kuelekea uchaguzi mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Malalamiko ya Viongozi wa CCM Wastaafu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutoa malalamiko yao kuhusu hali ya haki katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama. Malalamiko haya yanakuja wakati ambapo chama hicho kinajiandaa kwa uchaguzi ambao unatarajiwa kuwa na changamoto...
  2. TheForgotten Genious

    PreGE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu ili kukabiliana na rushwa TAKUKURU Tumieni maafisa vipenyo na mawakala vicheche

    90% chaguai nyingi zinagubikwa na rushwa kuanzia ndani ya vyama na nje ya vyama . Wagombea wengi huwatumia viongozi katika serikali za mitaa ili kupenyeza rushwa zao kwenda kwa wananchi hili ninelifanyia utafiti kwa kuwahoji baadhi ya vijana na wakakiri kwamba huwa wanapewa around 15k kupitia...
  3. Just Pray

    Serikali kuanza ujenzi wa kituo kipya cha Afya Vunta Same Kilimanjaro, hii miradi inaanzishwa kimkakati kuelekea uchaguzi mkuu

    Wakuu sasahivi kumekuwa na miradi mingi inayoanzishwa na serikali, ni kama mkakati wa kuwavuta wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, zipo kero na miradi mingi huko nyuma hakuna aliyekuwa akiitazama ila kwa kuwa ni mwaka wa uchaguzi ndio wanaamka kutoka kwenye usingizi mzito sana. Je, CCM wanatufaa...
  4. D

    2025 CCM out, mpende msipende. Vijana wamekata tamaa

    CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
  5. B

    PreGE2025 Vijana wa IT na Computer Science tengenezeni programu itakayowezesha zoezi la Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa Uhuru na Haki

    Sisi kama watanzania tunataka uwazi na haki itendeke wakati wote wa kupiga kura, kutangaza matokeo, na kutangaza mshindi wa uchaguzi wa diwani, mbunge na rais kwa uchunguzi wa 2025. Japo mifumo yetu ya uchaguzi sio rafiki kufanya uchunguzi mkuu uwe wa uhuru na haki ila ni TAKWA LA WANANCHI...
  6. Mindyou

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar atangaza msimamo wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimesema bila mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi nchini, hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Mzee Miraji amesema hawatakubali kuwa na sheria mbovu za uchaguzi na haiwezekani wakurugenzi...
  7. Wakusoma 12

    PreGE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu, wenye mamlaka wanatukana wananchi. Case study Chalamila

    Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya kiakili huyu mtu? Unamtukana mama mjamzito bila sababu ya msingi? Kweli? Huu ni utopolo mkubwa mazee...
  8. T

    Katakata ya umeme imeanza upya kuelekea uchaguzi mkuu, hapa kirumba Mwanza umekatwa.

    Hili suala la kukatika umeme limeanza upya mbali na kuaminishwa na Naibu Waziri Mkuu kuwa limekwisha baada ya Mitambo kuanza kufanya kazi Rufiji. je kulikoni leo huku Kabuhoro wamekata muda mrefu tu bila taarifa.TANESCO iko shida kubwa, Watamharibia mama.
  9. K

    Tumuombee mzee Wasira

    Sijui kwanini familia ya Mzee Wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira. Huyu ni mzee ambaye anasahau mpaka yupo awamu gani kitendo cha kuwaachia CCM wamtumie mzee wenu hivi ni kitendo cha...
  10. milele amina

    Watumishi wa Umma someni hapa Kuna Ujumbe wenu muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema! Niwatakie siku njema!! Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi. ====== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 unatoa fursa muhimu kwa vijana kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuamua mustakabali wa taifa. Vijana, ambao wanaunda zaidi ya asilimia 34 ya idadi ya watu nchini, wana nafasi kubwa ya kuleta mabadiliko makubwa kwenye siasa na...
  12. Kekule Wa Benzene Ring

    PreGE2025 Tetesi: Taarifa za Kiintelijensia ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Za ndani kabisa imefichuka kuwa Kuna Kila Dalili ya makundi matatu yenye nguvu kuungana na kupinga mwenyekiti aliyepo madarakani kugombea URAIS tena 2025. Lengo lao ni kuvunja matabaka na tofauti zao na kumsimamisha mtu mmoja ambaye ni mgeni ndani ya chama. Na hili Ili litokee wameandaa watu...
  13. Mindyou

    PreGE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

    Wakuu, Siku ya jana aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini kupitia akaunti yake ya X aliahidi kwamba siku ya leo Tarehe 14 January 2024 atakuwa anazungumza na wanahabari. Wengi wameshuku kuwa huenda Lema atazungumzia kuhusu Uchaguzi wa CHADEMA na kuainisha ni mgombea gani ya...
  14. milele amina

    PreGE2025 Athari za TAL kwa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

    Lissu akimaliza mchakato wa uchaguzi wa ndani wa Chadema, kuna uwezekano mkubwa kwamba atahamishia mapambano yake kwenye serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Hii ni kutokana na historia yake ya kisiasa na mbinu zake za kukabiliana na changamoto zinazohusiana na utawala. Hivyo, ni muhimu kwa...
  15. Knock life

    Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  16. Tlaatlaah

    PreGE2025 Masaa 48 ya Mbowe kuamua hatma na uelekeo wa chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali, uelekeo na myukano wa kisiasa wa aina ya kitofauti mno ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa ndani ya...
  17. Doctor Mama Amon

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Majibu ya kitendawili cha 'Governor's Dilemma' yanamkweza Tundu Lissu na kuwashusha Mbowe, Samia na Hussein Mwinyi

    "Hata alipokwisha kunena, Yesu alimwambia Simoni Petro, twika mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi...
  18. B

    Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 naiona CHADEMA kugawanyika sehemu mbili "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Wazalendo"

    Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye amejipanga na watu wake wanaomuunga mkono kutetea tena nafsi yake kama hiyo. Kwa hali inavyoonyesha...
  19. Y

    PreGE2025 Viwango vya Rais Samia ni ishara ya ushindi wa kimbunga kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ! Chama cha mapinduzi ni miongoni mwa vyama vya siasa vilivyopata bahati kubwa sana ya kuwa na tunu ya watu wenye uwezo na weledi mkubwa sana linapokuja suala la uongozi na utawala. hii sio mara ya kwanza kwa jambo hili kuzungumzwa lakini...
  20. Samia atosha tukutane2030

    PreGE2025 Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe. 2. Kuna kiongozi wa dini ambaye atakuwa upande wa CCM na ataambatana na mgombea Urais wa CCM atakufa kabla ya...
Back
Top Bottom