Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika
Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.
Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
I salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki!
Folz ameuharibu sana mpira wa yanga
Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli...
Luanda, Angola
Septemba 28, 2025
Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola.
Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia mwezi Septemba. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye nafasi mbalimbali:
Goalkeepers: Dean Henderson, Jordan Pickford, James Trafford
Defenders: Dan Burn, Marc Guehi, Reece James...
Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya wenyeji Botswana dhidi ya Algeria utakaopigwa Mjini Francistown Nchini Botswana Machi 21...
Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament.
This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
Naona mahesabu ya Yanga yanachanganya sana katika mchakato wa kuingia robo. Hesabu zinakuwa ngumu kwa sababu sio wewe tu ushindwe inabidi na mwingine ashindwe, mara hivi na vile. Mara inabidi MC Algers ifungwe na Mazembe lakini wasiifunge Yanga
Nashauri mashabiki watembee na Calculator, sio ile...
Wana fitness ya hali ya juu,,wanapiga mashuti, wako vizuri sana kiufundi,Wana Kasi sintoshangaa wakifuzu robo fainali licha ya uchanga wao,,
Wataokota alama zote 9 nyumbani kwao sioni kama Simba ataambulia chochote akiwafata kwa uchezaji wao huu,,mpaka sasa wamempiga presha costsntine na...
Mpira ni biashara
Timu letu Bado ni bovu
Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare
Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu
Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup...
Shirikisho la Soka la Lipya (LFF) limekosoa kitendo cha Nigeria kugomea kucheza mchezo dhidi ya Taifa hilo katika Kuwania Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 uliopangwa kuchezwa Jijini Benghazi, jana Oktoba 15, 2024.
Taarifa ya LFF imesema wanalaani kitendo cha Shirikisho0 la Soka la Nigeria...
Timu ya Taifa ya Nigeria “Super Eagles” imesema haitacheza mchezo wake dhidi ya Libya kuwania, leo Jumanne Oktoba 15, 2024 baada ya msafara wa Wachezaji wao kutelekezwa Uwanja wa Ndege usiku mzima
Timu hiyo ilitarajiwa kutua Jijini Benghazi jana Oktoba 14, 2024 lakini ndege ikabadili ratiba na...
Mwaka 1998, Yanga ilifuzu hatua ya makundi ya Club Bingwa barani Afrika kwa kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6 kwa moja katika mechi ya marudiano iliyofanyika uwanja wa Taifa tarehe 08/05/1998.
Katika mechi ya round ya kwanza mjini Addis Ababa, Yanga na Coffee FC walitoka sare ya mabao 2 kwa...
Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0.
Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora.
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026
Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku
00: Mchezo umeanza
06: Tanzania 1-0 Zambia
10: Zambia 0-1 Tanzania
20: Zambia 0-1 Tanzania
30: Zambia...
Mtaniii,
Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Simba wapo Misri kumenyana na Al Ahly wakitafuta kupindua meza baada ya kupoteza mchezo wa nyumbani kwa bao 1-0!
Yanga wapo...
Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ;
◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali.
◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa.
Kama sio simba iliyo...
Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024.
Musemaji wao anaropoka.
Page zao zinaropoka tu.
Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira.
Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.