Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i, ameibua madai mazito kuhusu usalama wa viongozi wa upinzani na mazingira ya kisiasa nchini, akidai kuwa baadhi yao wamekuwa wakikumbwa na vitisho vya kiteknolojia na ufuatiliaji.
Matiang’i amesema kumekuwa na madai ya akaunti za watu...
Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi Wote Ambao wamekaa maofisini na kwenye makundi ya Wasapu wakifanya kazi ya kujadili kuhusu Uchaguzi...
apiga marufuku
dkt mwigulu nchemba
kufuatiliwa
kuhusu
kukamatwa
kutoa
maagizo
marufuku
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
uchaguzi
viongozi
waziri
waziri mkuu
Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais.
Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema:
“Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema magari ya usafiri wa Umma yatakayokatisha au kubadili “ruti” kinyume na Leseni zao, yatachukuliwa hatua na kufungwa kwa kifaa cha VTS ambacho kinafuatilia Mwenendo wa Magari.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Udhibiti Usafiri wa Barabara kutoka...
Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani.
Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
Week-end hii ndipo mizunguko ya michezo ya CAF inakamilika. Kutakuwa ni michezo 16 lakini ya muhimu kufutaila ni hii hapa chini kwa vile mingine itakuwa ni ya kumailisha ratiba tu.
CAF-CL
Yanga Vs MC Alger: Mechi hii itaamua ni nani kati ya washindani ataingia robo finali na itakuwa ya...
Ilikuwa kila baada ya mda fulani wanatembeleana na kupiga ma picha picha kibao huku wapambe humu Jf wakimpamba eti anakubalika na wana ng'ambo pasi na kujua walikuwa wanaisanua sirikali na masinia yake.
Kutano la kwanza lilipuuzwa.
Kutano la pili na yaliyoendelea hakika yaliishtua sirikali na...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu wanaomfuatilia kila anapofanya mikutano yake ya hadhara na kwamba watu hao Hawajulikani kuwa miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.