kuendeleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  2. Rais Samia kuendeleza kwa kuwa wa kwanza...

    Mama Samia. Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania. Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili. Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu. Rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya watu wengi kufa, kuumia, mali kuharibiwa na maelfu kukamatwa na kufunguliwa kesi za uhaini...
  3. L

    Wataalamu wa Afrika wapongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo ya Afrika

    Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi. Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
  4. Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
  5. Kumteua mtu anayetegemea kuuza bidhaa za China kuendeleza biashara ya Tanzania ni kukosa maono

  6. MNEC Toufiq Salim Turky Aahidi Kuendeleza Ufadhili wa Walimu wa Madrasa Katika Jimbo la Mpendae

    MNEC TOUFIQ TURKY AAHIDI KUENDELEZA UFADHILI WA WALIMU WA MADRASA Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Toufiq Salim Turky amekutana na viongozi mbalimbali wa Misikiti na Walimu wa Madrasa katika Jimbo la Mpendae ambapo amewatoa wasiwasi kwa kuahidi kuwa ataendelea...
  7. CCM na Siasa ya Kuendeleza Umaskini: Uongozi au Uonevu wa Kitaasisi?

    CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
  8. Kamati Kuu CCM wapitisheni Wabunge wanaomaliza muda wao ili kuendeleza 4R

    Wabunge wanaomaliza muda wao. Walipambania Chama Enzi za DP World. Tuwarudishe Bungeni kuendeleza 4R OktobaTUNATIKI Mshana Jr Lucas Mwashambwa Mpwayungu Village
  9. Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza vita dhidi ya Ukraine hadi pale mataifa ya Magharibi yatakapokubali kujadili amani kwa masharti yake, licha ya tishio la Rais Donald Trump kuiwekea Urusi vikwazo zaidi. MigogoroUlaya Putin apuuza vitisho vya Trump, aapa kuendeleza vita Ukraine...
  10. Dini ni uongo unaopumbaza na kuendeleza fikra za kitumwa

    1. UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, dini imekuwa na nafasi kubwa katika maisha ya watu—ikiwapa matumaini, maadili na mwongozo wa maisha. Lakini katika upande wa pili wa sarafu, dini pia imekuwa kifaa cha kihistoria cha udanganyifu, unyonyaji, uongo, na utumwa wa kiakili. Kwa bara la...
  11. N

    Yas yazindua kampeni ya 'anzia ulipo' kuendeleza mapinduzi ya kidigitali visiwani Zanzibar

    Mkurugenzi wa Yas Zanzibar, Ndugu Aziz Ali Said akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika jana Zanzibar. Katika hatua nyingine ya kuimarisha na kuendeleza nafasi yake kama kinara wa mapinduzi ya kidijitali nchini, Kampuni ya Mawasiliano ya Yas imezindua rasmi kampeni ya “Anzia Ulipo”...
  12. Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Friends and Our Enemies, GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake. Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
  13. Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

    Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani. Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla. Na kwa...
  14. Mavunde: Tutazifutia leseni kampuni 95 za uchimbaji zilizoshindwa kuendeleza maeneo waliyopewa na Serikali

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ametoa agizo kwa makampuni ya uchimbaji takribani 95 ambayo yamepewa leseni za uchimbaji lakini bado yanaendelea kusuasua kuaza uchimbaji. Akizungumzia suala hilo Mei 6, 2025 bila kutaja majina ya wawekezaji hao, Mavunde amesema kwamba wameainisha makampuni...
  15. Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia

    Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia, imesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia katika kuendeleza...
  16. Waandaaji wa Samia Cup acheni Ushamba sasa kuleta Wachezaji wa Premier League kucheza ndiko Kuendeleza vipaji vya Vijana?

    Hamna Akili nyie Mashindano haya ni ya Kukuza vipaji vya Vijana nyie mnaleta akina Kibabage, Baleke na Mzize wa nini?
  17. Tanzania na Korea Zajadiliana Njia Bora ya Kuendeleza Madini Mkakati

    TANZANIA NA KOREA ZAJADILIANA NJIA BORA YA KUENDELEZA MADINI MKAKATI ▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano kwenye utafiti wa madini na uongezaji wa thamani madink ▪️Korea yaonesha utayari kuwekeza nchini katika uendelezaji wa madini mkakati ▪️Serikali ya Tanzania kuandaa mkakati maalum ya...
  18. Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  19. Tanzania na Uingereza Kushirikiana Katika Kuendeleza Madini Mkakati

    ▪️Waziri Mavunde ainisha Mkakati wa uongezaji thamani Madini ▪️Taasisi za Jiolojia na Utafiti Madini za Tanzania na Uingereza kushirikiana ▪️Watanzania kujengewa uwezo kukuza ujuzi 📍Dar es Salaam Serikali ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta...
  20. Ushirikiano wa China na Afrika waonyesha mfano bora wa kuendeleza ustawi wa pamoja

    Wakati mwaka mpya unapoanza, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ameanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2025 kwa kutembelea bara la Afrika, akiendeleza utamaduni wa diplomasia unaotimiza miaka 35. Ziara hii inaonyesha ahadi ya kudumu ya kuimarisha ushirikiano na Afrika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…