kufanya mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Holoholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuhimili tendo kwa muda mrefu zaidi? Ulijisikiaje?

    Wakuu, Siku ya pili baada ya ndoa mwaka jana,nilisitaajabu uwezo wa kuhimili tendo kwa muda mrefu zaidi,kama utani vile masaa manne ya bila kupumuzika! Ni kweli si utani mpaka nikahisi basi nina pepo Yaani hakuna cha kupumzika wala nini ni mwendo wa show tu Mwanzo nilikuwa nahisi utamu lakini...
  2. Holoholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu?

    Wakuu, Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda, Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia Sijaoa ila hali hii...
  3. Ben-adam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida tano (5) za kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

    Kufanya mapenzi ni sehemu ya maisha, na ina faida nyingi za kiafya na kijamii. Mojawapo ikiwa ni kupata watoto, lakini pia ni sehemu ya starehe ya wanyama. Kufanya mapenzi huwa na msaada wa kisaikolojia, kuleta muunganiko wa upendo kati ya wapendanao. Mahusiano yasiyojumuisha kufanya mapenzi...
  4. Holoholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

    Wakuu, Yamenitokea Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni...
  5. Leonce jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema nimemaliza miezi mi Nne bila kufanya mapenzi, kuvuta sigara, kunywa pombe.

    Salamaleko Tumsifu yesu kristo. Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono. Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila...
  6. Sister Abigail

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

    Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi? Unafanya nini kustahimili muda mrefu?
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kumbe ukifunga mchana hutakiwi kufanya mapenzi na mkeo, na ikitokea unatakiwa kusaidia masikini 60 ama KUFUNGA siku 60

    Hahahahaa NIMEIPENDA SANA hii dini Nasikilizia channel ten mambo yetu ya kufungaaa ANASEMA sheikh wangu kama ikitokea una hamu yoyote na mkeo KIPINDI hiki cha mfungo Ikitokea ukampitia mchana Basi kulipixa Ile unatakiwa ufunge siku sitini ama ukasaidie wenye shida sitini ndio unasemehewa...
  8. kwisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida kwa mwanamke kukaa miezi 2 hadi 4 bila kupata hisia za kuwa na mwanaume?

    Ivi nikawaida kwa mwanamke ambaye ameolewa kukaa miezi miwili mpaka 4 uko bila kupata feeling zozote Za kufanya tendo la Ndoa na mume wake ?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nina tatizo la kupenda kufanya mapenzi nahitaji njia ya kuacha ama kupunguza

    Kama kichwa cha habari husika Nimejichunguza vya kutosha nashindwa bado kujipa majibu ya uhakika… ni mimi nina tatizo ama ni hali ya kawaida tu kwa kila mwanamke Mimi sio mwenyeji sana kwenye hiyo sekta ya kunyanduana bado sijakomaa hivyo so inanifanya wakati mwingine nijishtukie mno haswa kwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni kituko gani ulikutana nacho kwenye kampuni?

    👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas 👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu 👉Uzi tiyari
  11. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabingwa wa kauli hizi naombeni majibu, mnakuwa mmepatwa na nini hasa? Mmechoka au ndo kudai kodi ya meza kijanja?

    Yani we muda wote mawazo yako ku.se.x tu, mi nmechoka siwezi Juzi nlikupa jana tumefanya na leo unataka tena? mi nimekuwa mashine? sitaki niache huko tena unikome. Tumbo linaniuma sitaweza ku.se.x leo. Jana nimeangia mp [wakati mtu mwenyewe mkavu huna cha iyo mp wala wp] Watoa kauli hizi...
  12. Mr-Njombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna walioanza mwaka 2025 kwa kupata magonjwa baada ya kufanya mapenzi kizembe

    Poleni sana, ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe. Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi. Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela. Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
  13. Mowwo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kinyaa linapokuja swala la kufanya Mapenzi

    Bila shaka mko poa Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi. Nimewahi kua na mrembo mmoja ivi anataka afanyiwe kila kitu(umkiss mwili mzima na upige shoo ya maana, (na...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

    Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufanya mapenzi kwenye usafiri (Safarini) njooni mtupe ushuhuda hapa

    Wakuu kama mjuavyo kuwa Dunia ina mambo baadhi ya mambo yenyewe ndo kama haya,. Kuna mambo ambayo wewe unaweza kuyaona hayawezekani kumbe kwa wenzio ni kawaida kabisa. Mfano mimi hapa huwa naona haiwezekani kufanya mapenzi wakati chombo cha usafiri chochote kikiwa kinaendelea na safari...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matusi ya nini sasa wakati wa kufanya mapenzi ndugu zangu?

    Hii ina maana gani kuporomosha matusi mazito mazito wakati wa kufanya tendo la ndoa tena na mtu wa ibada kabisa na mwenye heshima anaeheshimika kwenye jamii? kwani hakuna maneno mengine hadi mayowe na miguno ya kuambatana na matusi? :pulpTRAVOLTA:
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Marcus Fakana (18) afungwa Jela mwaka mmoja Dubai, kwa kosa la kufanya mapenzi na msichana wa miaka 17

    Marcus Fakana, kijana wa miaka 18 kutoka Tottenham, London Kaskazini, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani huko Dubai baada ya kufanya mapenzi na msichana wa London mwenye umri wa miaka 18. Kwa mujibu wa taarifa, wawili hao walikutana wakati wa likizo wakiwa na familia zao. Msichana...
  18. Miss Natafuta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

    Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi na mwanafunzi sio kosa kisheria, bali inahesabika kama kubaka

    Wakuu, Baadhi ya wadau wa sheria wamekiri kuwa kosa la kufanya mapenzi na mwanafunzi halipo kisheria bali neno kubaka ndilo linalotambulika. Wameyasema hayo baada ya hukumu ya hivi karibuni ya MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba kuamua kuwa kufanya mapenzi na mwanafunzi siyo kosa...
  20. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekua nikisumbuliwa na hamu kufanya mapenzi mara kwa mara hadi sasa idadi ya wanawake ni wengi nisaidieni jamani

    Habarini wakuu mimi kijana wa miaka 27 tu lakini nahisi mpaka sasa nimeshafanya mapenzi na wanawake idadi inakaribia 50 Najiuliza kwanini hii hali inanitokea siipendi naichukia yaan mwanzo wa mwaka huu hali ilikua shwari hadi mwezi wa tisa nilikua nimefanya mapenzi na wanawake wanne tu kwa...
Back
Top Bottom