Bilioni 31 za ukarabati uwanja wa Mkapa zimeibiwa mchana kweupe, Tunaomba maelezo juu ya matumizi ya pesa hizo - "Tanzania ni nchi ya amani, Nimekula kiapo kuilinda amani ya nchi"
Tume ya uchaguzi sio huru, Uongozi wote na watendaji ni wateuliwa wa mgombea wa CCM, Tunaomba reforms zifanyike...