Rais wa China, Xi Jinping katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya Nje ya Urusi, Sergei Lavrov, mjini Tianjin, amesema nchi hizo mbili zinapaswa "kuimarisha uungaji mkono wa pande zote.
Xi amesema China na Urusi zinatakiwa kufanya kazi pamoja kuziunganisha nchi za kusini mwa dunia na kukuza...