Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.
"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe...
Licha ya serikali kuboresha huduma ya maji safi hadi vijijini, wananchi wa Buchosa wameiomba serikali kupunguza gharama ya kuunganishiwa maji majumbani, wakisema kuwa ni kubwa na imekuwa kikwazo kwa wengi kumudu huduma hiyo muhimu.
Malalamiko hayo yaliibuka wakati wa mkutano wa hadhara...
"Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA"
"Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
Usiku wa Aprili 07,2025, Wananchi wa kijiji cha Msanga kata ya Mitesa, Jimbo la Lulindi Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wameuzuia nsafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche, ambao ulikuwa unatoka kwenye mkutano Newala mjini kuelekea Masasi wakimataka azungumze neno
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Students Organisation - CHASO),Leonce Martin amewaita wanachama wa kundi la G55 kuwa ni waasi ndani ya chama, akidai kuwa kundi hilo halina nia njema na mama chama.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar...
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Singida, Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Kishoa...
Viongozi wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Tabora na Kanda Ya Magharibi wakiwemo watia nia wa Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali wametoa msimamo wao kuhusiana na kuibuka kwa kundi ndani ya Chama hicho La G-55 na Kusadiki kusema Kuwa hilo linakiuka misimamo na maazimio...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mhe.George Mkuchika amekabihi pikipiki Saba zenye Thamani ya Shilingi Mil.22 kwa kikundi cha waendesha pikipiki (bodaboda) Itumbiko kilichopo Wilayani Kakonko ikiwa ni Fedha za mkopo Asilimia Kumi unaotolewa na Halmashauri kwa Wanawake, Vijana...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka Watanzania na viongozi wa kisiasa kuwa na tafakuri ya kina kuhusu namna bora ya kushiriki mchakato wa...
TAARIFA KWA UMΜΑ
Uongozi wa Kanda ya Kaskazini unawataarifu wanachama na umma kwa ujumla kuwa, viongozi wote wa Kanda hii ambao wanadaiwa kuweka saini kwenye waraka (petition) wataitwa kwa haraka ili;
1. Kuthibitisha kama kweli saini zilizowekwa ni zao, na kama walihusika moja kwa moja kwenye...
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.
Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka...
Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira.
Kauli hiyo ameitoa Aprili 5, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbambabay, wilayani Nyasa, alipokuwa ziarani mkoani...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Baadhi ya wananchi mkoani Morogoro wamewaasa wananchi wenzao kuwa makini na baadhi ya viongozi wa kisiasa ambao wanatumia mgongo wa siasa kumbe ni wanaharakati.
Wakizungumza na JAMBO TV wananchi hao Ismail Rashidi, Ally Mtoela na Salumu Majaliwa wamesema kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Geita kimekemea baadhi ya wanachama wake ambao wanaendesha kampeni za chini chini kabla ya wakati jambo ambalo linakiuka katiba ya chama
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Nicholaus Kasendamila amesema hayo akiwa kijiji cha Nyankanga kata ya Nyamalimbe wilayani...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani.
Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel...
Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi zinazotekelezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.