Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni.
Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Musoma, imempa muda wa siku 30, aliyekuwa mwalimu, Kasoga Mangire, kufungua shauri la maombi ya mapitio kupinga uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia kufukuzwa kwake kazi.
Uamuzi huo umetolewa Januari 30, 2026 na Jaji Marlin Komba baada ya...
Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP)
Dar es Salaam,
Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
Habarini,
Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani.
Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi.
Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
Habari ya muda huu wakuu, issue yangu ipo hivi
Mwaka jana mwishoni (December 2024) nliingia makubaliano na kampuni moja kwa ajili ya kununua bidhaa ambayo kwa madai yao wanaagiza kutoka nje ya nchi na ingewachukua mpaka siku 45 kufika Tanzania.
Nlifanya malipo kulingana na Taratibu zao na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.