kugawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga amesema serikali ina mpango wa kugawa Vishikwambi vilivyotumika katika zoezi la sensa kwa walimu wote kwa lengo la kuimarisha matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji. Akijibu maswali ya Wabunge, leo Septemba 15, 2022 Jijini...
  2. K

    Pascal Mayala mbona huchambui uamuzi wa Januari Makamba na kampeni yake ya kugawa majiko ya gesi Kanda ya Ziwa

    Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea. Umeaacha wadau wengine humu na Global Tv peke yao Why?
  3. Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele “Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
  4. Hizi ni siasa za kilaghai zisizo na tija kwa taifa letu. Kugawa mitundi ya gesi badala ya kukomaa JNHP ikamilike ni ni kutaka kutafuta kiki zisizofaa

    Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha. Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha mwananchi yakawa nafuu. 👇Huu ni ulaghai usiofaa.
  5. Nigeria: Watu 31 wafariki wakati wa zoezi la kugawa vyakula kanisani

    Watu 31 wameripotiwa kufariki na wengine 7 kujeruhiwa wakati wa mkanyagano wa kugawa chakula kanisani Nchini Nigeria, ambapo shuhuda mmoja wa tukio alishuhudia mama mjamzito na watoto kadhaa wakiwa sehemu ya waliofariki, jana Mei 28, 2022. Msemaji wa Polisi, Grace Iringe-Koko anasema tukio la...
  6. Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
  7. Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

    Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi. Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
  8. Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  9. Muulizeni Tony Blair ziko wapi solar alizosema atagawa kwa sekondari zote nchini za vijijini?

    Nisaidieni kumuuliza Rais Samia atuambie zile Solar tony blair aliahidi atagawa kwa shule zote za sekondari za vijijini imeishia wapi? Aliahidi toka mwaka 2013 hadi leo hatujaona kitu Pia alipewa tuzo kama mtetezi bora wa mashoga kwa miaka 30 mfululizo Habari kamili hiyo...
  10. Waziri mwenye dhamana fuatilia NIDA wamalizie mchakato wa kugawa vitambulisho vya taifa

    Zipo taasisi za serikali ni kero sana hapa nchini,huwa hazifanyi kazi mpaka zisukumwe, Wapo watanzania kwa mamilioni tumepewa no za NIDA pale awali lakini kupatiwa vitambulisho sasa ni zaidi ya miaka miwili hakuna kitambulisho wala taarifa kutoka NIDA kwamba ni lini tutasambaziwa vitambulisho...
  11. Utaratibu ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya sita wa kugawa fedha za miradi ya maendeleo kupitia majimbo ufutwe mara moja

    Kuna utaratibu uliletwa huko Tanzania fedha za miradi ya maendeleo kugawanywa na serikali kupitia majimbo mfano fedha za IMF 1.3 trilion, fedha za Tarura. Majimbo mengine yanabidadi ndogo ya wakazi, majimbo mengine yako mbele kimaendeleo kuliko mengine, na kutumia mfumu huu usimamizi wa fedha...
  12. Rais Dr. Hussein Ali Mwinyi kuzindua na kugawa vitambulisho vya mjasiliamali Zanzibar

    Ilikuwa mwaka 2018 serikali ya JMT kupitia rais wa wakati huo JPM alitoa kama si kuzindua vitambulisho kwa wafanyabishara ndogondogo upande wa bara ambapo lawama mbalimbali ziliibuka na hata hapa jf. Kufuatia matokeo duni mara baada ya aliyekuwa na wazo la vitambulisho hivyo kufariki dunia...
  13. Fahamu mbinu ya kugawa makundi ya nyuki uliyonayo kujaza mizinga mipya isiyo na nyuki

    Habari wadau; Leo naomba nidokeze namna ya kugawa Mzinga wenye nyuki ili kujaza mizinga yako mipya isiyo nyuki kwa njia ya haraka badala ya kutumia njia ya awali ya kuwatega na kungoja waingie jambo ambalo linaweza kukuchelewesha na kuchukua muda mrefu. Kwa mnaofuga au mnaotarajia kuanza...
  14. Uganda: Watu binafsi wazuiwa kugawa chakula kwa masikini

    Polisi wamezuia watu kugawa chakula kwa wasiojiweza kipindi hiki cha ‘Lockdown’ kwa kuwa wanakiuka miongozo ya Afya ya Kudhibiti maambukizi ya #COVID19 Wanaotaka kugawa chakula wametakiwa kuwasilisha kwa viongozi wa mkoa ambao watagawa kwa wasiojiweza. Hatua hii imekuja baada ya viongozi wa...
  15. WHO: Nchi tajiri zinapaswa kugawa chanjo kwa nchi maskini

    Maafisa wa Shirika la Afya Duniani WHO wamesema hakuna ushahidi wa kutosha unaonyesha kwamba watu wanahitaji kuchomwa sindano ya tatu ya chanjo dhidi ya virusi vya corona, na hivyo kutoa wito wa chanjo zilizobakia kupewa mataifa maskini ambayo bado hayakuchanja raia wake, badala ya kutumiwa na...
  16. Uganda: Kugawa fedha kwa watakaoathirika na lockdown

    Serikali ya Uganda imesema itatoa fedha kwa njia ya mtandao kwa raia kwa walioathirika na ‘lockdown’ ya pili Uganda iliwahi kuwa na utaratibu wa ugawaji chakula ilipotangaza lockdown ya kwanza Aprili 2020, ambapo lilikosolewa kwa kuwa walengwa hawakufikiwa Kutokana na changamoto hiyo, walengwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…