kufanya kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Badala ya baadhi ya viongozi kusimama kwenye nafasi zao, wamekalia kuwasema watu

    Kuna baadhi ya viongozi badala kusimama kwenye nafasi zao kufanya kazi wamekalia kuwasema watu ndio maana mnaleta uzembe mpaka watu wanapoteza mali zao. Rais amewaweka mmsaidie kufanya kazi na sio kuwasema watu. Hivi mkiwasema watu mnafaidika na nini. Fanyeni kazi acheni maneno, kila mmoja...
  2. RC Makalla aiagiza NHC kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha machinjio ya Vingunguti

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Agosti 1, 2021 machinjio ya kisasa ya Vingunguti ianze kutumika. Makalla ametoa agizo hilo jana Julai 8, 2021 wakati alipotembelea machinjio hayo na kukuta...
  3. Siri kuu ya mafanikio; fanya kazi yako na wawezeshe wengine kufanya kazi zao

    Rafiki yangu mpendwa, Hakuna kitu kimekuwa kinatafutwa kwa muda mrefu kama siri za mafanikio. Mamilioni ya vitabu yameandikwa kuhusu siri za mafanikio. Lakini siri hizo hazijafichwa kwa namna yoyote ile, ziko wazi kabisa. Ambacho watu wamekuwa wanatafuta kwenye siri za mafanikio ni njia ya...
  4. Kufanya kazi na watu wanaoielewa dunia ni raha sana

    Watu wanaielewa dunia kwa kusoma, kusafiri, kuchangamana na jamii tofauti nk. Ukipata bahati ya kufanya hata kazi za ndani kwa watu wa aina hii unapata ahueni. Kazi za ndani kwa houseboy au house girl atahakikisha kabla ya ajira una sehemu ya kuishi ambayo unamudu kuilipia. Inawezekana ikawa...
  5. Diva aomba kurejea Clouds Media, apewa sharti la kwenda kufanya kazi Wasafi FM. Kutambulishwa hivi karibuni

    Wasalaam wana jamvi. Baada ya Mtangazaji Diva kuacha kazi kwa mwaka sasa ni rasmi kurejea tena. Baada ya kukaa muda mrefu bila kufanya kazi na uku hakuna media iliyomfata kutaka kufanya nae kazi baada ya kukaaa muda mrefu nje ya utangazaji. Mtangazaji Diva aliandika barua kwa kusaga kuomba...
  6. Maoni yangu: Secretariati yetu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya kazi mbili maana muda si rafiki

    MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI. Leo 11:11hrs 05/06/2021 1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25 2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
  7. M

    Mtu mwenye shahada ya sheria anaweza kufanya kazi idara ya mazingira?

    Habari zenu wandugu, naomba kujua, hivi mtu ambaye ana fani ya sheria anaweza Fanya kazi ama kuajiriwa kama afisa mazingira au misitu, ama idara yeyote inayo jihusisha na mazingira? Naombeni tufahamishane wandugu kwa wale wenye ufahamu kuhusu hili... Mungu awabariki..
  8. Fursa kwa wasanii wa Tanzania ya kufanya kazi na Akon

    Boomplay na Hitlab wametangaza Shindano la kuvumbua vipaji kidijitali kwa wasanii Chipukizi linalomshirikisha nyota wa muziki wa Marekani mwenye asili ya Senagali, Akon. Dar es Salaam, Tanzania, Mei 26, 2021. Boomplay na Hitlab wameungana kuwawezesha wasanii chipukizi kufanya kazi na nyota wa...
  9. A

    Ni wakati muafaka wa Kurekebisha Taasisi za TRA na PCCB kufanya kazi kwa Weledi

    Katika kipindi cha awamu ya tano kilichojibatiza na kujiita serikali ya "mwendazake" ampapo mzee wa Lupaso RIP Ben Mkapa alilikemea hilo bila kificho. 1. TRA waligeuka kuwa genge fulani la wahalifu kwa kupora pesa kwa wafanyabiashara kwa kuwabambikiza kodi za juu na za uongo ili kutengeneza...
  10. UN: Vifo 745,000 vimetokona na kufanya kazi sana

    Utafiti wa Shirika la Afya duniani WHO, na la kazi duniani ILO unaonesha kufanya kazi kwa muda mwingi katika kipindi cha mwaka 2016, kumechangia vifo 745,000. Katika utafiti weao huo, mashirika WHO na ILO kwa pamoja yanakadiria watu 398,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa kiharusi na 347,000...
  11. Z

    Rais Samia, Watanzania kuruhusiwa kufanya kazi Kenya tuepushe na mtego huo

    Kuna maamuzi ambayo kihistoria unajua tu huo ni mtego mbaya sana! Hatuhitaji ruhusa kama hiyo ambayo ni nadharia tu! Kenya Mkikuyu hawezi kuajiliwa na Mluo. Mluo naye hawezi kuajiliwa na Mkikuyu. Ni hivyo hivyo kwa makabila mengine. Maana yake, hakuna ajira kwa M-TZ, labda kama ni kuzoa uchafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…