kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipe Maji

    PreGE2025 REA yakamilisha miradi ya umeme vijiji 5,259

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Mhandisi Hassan Said ametangaza kukamilika kwa miradi minne mikubwa ya umeme inayolenga kuleta nishati katika vijiji 5,259, ikijumuisha vijiji 4,071 na vitongoji 188, katika awamu ya tatu, mzunguko wa pili. Miradi hii ni sehemu ya juhudi za...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  3. Just Pray

    PreGE2025 Amos Makalla: Vyama viko vingi vitashiriki uchaguzi, sio lazima CHADEMA

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kuwa uchaguzi utafanyika hata bila ushiriki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwani vyama vingine vingi vimeshajipanga kushiriki. Akizungumza kwenye mkutano wa...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Heche: CHADEMA ikishika dola itakuwa ni mwisho wa vijana kufanya betting, tutabadilisha maisha yenu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuiunga mkono CHADEMA katika mchakato na dhamira yake ya kuiletea nchi maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Heche ameyasema hayo hivi karibuni katika Jimbo la...
  5. Nipe Maji

    PreGE2025 Mbarali: Serikali imekamilisha mradi wa maji wa Ruduga Mawindi kwa shilingi bilioni 5.2

    Serikali kupitia Mfuko wa Taifa wa Maji ( NWF) imekamilisha kwa asilimia 100 mradi wa maji wa Ruduga Mawindi uliopo wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa gharama ya shilingi bilioni 5.2. Kwa sasa mradi huo unahudumia vijiji sita ambavyo awali wananchi wake walikuwa wanatumia maji ya mto Ruaha...
  6. Nipe Maji

    PreGE2025 Kigoma: CCM yawatembeza mabalozi mia sita wa serikali za mitaa kukagua miradi ya maendeleo

    Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma Ujiji wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika mji wa Kigoma ili kujionea maendeleo ya miradi hiyo. Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Cde. Christopher Palangyo...
  7. Nipe Maji

    PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaishauri TEMESA kuongeza kasi ya usimamizi mradi wa kivuko kipya mafia nyamisati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeishauri TEMESA kuhakikisha inaongeza kasi ya kusimamia mkandarasi anaetekeleza mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia Nyamisati ili umalizike haraka na wananchi waweze kupata huduma ya kivuko. Akizungumza mara baada ya kupokea taarifa...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Stephen Wasira: CHADEMA hawana hoja ya msingi kuzuia uchaguzi, mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Machi 27, 2025 katika...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Ado Shaibu: Tukikaa kimya CHADEMA ikiumizwa, tutafuata sisi ACT

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakiwezi kunyamaza kimya endapo CHADEMA itakandamizwa, kikisisitiza mshikamano wake na chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika wilayani Kilwa, mkoani Lindi, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 UVCCM Kagera wachangisha Shilingi Millioni 12 kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa huo. Ikiwemo mradi wa fremu za biashara uliopo katika soko la CCM Zam Zam. Kupata...
  11. Nipe Maji

    PreGE2025 Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kata ya Bangala wilayani Same watatuliwa changamoto ya ukosefu wa maji safi iliyodumu kwa miaka 20

    Wakazi zaidi ya 300 wa kitongoji cha Makei, kijiji cha Bangalala kata ya Bangala wilayani Same wameondokana na changamoto ya ukosefu wa maji safi hali ambayo imewatesa kwa muda zaidi ya miaka 20, hali hii inakuja baada ya Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kutekeleza...
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 Mwenyekiti Halmashauri ya Nachingwea ataja Miundombinu duni kuwa chanzo cha ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Tarehe 20 Machi, Adnan Mpyagila, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea, amefanya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi wa shule za sekondari. Ameangalia ujenzi wa Shule ya Sekondari Kata Mtua ,Kata Chiumbati, Rugwa Boys (mabweni), Shule ya Kata ya Nachingwea, na Shule ya Naipanga Sekondari...
  13. Nipe Maji

    PreGE2025 Mbunge Ushetu: Wazazi na walezi wekezeni kwenye elimu ya watoto ili kuandaa watumishi wa baadaye watakaolisaidia taifa

    Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
  14. Nipe Maji

    PreGE2025 DC Makete azindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 416

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Gwakisa Kasongwa amezindua mradi wa maji uliopo chini ya wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) katika kijiji cha Ipepo wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 416. Kasongwa amezindua mradi huo Machi 25, 2025 katika kijiji hicho na...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Makonda: Rais Samia ametuma timu ya wanasheria kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma timu ya wanasheria watakaokuwa Mkoani Arusha kwa siku kumi kuanzia Ijumaa Machi 28, 2025 kwaajili ya kusikiliza na kutatua migogoro ya kisheria kwa wananchi wa wilaya zote zinazounda Mkoa wa Arusha. Akimshukuru Rais Samia...
  16. Just Pray

    PreGE2025 Mohammed Kawaida azindua Hostel na fremu 73 ambazo ni vitega uchumi vya UVCCM

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM Mikoa yote na Wilaya zote Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo jana March 24, 2025 Mkoani Singida alipofanya ziara ya kufungua vitega uchumi vya UVCCM ikiwemo fremu 73 za...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Mchengerwa atoa miezi miwili barabara za tarura ikwiriri zikamilike

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Leopold Runji, kuhakikisha wakandarasi wanakamilisha ujenzi wa barabara za lami Ikwiriri ndani ya miezi miwili ili wananchi wanufaike na maboresho...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Bilioni 60 zatumika kukamilisha ujenzi barabara ya Iringa - Kilolo

    Msimamizi wa Barabara ya Iringa Kilolo Injinia Salumu Mwinuka amesema kuwa marekebisho yaliyotumika kukamilisha mradi wa barabara hiyo ya Iringa Kilolo ni zaidi ya Bilioni 60 kuanzia matengenezo hayo yalivyoanza hadi lkufikia hivi sasa ambapo mradi huo umebakiza asilimia chache kukamilika...
  19. Just Pray

    PreGE2025 Arusha: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali yaridhishwa kukamilika mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira

    Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Jiji la...
  20. Just Pray

    PreGE2025 Shigongo: Tunajenga feri yenye uwezo wa kubeba abiria 800 Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema serikali inakamilisha ujenzi wa kivuko kilichogharimu shilingi bilioni nane, chenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 800 na magari zaidi ya 20 kwa mara moja, kwa ajili ya kusaidia kurahisisha usafiri katika Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema...
Back
Top Bottom