Serikali kupitia Wizara ya Maji imekamilisha ujenzi mradi mkubwa wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1, huku Wananchi 14074 wa Vijiji vitatu vya Baluli, Mwabuma na Mwashata, Kata ya Mwabuma, Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wakinufaika na mradi huo, ambao unatajwa utaondoa changamoto...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeshughulikia kwa haraka hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama, na kwa sasa barabara hiyo inapitika kama kawaida.
Asubuhi ya leo Machi 24, 2025 majira ya saa 12:30, maji kutoka milima ya Kitumbi na...
Ninaomb a sana tuwe na uwazi katika kila jambo tunalolifanya kuelekea uchaguzi wa 2025. Tuige nchi ya jirani yetu ya Kenya ilivyo na uwazi kwenye masuala ya uchaguzi. Leo kule Kenya waombaji wote walioomba nafasi ya Mwenyekiti wa IEBC wanahojiwa mubashara (Live) kupitia luninga ya Citizen...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM katika wilaya za Karagwe na Kyerwa kupunguza matumizi ya fedha katika michakato ya uchaguzi wa ndani ya chama.
Akizungumza na wanachama wa CCM siku ya Jumapili mkoani Kagera, Wasira amekemea vikali...
Zaidi ya Wakazi 2000 wa Kata ya Nyankende Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na tatizo la kutumia Maji ya kwenye visima na Mabwawa baada ya Serikali kujenga Mradi wa Maji Safi na Salama wenye gharama ya Shilingi Milioni 192.8.
Baadhi ya Wanufaika wa Mradi huo akiwemo Veronica...
Afisa Tarafa wa kata ya Bungu Wilayani Korogwe Ndugu Peter Kahindi amefanya uzinduzi wa kilimo mbadala spices yaani viungo, karafuu, iriki ,mdalasini Tangawizi na nk.
Akizungumza na waandishi wa Habari Peter Kihindi katika uzinduzi huo amesema lengo la kuzindua kilimo hicho ni kuunga mkono...
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan manispaa ya Songea iliyopo mkoani Ruvuma imenufaika kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye zaidi ya shilingi bilioni 188 katika kata 21 zinazounda manispaa hiyo.
Akieleza...
Serikali imetoa Sh bilioni 106.4 kufanikisha miradi ya maji, afya, barabara, umeme na elimu katika jimbo la Bukoba Vijijini mkoani Kagera kwa kipindi cha miaka minne, Mbunge wa jimbo hilo, Jassoni Rweikiza anasema.
Akizungumza jana katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Makamu Mwenyekiti wa...
Mkuu wa wiyala ya Ilala Edward Mpogolo amemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuendelea kutoa pesa Halmashauri ya Ilala na kuweza kutekeleza Miradi mbali Mbali katika wilaya hiyo
Mpogolo amesema katika kipindi cha miaka 4 ya Rais Dkt. Samia zaidi ya Bilioni 317 zimetolewa kwenye wilaya ya Ilala na...
Vifaa vya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa Idara Halmashauri ya Mbeya Mkoa wa Mbeya vyenye thamani ya zaidi ya milioni sabini tatu, havijulikani viliko na hakuna taarifa ya matumizi yake, huku Afisa Manunuzi wa halmashauri hiyo akishindwa kutoa taarifa kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI.
Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo.
1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu
Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano...
Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili
Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, amemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusaidia kujenga bandari kavu Makambako, kutokana na ukweli kwamba eneo hilo na mkoa wa Njombe unapitiwa na reli ya TAZARA na hiyo itasaidia kusukuma ajenda ya miradi mikubwa katika mikoa yote ya Nyanda za Juu Kusini...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde amesema ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga umefikia asilimia 75 na utakamilika Juni 10, mwaka huu.
Amesema kukamilika kwake kutawezesha ndege aina ya Bombadier Q400 kuanza kukitumia kiwanja hicho chenye urefu wa mita 2200 na upana wa mita...
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu 'Musukuma' akiwa sehemu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ameelezwa kufurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa...
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi...
Serikali imetenga takribani Shilingi Trilioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi za vyuo vikuu mikoa takribani Kumi na Sita iliyokuwa haina kampasi ya ya vyuo vikuu
Akizungumza katika Kongamano la Dhahabu la miaka Minne ya Dkt Samia suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha nchi nzima...
Kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC) imetembelea mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa uliopo chini ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na kueleza kuridhishwa na miradi hiyo ambayo ikikamilika italeta tija kubwa kwa wananchi na wanafunzi katika chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.