kufanya mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hyrax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hamjaanza kufanya mapenzi ni vyema kila mtu azime simu yake

    Kuzima simu kabla ya tukio la kufanya mapenzi kutakusaidia kukuepusha na mambo mengi sana yaliyo nje ya uwezo wako nakumbuka tukio lililowahi kunikuta 2020 pisi imeingia hoteli niliyolipia laki mbili na nusu kwa usiku huo mbaya zaidi chakula changu kala tena cha bei tumeingia room ili tuanze...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi ni kama vile hakuna maajabu tena kwenye kufanya mapenzi

    Kukurukakara zimepotea kabisaa. hakuna vionjo vipya wala vya zamani tena, hakuna amsha amsha, na kabisaa hakuna maajabu kunako 6kwa6. Cha kushangaza zaidi ni kwamba, wahusika huenda ndio kwanza wachumba tu, au ni mchepuko. kulikoni ngoma nzito namna hiyo nyakati hizi? vibe hakuna kabisaa...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mafuta ya taa hupunguza hamu ya kufanya mapenzi

    Nakumbuka shule niliyosoma tulikuwa tunawekewa mafuta ya taa kwenye chakula, Katika kudadisi kwa nini watuwekee mafuta hayo niliambiwa kuwa wanatuwekea ili kutufanya tusiwe na hamu au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi ukizingatia wanafunzi wanakuwa wameanza au walishapevuka tayari. JamiiCheck...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukipatwa na msiba wa kifamilia, ni baada ya kipindi gani ndio wakati sahihi wa kufanya mapenzi?

    au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee? maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji. au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee...
  5. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usithubhtu kufanya mapenzi na mwenzio anaewaza marejesho utajuta

    Unaweza hisi uko na mwanaume mwenzio ama lah look Wanaume yumeumbiwa mapito kweli kila pito letu Yaaan utamsugua weweeee anabaki kukaza sura kama anatambiika Yaan akikojoa unahisi kakujolea wewe hata ule mguno baridi wapi Tusikate tamaa ndio wetu hao
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za kufanya mapenzi

    Kufanya mapenzi mara kwa mara kunaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya na kiakili, ingawa ni muhimu kutambua kuwa faida hizi zinaweza kutofautiana kati ya watu kulingana na hali ya afya, mahusiano, na maisha yao binafsi. Hapa kuna baadhi ya faida hizo: 1. Kupunguza Msongo wa Mawazo: Kufanya...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa 2 sasa bila kufanya mapenzi ni raha kweli kweli

    Hapo vip!! Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano mwanamke amekuwa chanzo ya kunipokonya uhuru na furaha yangu ya asili. Pili ninapoona ushetani...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

    Wanajamvi Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani. Hii imekaaje?Ni sahihi kweli? Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
  10. Rayns

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume Kufanya Mapenzi mbele ya Mwanaume Mwenzako ni Kudhalilishana

    Habari za wakati huu wote, Leo Ningependa kushare nanyi hili tukio ambalo lilinitokea, na sio zuri kuliendekeza kwa wale wanaofanya. Nimejikuta nakumbuka mojawapo ya DHARAU kubwa sana kuwahi kufanyiwa. Kwanza kabisa niseme kuna watu tunadharaulika, nilifananishwa na bulb (Taa), au Mbu wale...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kushindwa kufanya mapenzi ukiwa na mpenzi wako chumbani, uliamua nini baada ya hapo?

    mathalani, kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa, mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini...
  12. Bull Striker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uwezo wa kufanya mapenzi katika Jamii hushuka kila uchwao...

    Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi. Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali. Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo) Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni. Wanaume wengi...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

    Ni kukaribisha laana na mikosi kwenye gari, bajaji au ofisi yako au ya mwenzako.. Acha kabisaa tabia hiyo chafu, ingawa wewe unaona tamu. Gari au bajaji yenyewe umeazima na hiyo ofisi umaajiriwa tu, usikaribishe na kupakaza mikosi kwenye ofisi na gari ya watu tafadhali muungwana. Ni vizuri...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini matumizi ya kondomu na matangazo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii yamepungua mno?

    Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani. Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia...
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kutamani kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake

    Hii imekaa kaaje wakuu? Nina rafiki yangu ambaye kila muda ninapokuwa naye anaongelea ngono tu. Ukikuta anaongea na simu, basi ni simu za mitongozo. Mifukoni kwake anatembea na condom, yaani kiufupi ananuka ngono Kila mwanamke anayekatiza mbele yake anatamani aloweshe dudu, yaani awe mmama...
  16. Pagani Zonda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HUwa mnafanya usafi gani baada ya kufanya mapenzi?

    Habarini za mchana wapwa? Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa anajifuta au ananawa na maji? Hivyo hivyo baada ya bao la pili n.k, utaendelea kujifuta/kunawa na maji...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kazi ambazo lazima uwe mtu wa mambo mengi

    1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwani kuna ulazima wa mwanaume kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake?

    Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Wakuu, Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au kuna maelezo ya kisayansi yanayothibitisha hili? Mimi naona nilipigwa kamba tu hapa! Kwenu wataalam...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?

    Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
Back
Top Bottom