kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaonesha kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe Dodoma

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Kamati hiyo imesema, ujenzi wa bwawa umeendana na thamani ya fedha iliyowekwa. Pia soma: Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Pigo kwa ACT - Wazalendo, Katibu Wilaya ya Tunduru, Diwani wa Mchoteka watimkia CCM wakati wa mkutano wa Nchimbi

    Diwani wa Mchoteka kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Seif Dauda pamoja na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Said Mponda na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) Jumatano, Aprili 2, 2025. Tukio hilo limetokea katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
  3. Dr Adam Francis

    Uchama kuelekea uchaguzi 2025

    Mwaka huu, 2025, bila shaka tutapiga kura kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Tayari wanasiasa wengi wakongwe na wanaoibuka wameshaanza harakati za kusaka bahati yao kuifikia nchi ya ahadi iliyojaa mishahara mikubwa, maposho makubwa, mafao manono, sifa...
  4. Nipe Maji

    PreGE2025 Mchengerwa: Sitaki kusikia changamoto ya dawa hospitali ya Utete, Rufiji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amesema hataki kusikia tena kuhusu changamoto ya upatikanaji wa dawa katika Hospitali ya Utete na kumtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Hamis Abdallah, kuhakikisha anashughulikia tatizo hilo ili wananchi waendelee kupata huduma bora...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Zitto Kabwe: Kwa chaguzi tatu mfululizo thamani ya kura imepotea, tumechapwa kibao kikali sana cha usoni

    "Kwa chaguzi tatu mfululizo thamani ya kura imepotea. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hakukuwa na kura, takribani wagombea wote wa upinzani walienguliwa. Mwaka 2020 tuliona kwa mara ya kwanza kura feki zikizagaa hovyo barabarani. Mwaka 2024 wakafanya kama mwaka 2020" "Matumaini yote tuliyokuwa...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Wakala wa Vipimo nchini (WMA) washukuru Rais Samia kwa kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya kazi pamoja na kutoa stahiki za kifedha

    Wakala wa Vipimo nchini WMA umeandaa Iftar kwa lengo la maombi na Dua ya ufunguzi wa jengo jipya la ofisi baada ya kukamilika kwa ujenzi wake Jijini Dodoma. Iftar hiyo iliwakuwakutanisha wadau mbalimbali, watumishi wa Ofisi hiyo, Viongozi wa Dini na Viongozi wa serikali. Akizungumza kwa niaba...
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Musoma: REA yatoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA, wananchi waomba huduma hiyo ifike maeneo yote ambayo bado hajafikiwa

    Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu. Hayo yamejiri wakati Wataalam wa REA walipofika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kutumia fursa ya miradi ya REA...
  8. Nipe Maji

    DAWASA yapokea maombi zaidi ya elfu nne kutoka kwa wananchi wanaohitaji kuunganishiwa huduma ya maji

    Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepokea maombi ya maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa maeneo ya Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni Wilayani Ilala waliojitokeza kuomba huduma ya Majisafi baada ya kukamilika kwa mradi wa Usambazaji maji Dar...
  9. Nipe Maji

    PreGE2025 Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya, Saranga jijini Dar es Salaam wachangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege

    Wananchi wa Mtaa wa Mji Mpya eneo la kwa Mzungu kata ya Saranga jijini Dar es Salaam wameonesha kwa vitendo umoja wao kwa kuchangishana pesa na kujenga kipande cha barabara kwa kiwango cha zege ili kupunguza adha waliyokua wakiipata kutokana na ubovu wa njia hiyo hasa kipindi cha mvua. Barabara...
  10. Just Pray

    Kampuni za ujenzi barabara za mwendokasi zaomba kuongezewa muda wa kukamilisha mradi huo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, leo Jumatano Machi 26, 2025, ameongoza kikao muhimu kati ya viongozi wa serikali na viongozi wakuu wa kampuni za wakandarasi zinazotekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Nne (BRT4), madaraja pamoja na barabara nyingine...
  11. Nipe Maji

    PreGE2025 Baba Levo na kampeni ya mama hana deni, Bilioni 56 zatolewa kukamilisha mradi wa umwagiliaji Iringa

    Kampeni ya Mama Hana Deni inayoongozwa na Msanii na Mtangazaji Baba levo imefika kwenye mradi mkubwa na wa kisasa wa Umwagiliaji Mkoani Iringa na kushuhudia namna ambavyo maji yanasafilishwa kwa zaidi ya kilometa 20 kuyafuata mashamba ya mpunga ya Wananchi wakulima Mkoani humo. Zamani wakulima...
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 Wananchi walalamikia kutokushirikishwa kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo

    Wananchi wa Kata ya Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara, wamelalamikia kutoshirikishwa katika kuibua na kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya elimu na afya hivyo kushindwa kusimamia uwajibikaji na kulinda miundombinu ya miradi hiyo inayogharimu mamilioni ya fedha za umma. Wananchi hao...
  13. Nipe Maji

    PreGE2025 RC Sendiga afanya ziara kukagua miradi ya maendeleo Hanang'

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Hanang', ambapo ameshuhudia uchimbaji wa kisima katika Kijiji cha Endasworld, kata ya Gitting. Kisima hicho ni miongoni mwa visima 25 vinavyochimbwa kwa ushirikiano kati ya...
  14. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Eric Shigongo atoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa zaidi ya tani mbili za sukari kwenye misikiti iliyopo katika Jimbo la Buchosa ikiwa ni sehemu ya sadaka kwa waumini wa dini ya Kiislamu wanaoendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Sukari hiyo imegawanywa na Katibu wa Mbunge, Julias Butogwa...
  15. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya siasa ya CCM Kibiti yakagua miradi ya maji ya RUWASA ikihusisha visima 900 vya Mama, kwani mama anatoa hela mfukoni mwake?

    Wakuu Wananchi Wilayani Kibiti Mkoani Pwani Wametakiwa kuilinda vyema miradi ya maji ya wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira vijijini RUWASA waliyojengewa na Serikali ili iweze Kudumu na kuwanufaisha wengine na kuwa endelevu kwa kuitumia vizazi na vizazi. Wito huo umetolewa na Kamati ya...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Katibu wa BAVICHA Mtaa wa Msasani, Tunduma 'No Reforms No Election' ina mpango wa kuipendelea team Lissu

    Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu. Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Naibu Waziri Mipango na Uwekezaji: Maswa tutampa kura za kishindo Rais Samia

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo, amesema hana wasiwasi kuhusu ushindani katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, akiamini kuwa maendeleo yaliyotekelezwa jimboni kwake yanampa nafasi kubwa ya...
  18. Nipe Maji

    PreGE2025 Damas Ndumbaro: Mama Samia Legal Aid imewafikia wananchi zaidi ya milioni mbili

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imefika katika mikoa 23, ambapo imesikiliza na kutatua kero na changamoto za Wananchi ambapo mpaka sasa takribani wananchi milioni mbili, laki moja na tisini na mbili, mia tatu...
  19. Just Pray

    Kitila Mkumbo: Soko la kimataifa EACLC Ubungo watakaopangishwa asilimia 95 ni watanzania

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa serikali inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali na ndani ya Tanzania, huku akisisitiza kuwa Watanzania ndio wanaofaidika zaidi na uwekezaji huo...
  20. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri wa madini: Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni ianze utekelezaji wake mara moja

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta manufaa kwa taifa kwa ujumla na kutimiza azma ya Serikali kutoa leseni hizo. Mavunde ametoa maagizo...
Back
Top Bottom