Rafiki yangu mpendwa,
Kauli huwa zinaumba.
Kauli zinaumba kwa sababu zinatokana na mtazamo na imani zilizo ndani yetu.
Kauli tunazotumia zinatokana na kile tunachoamini.
Unaweza kujiambia ni kauli ya kawaida tu, ila kama unaitumia, jua ina nguvu kubwa sana kwako.
Kuna kauli kumi ambazo kama...