kuelekea uchaguzi mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PreGE2025 Baadhi ya wananchi wamewataka wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu

    Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati. Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  2. The Khoisan

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu; Sasa ni Wakati wa Muafaka wa Kuwatofautisha CHAWA n VIRUS

    Toka Maza ameinhia madarakani kumeibuka Wapambe na Washabiki wakubwa wa Mama pamoja na CCM kwa jina Maarufu wanafahakika kama CHAWA. Lakini ukiangalia kwa jicho la pili siyo kuwa hawa wote ni chawa wa kweli. Chawa wa kweli wapo kwa kazi moja tu, kuhakikisha kuwa Maza anaendelea kuongoza. Design...
  3. W

    PreGE2025 TLP: Wanaotaka muungano wa vyama na sisi, wakubali mgombea Urais atokee TLP

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho na sababu kwa nini wananchi wawaunge mkono. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  4. R

    PreGE2025 Ijue nguvu ya kelele Katika kuangusha ngome ya adui wa wananchi kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Hellow! Utapingana na Mimi kama hujawahi simama Katika umma wa wananchi kama kiongozi, ila utakubaliana nami kuwa Katika halaiki yoyote, kelele za umati wa watu kushangilia au kuzomea zina nguvu kubwa sana Katika kuongeza ujasiri au kuingiza hofu kwa kiongozi asimamaye jukwaani. Niliwahi...
  5. mwanamwana

    PreGE2025 Sheikh Mkuu BAKWATA Mwanza: Kauli yoyote inayoashiria kuvunja amani ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu tuikatae

    Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa kumeanza kutokea viashiria vya lugha mbaya zinazotoka kwa viongozi wa kisiasa nchini, ambazo zinaweza kusababisha amani ya nchi kupotea. Sheikh Kabeke amesema hayo wakati wa mashindano ya...
  6. upupu255

    PreGE2025 Sheikh Akilimali: Tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Sheikh Rashid Akilimali, Sheikh wa Mkoa wa Rukwa, amewahimiza wananchi kudumisha amani na utulivu wakati taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Ametoa pongezi kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kuunganisha Watanzania bila kujali tofauti za kidini, kikabila au...
  7. mwanamwana

    PreGE2025 Mapendekezo ya Mgawanyo na Mabadiliko ya Majimbo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Mgawanyo wa majimbo ya uchaguzi ni hatua muhimu katika mchakato wa Demokrasia nchini Tanzania. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inawajibika kuhakikisha kuwa majimbo yanagawanywa kwa kuzingatia vigezo kama idadi ya watu, jiografia, na mahitaji ya uwakilishi wa wananchi. Katika Uchaguzi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Viongozi wa Dini Shinyanga Wakemea Ukatili dhidi ya Watu wenye Ualbino Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Kuelekea katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 viongozi wa Dini mkoani Shinyanga wamekemea vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watu wenye Ualibino ikiwemo mauaji ambayo hushamiri wakati wa uchaguzi yahusishwa na imani za ushirikiana kwa dhana potofu ya kupata uongozi. Tamko hilo limetolewa na...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Godfrey Sitta: Mimi ni CCM, lakini kwa hapa tulipofikia nipo tayari kufa kwa kusema ukweli, ndani ya CCM kuna makundi

    Kada Godfrey Sitta wa CCM kutoka Wilaya ya Meatu, ajitokeza hadharani kufichua yaliyojificha ndani ya Chama kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Mimi ni CCM, lakini kwa hapa tulipofikia nipo tayari kufa kwa kusema ukweli. Kada wa CCM afichua madudu yaliyojificha ndani ya chama.
  10. Tlaatlaah

    No reforms No election kuigawa na kuisambaratisha CHADEMA kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025

    Makada wake maeneo mbalimbali nchini wamegawanyika, wapo waoendelea kujipanga na kutangaza nia za kugombea urasi, ubunge na udiwani, huku wengine wakiwa na msimamo sawa na ule wa mwenyekiti wa chama hicho Taifa na katibu mkuu wake, ambao mara kwa mara wamekua wakidai kutoshiriki uchaguz mkuu...
  11. Tlaatlaah

    PreGE2025 Kauli mbiu ya ccm ya 'kazi na utu tunasonga mbele' inalenga kuwaunganisha watanzania kama familia moja kuelekea uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct 2025

    Ni muendelezo wa nia na dhamira njema ya CCM na mbeba maono wa waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa kua imara zaidi katika umoja, amani na mshikamano, na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu kwa maslahi mapana ya waTanzania wote. Kwa wakazi wa mkoa wa...
  12. State Propaganda

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi mkuu : Wapinzani bado wamezubaa sana

    Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA. CCM wao wako busy kubuni mbinu za kunasa makundi mengi ya wananchi waisapoti na kuipa kura nyingi uchaguzi mkuu. Wanabuni vikundi vya...
  13. milele amina

    Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  14. K

    PreGE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

    Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana. Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
  15. milele amina

    PreGE2025 Chanzo cha Tanzania Kuwepo kwa 'Electoral Fraud' na Njia za Kuondoa Hali Hiyo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, imekuwa ikikabiliwa na changamoto za uchaguzi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za udanganyifu wa uchaguzi (electoral fraud). Hali hii inachangia kutokuwepo kwa imani miongoni mwa wapiga kura na inaweza kuhatarisha demokrasia ya nchi. Chanzo cha...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM yatakiwa kuandaa kambi za mafunzo kwa Vijana kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM ) Rehema Sombi Omary amewataka Viongozi wa UVCCM Mikoa yote Nchini kuandaa Kambi za Mafunzo maalumu kwa Vijana ili Kuweza kuwajenga na kuwafunda Vijana kuwa Wazalendo katika Taifa kuelekea Uchaguzi mkuu. Kupata matukio na...
  17. upupu255

    PreGE2025 Rais Mwinyi: Tuendelee kuiombea nchi Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani Ulimwenguni. Akizungumza katika Dua Maalum ya Kuiombea Nchi pamoja na Viongozi Wakuu, Rais wa Zanzibar na...
  18. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini watanzania wanaona wako salama zaidi kuongozwa na CCM chini ya uongozi madhubuti wa Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu?

    Nini kimepelekea upinzani kutoaminika kabisa nchini, kukosa hamasa na kuonekana kana kwamba ni watu wa mipango ya kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi yao binafsi tu na sio kutumikia wananchi? Nini hasa kinafanya hata baadhi ya vyama vya upinzani kuonekana kama ni makundi ya kukinufaisha...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

    Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  20. Tlaatlaah

    PreGE2025 Nini kilichosababisha Tundu Lissu kukwepa mdahalo wa kisiasa na mzee Wassira kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba?

    Kwamba pamoja na uzee wake, Lakini kumbe makamu mwenyekiti wa CCM bara, mzee Stephen Wasira ni vibrant, powerful na influencial politician, kiasi kwamba mtu anaejiita msomi, mwenye mdomo na makelele mengi kula kona na kukacha fursa hiyo muhimu ya kujipambanua kwa umma? Ndugu mdau, Tundu Lisu...
Back
Top Bottom