kufikiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

    Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
  2. Unaweza kufikiri unakunywa bia kumbe unakunywa pombe

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya bia na pombe. Pombe zote zinazoitwa bia zinatengenezwa na kiwanda cha serengeti sio bia ni pombe. Pombe nyingi za TBL sio bia. Ni pombe. Isipokuwa Castle lite tu. Windhok ni bia Heinken ni bia Castle lite ni bia Hizo nyingine hazijatengenezwa kwa pure shahiri...
  3. Sikuwahi kufikiri kama Wanachuo wa UDSM wangefanya mzaha mkubwa kiasi, hii inaonesha dunia kuwa masihara ni sehemu ya maisha yao

    Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
  4. Uwezo wa kufikiri bado mdogo sana katika nchi yetu

    Kwa maoni yangu, kutokana na watu mbali mbali nliokutana nao hapa bongo, naona kama uwezo wetu wa kufikiri kama nchi upo chini sana. Hivyo basi, hata ungesema ufute kazi watu wote wa idara nyeti na muhimu ili uajiri wale wenye uwezo na ujuzi zaidi, bado ungetukana na changamoto ya kwamba hatuna...
  5. Wanaohoji utajiri wa Abduli mama wanapaswa kufikiri nje ya box

    Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana katika makundi mawili tofauti. Kundi la kwanza ni lile la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamin...
  6. UJASIRI WA KUFIKIRI UPYA: SULUHISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LA AJIRA TANZANIA

    Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
  7. Chagua kufikiri kama Mungu na utaishi kama uliyemuumba kuwa

    Katika mistari hii ya kina ya Seneca, tunaalikwa kuutafakari msingi wa maisha yetu—siyo kwa matukio ya nje, bali kwa namna tunavyoyatafsiri kupitia fikira zetu. Hii ni falsafa ya kweli ya kiungu, inayotufunza kwamba akili ni mlango wa maisha, na kwamba furaha, huzuni, amani au mateso—vyanzo...
  8. Je!! Huu ndio uwezo wa kufikiri wa Wana CCM wote?

    Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!! Hivi hii takataka bado ipo ofisini? CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi? Very sad !!
  9. Heche anapolinganisha Israel na mikoa ya Tanzania ni uchovu wa kufikiri, Israel inalelewa na Marekani kama last born,wachumi wamjibu!

    Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua hilo. Hata risasi zinazoua Gaza ni za Marekani. Wachumi wamsaidie. Mmarekani anacholeta Tanzania...
  10. JF Kwa kidengereko nyumbani pa wenye kufikiri Kwa undani a.k.a Akili nyingi!

    Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wa uongo,watatokea watakaojifanya ndio Kristo,watatokea na wapinga Kristo! Mimi sikubaliani kabisa na Hawa manabii kina mwamposa na wenzake! Sasa hapa jf nimekutana na sio tu wapinga Kristo,Wanapinga mpaka uwepo wa Mungu mwenyewe!!! Shikamoo Jamii Forums
  11. H

    UKOMBOZI wa kweli anaohitaji MWAFRIKA kwa sasa ni wa KIFIKIRA na AKILI ZA KUFIKIRI siyo wa KIDINI wala KISIASA!!!

    Habarini, Ni wazi kwa sasa Waafrika hawahitaji ukombozi wa kisiasa na kidini hasa ukizingatia ua kuwa siasa na dini zimewafanya Waafrika kuwa wavivu wa kufikiri na kutumia akili katika kupambanua mambo kwaajili ya ustawi wao. Siyo wokovu wa kodini au ukombozi wa kisiasa kama vile "no reform...
  12. Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  13. Ewe jobless kukosa kwako ajira kusikuondolee usomi au uwezo wako wa kufikiri

    Mimi Kama rais wa chama Cha ma jobless pro max, nime ona nitoe angalizo Kwa wanachama wote walio ma jobless. lengo la kutoa angalizo ni kueleweshana mambo kadhaa, ili tuweze kujua ni mambo gani ya kuzingatia wakati huu. 01, Serikali haiwezi kuajiri watu wote, enyi ma jobless huu ndio ukweli...
  14. C

    Uwezo wetu wa kufikiri juu ya mambo yaliyopita, yaliyopo na yajayo

    Habari wanajukwaa! Nimevutiwa sana na jukwaa hili lenye hoja fikirishi na zenye mvuto wa aina yake. Leo ningependa kuanzisha mjadala wa kipekee kuhusu uwezo wetu wa kufikiri. Hivi karibuni, nimekuwa nikifikiria sana juu ya ufahamu wa mambo yajayo, yaliyopo, na yaliyopita. Na kwa hiyo, naomba...
  15. Kwa nini Tunaoa? Ni Lini Ndoa ina-expire na hautakiwi kufikiri Kutoa Talaka.

    KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya kukitumia na kukiacha siku kikiwa Expired na useless. Hiyo ni Kanuni. Ndoa ni muunganiko wa hiyari...
  16. Waafrika wanaoshangilia ushindi wa Trump kwa sababu ya misaada kupunguzwa ni wavivu wa kufikiri.

    Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu, Tuangalie hoja moja ya kupunguzwa msaada na utegemezi wetu kwa mfano Wale wanaosema misaada ya US...
  17. Hivi hawa jamaa siyo kwamba wananipiga kamba kweli? Naomba mnisaidie kufikiri

    Hawa masela ni watu maarufu sana nchini Madagascar. Kuna wakati katika mishe zao walipata kusafiri kikazi kwenda nchini Puerto Rico. Wakiwa huko wakapata fursa ya kukutana na jamaa fulani aitwaye Pumzi Baba. Walipoenda kukutana na mwamba, aliwakaribisha moja kwa moja chumbani, wakafanya mambo...
  18. Je, Unafikiri au unasikiliza mawazo yako mwenyewe?

    Nusu ya muda unaodhani unafikiri haufikiri bali unasikliza mawazo yako mwenyewe kichwani mwako, kufikiri sio jambo jepesi ambalo kila mtu anaweza kufanya. Kufikiri ni kitendo cha namna gani? Ni vipi tunaweza kufikiri na sio ku imagine au ku visualize? Karibu tufikiri pamoja kuhusu hili......
  19. Kumekucha: Wanawake wanaofanya Ngono mara Tano ( 5 ) kwa Wiki hawazeeki haraka kuliko wale wanaoibania 'Mbunye' na kuitoa kwa Uchoyo na Masharti

    Nendeni huko TimesFmTz ( katika Mtandao wao ) ili mkajiridhishe Wenyewe. Ukipinga basi uje na Tafiti yako nawe Ok? ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  20. Ni kweli mchekeshaji Leornardo ana huu uwezo mkubwa wa kufikiri au kuna mtu nyuma ya kamera?

    Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la kuteka attention za watu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…