kuelekea uchaguzi mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

  2. Tlaatlaah

    GE2025 Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea urais maarufu zaidi nchini Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa Octoba, kuliko wagombea wa vyama vingine

    Hii ikiashiria na kutoa picha kamili kwamba, mgombea huyu mashuhuri wa CCM ndie anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu huo muhimu sana na wa kihistoria nchini Tanazania. Muarifu na mdau mwingine wa JF kwa upendo kuhusu jambo hili la maana na la kweli kabisaa...
  3. Tlaatlaah

    GE2025 Kuelekea uchaguzi mkuu wa october 2025, agenda kuu ya taifa ni moja tu

    Ni kumthibitisha Dr.Samia Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM taifa, kua rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha pili mfululizo kulingana na katiba ya chama cha mapinduzi na katiba ya Tanzania. Usibishane na mtu kuhusu agenda hii ya lazima na muhimu sana isiyoepukika kwa...
  4. Tlaatlaah

    Hivi Chadema ni imekaushwa na CHAUMMA au imejikausha yenyewe kwenye medani za siasa za Tanzania kuelekea Uchaguzi mkuu wa October 2025?

    Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Mtemi Fundikila atangaza Dua maalum kuelekea uchaguzi mkuu

    Makamu Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Mtemi Msogata Fundikila ametangaza kuwa kesho ataungana na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tabora na mikoa ya jirani kufanya Dua maalumu ya kuiombea amani Tanzania hususan katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025. Mtemi huyo amesema...
  6. Roving Journalist

    Mkutano wa Wadau kujadili Mchango wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, leo Julai 9, 2025

    Mkutano wa kujadili mchango wa Sekta ya Habari katika kufanikisha Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 2025, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano huo unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, leo Julai 9...
  7. Area 56

    Kama Magufuli angelikuwa hai, nyakati hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu hali ingekuwaje?

    Je angekuwa anajiandaa kumpisha Rais mwingine? Je angekuwa kashabadili katiba? Je uchumi ungekuwaje? SGR ingekuwa imefikia wapi? Hali ingekuwaje?
  8. JanguKamaJangu

    GE2025 Dkt. Stergomena Tax aonya viashiria vya kuvuruga amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 7 Julai 2025, ameonya na kuwatahadharisha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, kuwa macho na kujiepusha na makundi au watu wenye nia ovu na Nchi ya Tanzania, watakaotaka kuutumia mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa...
  9. Genius Man

    GE2025 Bila kujali hadhi ya mtu, jinsia au dini suala la kutoa baiskeli na fedha, na tshirt kuelekea uchaguzi mkuu hii ni rushwa haijarishi wewe ni rais

    Watu wanafikiri sisi hatutaki rushwa? ndio sisi hatutaki rushwa kwa yoyote hata kwa raisi, hivyo hili suala la kutoa baiskeli sijui vihela ni rushwa ya wazi wazi na inachafua taswira ya nchi kwa ujumla tunaipinga kwa nguvu zote. Nasikitika kumuona raisi samia kwenye uelekeo huo wa kugawa vitu...
  10. L

    Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima tufahamu kama Taifa tuna maadui ambao kila siku wanawaza na kufikiria namna ya kuichafua Nchi na Taifa letu kimataifa,namna ya kuharibu taswira nzuri ya Taifa letu,namna ya kuvuruga amani na utulivu wa Taifa letu,namna ya kuharibu umoja wa kitaifa,namna ya...
  11. The Zanzibar Echo

    Tanzania: Viongozi waanza kuchukua fomu za ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
  12. R

    Ikitokea TEC na Gwajima wakashirikiana, kishindo chake kitakuwaje kuelekea uchaguzi Mkuu?

    Salaam, Shalom! Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃 Unadhani kishindo chake kitakuwaje? Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist Mungu ibariki Nyikani. Karibuni 🙏
  13. Mindyou

    PreGE2025 Rais Samia: Waganga wa Kienyeji, mgombea akija na fungu, wewe kula; lakini…

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya ZIWA, leo tarehe 21 Juni, 2025, Rais Samia amesema: "Ombi langu hasa kwa viongozi hasa wa kimila, waganga wale wa kienyeji ombi langu, kipindi hiki wanaoomba kupata nafasi mbalimbali watawatembelea na wanapo watembelea...
  14. Kitimoto

    Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  15. P

    PreGE2025 Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo. Yaani ni hekaheka, patashika nguo...
  16. Mzee wa Code

    PreGE2025 Wabunge 19 walioingia mgogoro na CHADEMA wamegawanyika makundi kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

    Wabunge 19 Walioingia Mgogoro na CHADEMA Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Wabunge waliokuwa sehemu ya mgogoro wa kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) sasa wamegawanyika katika makundi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Baadhi tayari wametangaza kujiunga na CCM na kutangaza...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Maoni ya Wananchi post ya St Bongo Instagram iliyohoji 'Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu?

    Wakuu, Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
  18. M

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  19. Area 56

    PreGE2025 Uzi Maalum wa Celebrities wanaotangaza nia ya kuwania ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Jana Baba Levo ametangaza kugombea ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini. Masaa machache baadae mtangazaji mwenzake wa Wasafi FM, Diva ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini. Uzi huu utakuwa ni maalum kwa celebrities ambao wanatangaza nia za kuwania Ubunge kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025.
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na kufanya marekebisho ya Katiba katika Mkutano Mkuu Maalumu Mei 29–30

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...
Back
Top Bottom