ya Advance

    Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025. Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana. Naomba kuwasilisha wakuu
  12. JamiiForums Tanzania Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Habari wanaJf, Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli. Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
  13. JamiiForums Tanzania TANESCO: Huduma za manunuzi ya umeme (Luku) zarejea kwa ukamilifu

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa changamoto iliyojitokeza leo asubuhi katika njia za manunuzi ya umeme (LUKU) imefanyiwa kazi. Kwa sasa wateja wetu wanaweza kufanya manunuzi ya umeme kupitia njia zote za mawakala, mitandao ya simu na njia za kibenki. Shirika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu No reforms No election.

    No reforms No election ni kaulimbiu inayopanga kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 ikiwa hakutakuwa na Reforms za Uchaguzi. Kwa hiyo itakuwa kama ifuatavyo:- 1. Wapinzani watazuia uchaguzi kwa nguvu. Kuzuia uchaguzi kwa nguvu kutasababisha pengine watu wengi kupata madhara makubwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji majibu kuhusu kirusi cha HIV

    Habari za wakati huu Ndugu zangu Wana-jamiiforums. Nina maswali kadhaa kuhusu kirusi kinachosababisha HIV. 1. Kwanini ni vigumu kirusi kinachosababisha HIV kufa hata kikiwa nje ya mfumo wa mwili wa binadamu? Mfano( Mtu mwenye maambukizi anashona viatu ila bahati mbaya sindano inamchoma...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu usimamizi wa michezo ya kubahatusha

    Ni akina nani Huwa wanakagua makampuni ya kubeti nchini ili kuhakikisha hakuna utapeli kwa wananchi? Je Kuna mfumo wowote imara wakufanya auditing ya mifumo inayotumika kwenye michezo husika ya kubahatusha?
  17. JamiiForums Tanzania Hii fantasy kuhusu matamanio haya ipo kwangu tu au nina shida kisaikolojia

    Kwanza kabisa wanangu wa msimbazi, aminini hii HAIJAISHA BADO, ITAISHA KWA FURAHA KUBWA MNO!!!....niamini Direct kwenye mada. Wakuu toka mwaka huu uanze ( kwa kukadiria )....nimekuwa na hisia ambazo sizielewi sijui kwamba ni sawa au saikolojia yangu haipo sawa, ndio maana nikachukua hatua ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko Kuhusu Mabaraza ya Uuguzi na Ukunga na Upotoshaji wa Media Dhidi ya Wauguzi

    Kwa heshima kubwa, ningependa kuelezea malalamiko yangu kuhusu jinsi baadhi ya vyombo vya habari vinavyotoa taarifa zinazopotosha hadhi ya wauguzi, huku mabaraza ya uuguzi na ukunga yakiwa kimya bila kuchukua hatua za kutetea kada hii muhimu ya afya. Mfano halisi ni taarifa iliyochapishwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu chanjo ya manjano(yellow fever )

    Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano. Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo nasikia tetesi kwamba ninatakiwa kukaa siku kumi baada ya chanjo ndio nisafiri jee inawezekana kuondoka...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua Kuhusu higher diploma

    Habarini za Wakati huu wanataaluma. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kupatiwa uelewa wa kina kuhusu ngazi hii ya elimu hasa katika vyuo viliyopo chini ya NACTVET. Natanguliza shukrani zangu. 🙏🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…