kufuzu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Smt016

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mambo ya msingi kwa Yanga ili waweze kufuzu kesho

    Hapo awali nilileta uzi humu kuwa Yanga wanashindwa kufanya vizuri kwasababu wanakosa vinasaba vya michuano ya kimataifa. Nilipondwa sana na wana Yanga wenzangu lakini mpaka sasa akili zinawakaa sawa baada ya kuona Simba kwake kufuzu klabu bingwa imekuwa kama jambo la kawaida hata akiwa na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga watashinda mbili kwa moja nyumbani, na kutoa sare ugenini, hivyo kufuzu kwa hatua ya makundi

    Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini. Msisime sikuwaambia.
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaichapa Somalia 1-0 mechi ya kwanza kufuzu CHAN 2023

    Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Somalia katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Julai 23, 2022. Goli limefungwa na Abdul Hamis Sopu dakika ya 47, ukiwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuliona Kundi letu F la Kufuzu AFCON 2023 lilivyo, nashauri tujiandae zaidi na lile la 2025 kwani kwa hili hatutoboi ng'o

    Yaani Tanzania hii ya Mabeki wabovu akina Dickson Job na Bakari Nondo Mwamnyeto ndiyo iwafunge kweli Algeria, Uganda na Niger? Yaani Tanzania hii ya Kiungo mbovu na Mrembua Macho muda wote Feisal Salum Fei Toto ndiyo iwafunge kweli Algeria, Uganda na Niger? Yaani Tanzania hii yenye Wachezaji...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON-2023: Tanzania yapwangwa Kundi F pamoja na Uganda, Algeria, Niger

    Je Tanzania ataweza kufuzu mbele ya miamba hii. Group F Algeria Uganda Niger Tanzania === Group A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius Group B: Burkina Faso, Cape Verde, Togo, Eswatini Group C: Cameroon, Kenya, Namibia, Burundi Group D: Egypt, Guinea...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania VAR yaibiwa Nigeria baada ya mechi ya kufuzu World Cup 2022

    Imeripotiwa kuwa mashine maalum ya VAR (Video Assistant Referee) iliyokuwa imewekwa Abuja Nigeria kwa ajili ya kusaidia waamuzi wa mchezo wa play off wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 kati ya wenyeji Nigeria dhidi ya Ghana imeibiwa uwanjani hapo. Mchezo huo ulimalizika kwa sare bao 1-1 ambapo faida...
  8. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Namna za 4 Simba kufuzu robo fainali

    HALI ILIVYO ASEC 9 BERKANE 7 SIMBA 7 USGN 5 SIMBA IKISHINDA NA BERKANE AKISHINDA ASEC 9 BERKANE 10 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKAFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 10 USGN 5 SIMBA AIKITOA SARE BERKANE AKIFUNGWA ASEC 12 BERKANE 7 SIMBA 8 USGN 6 SIMBA IKISHINDA BERKANE AKITOA...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mahaba ya Pablo kwa Dennis Kibu yanatisha aisee

    Yule kijana sidhani kama ame recover vizuri kuchea mechi ngumu hivi, kama unampenda sana subiri mechi za kmc au geita gold umuweke huko siyo mamechi ya kimataifa haya Mr pablo kuwa serious bana kumbuka Cecafa zone wanaitegemea simba sc
  10. S

    JamiiForums Tanzania Simle anaylsis: Matokeo ya mechi za nyumbani na ugenini za USGN ndio yataamua timu mbili za kufuzu kundi "D"

    Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania. Kwahiyo, timu zitazoifunga hii timu ya USGN nyumbani na ugenini, ndio...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars yachangiwa Bilioni 1.6 ili wafuzu kombe la dunia

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote iliyobaki ili kufuzu kushiriki kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022...
Back
Top Bottom