kuelekea uchaguzi mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PreGE2025 Waziri Damas Ndumbaro awataka wanasiasa wote kuheshimu na kulinda katiba ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Wanasiasa wote nchini kutoka vyama vyote vya siasa kuhakikisha wanalinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2025...
  2. Kekule Wa Benzene Ring

    PreGE2025 Tegemea muungano wa vyama hivi kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Straight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025. Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi akutana na viongozi wa dini Zanzibar kujadili amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu. Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Watanzania tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa na maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  5. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Live from JNCC: Kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa na Jukwaa la Wahariri, kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Wanabodi Jumamosi ya leo, nimeanzia, ukumbi wa JNCC, kwenye kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Jukwaa la Wahariri (TEF), kuelekea uchaguzi mkuu 2025!. NB: Kumbe Kikao hiki ni Strictly Confidential!, hivyo nitawapa briefing...
  6. Genius Man

    Mamlaka inaonekana inataka kuzima mabadiliko ya haki kuelekea uchaguzi mkuu kwa kufanya makosa zaidi

    Kitendo cha mamlaka kuwajia juu viongozi wa dini walio hamasisha haki na kuwataka wakae kimya, na hata kuwapiga upinzani na kuwafungulia mashtaka ya uhaini na wengine kuuwawa. Ni wazi kuwa mamlaka inajaribu kutumia madaraka iliyonayo kuzima mabadiliko yoyote ya haki yaliyo hamasishwa kwa...
  7. peno hasegawa

    Kukamatwa kwa Lissu, Kuumizwa kwa Padre Kitima, na Kutekwa kwa Nyangali: Watanganyika wamejifunza nini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, matukio kadhaa ya kutisha yameibuka nchini Tanzania, ambayo yanaonyesha hali halisi ya siasa na usalama. Kukamatwa Tundu Lissu, kuumizwa kwa Padre Kitima, na kutekwa kwa mwanaharakati Nyangali ni mifano hai ya changamoto zinazokabili demokrasia...
  8. W

    PreGE2025 RC Mtanda asisitiza amani kuelekea uchaguzi mkuu

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa wito kwa wafanyakazi nchini kuhakikisha wanadumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu, akisema amani ni nguzo muhimu ya upatikanaji wa haki na ustawi wa jamii. Mtanda ametoa kauli hiyo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CPA Amos Makalla: CCM itafanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CCM CPA Amos Makalla akieleza namna chama hicho tawala nchini kilivyojipanga kufanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  10. P

    PreGE2025 Kauli za Kisiasa Makanisani na Misikitini zazidi kuzua mjadala kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2025. Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na matamko ya...
  11. J

    PreGE2025 Balozi Nchimbi: Tusivurugwe miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu

    BALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa wanaojaribu kuhatarisha haki...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 DC Songea, Kapenjama: Uchaguzi haujaiacha Afrika salama, Uchaguzi usiharibu amani ya nchi

    Mkuu wa Wilaya ya Songea, Wilman Kapenjama Ndile, ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhakikisha wanasimamia na kuhimiza amani nchini ambacho taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu. Akizungumza wakati wa ibada ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi...
  13. Area 56

    PreGE2025 Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu ni legacy ya hayati Magufuli, itoshe kusema ameharibu mifumo ya utawala bora

    Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli. Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli. Kesi za jinai kwa wapinzania...
  14. Nipe Maji

    PreGE2025 Rais TAHLISO: Tumieni nafasi zenu za kuwa wasomi kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), Ndg. Geofrey Kiliba, ametoa wito kwa wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla kuhakikisha wanaendeleza amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza leo Aprili 13, 2025 jijini...
  15. figganigga

    Wabunge wamuelekeza CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Ina Ufisadi Mkubwa

    Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
  16. Tlaatlaah

    PreGE2025 Anguko la Chadema kwenye Medani za Siasa za Tanzania hukukukiwa na mgawanyiko mkubwa kuelekea Uchaguzi, nani wa kulaumiwa?

    Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe. Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa? Ni G55 au ule upande wa no reform no elections? Je, ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Hoja sita za ACT Wazalendo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, yataka Tume huru ya Uchaguzi iwe ya kweli

    Chama cha ACT Wazalendo kimeainisha hoja sita muhimu ambazo kinasisitiza kuwa utekelezaji wake na Serikali pamoja na Tume ya Uchaguzi ni msingi wa kujenga mazingira ya kuaminiana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza katika Kongamano la Tatu la Operesheni Linda Demokrasia...
  18. peno hasegawa

    Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  19. peno hasegawa

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Kwanini CCM Haitumii, Kumbukumbu ya Rais John Magufuli kuwaelezea wananchi ukweli wa Maisha Bora Kila mtanzania

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kwa jamii yetu kuangazia na kukumbuka urithi wa viongozi wetu, hususan Rais John Joseph Magufuli. Tunaiomba serikali, vyombo vya habari, na waandishi wa habari kote nchini kuanzisha kampeni ya kuonyesha vipindi vya Rais Magufuli wakati wa...
  20. Tlaatlaah

    NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
Back
Top Bottom