kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Barabara ya Talian kuelekea miti mirefu,Chanika Buyuni ni hatarishi

    Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa siku akatoa kifusi, hajarudisha na hakuna kinachoendelea. Tunaomba TARURA, waje waiangalie na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lack of professionalism among the Ferry Officers

    Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sultani wa Zanzibar alikaa Tanganyika kwa siku 5 kabla ya kuelekea Uingereza kwa hifadhi ya kisiasa

    SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid. TOKA MAKTABA: AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni kero

    Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali. Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndo tathimini kuelekea January 22 katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

    Ukweli ni kwamba Mbowe atashinda. Si kwasababu anakubalika sana na WanaCHADEMA hapana, ila ni kwasababu mirija ya chakula ya wajumbe walio wengi imefungamanishwa naye. Hivyo akishindwa kula yao ita-stop abruptly. CHADEMA ya sasa ipo chini ya Mbowe na washirika wake. Lissu atashindwa uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Kuelekea mwaka 2025, achana na ubahili achana na uchoyo, achana na roho mbaya

    Nataka niwasaidie wana-JF Kuelekea mwaka 2025 , hakikisha mambo yafutayo unayazingatia Sana na kuyalinda with all costs . Jiepushe na uchoyo - usimnyime mtu kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako, mfano unaona sehemu kuna nafasi ya Kazi usisite kumshtua MTU unayemjua akaenda Ku-cover hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Picha zinazotafakarisha kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya taifa

    Ukifuatilia hizi picha kwa umakini unaweza kuona mambo mengi ambayo yanaweza kutokea hapo baadae
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CHADEMA wateta na Balozi wa Norway kuhusu mfumo wa uchaguzi na demokrasia. Waifikisha 'No Reform No Election'

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu, akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA, Mhe. John Heche, Mhe. Amani Golugwa, na Mhe. Godbless Lema, walikutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe. Tine Tonnes, katika makazi ya balozi Oysterbay, Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  10. JamiiForums Tanzania Wajumbe MMK Chadema kuwa Mabilionea kuelekea January 21

    Napenda niwaoenyezee tu... Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961. Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995. Mikakati ya kumchomoa Mbowe sio ya kitoto huko Clubhouse na whatsap groups, Bahati nzuri sana ni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya Mbowe na Lissu imeongeza umaarufu wa CHADEMA kuelekea uchaguzi Kwa haraka sana!

    Hellow! Naona CHADEMA imeamua kutumia njia hii ya propaganda Ili kusababisha iteke tena mijadala yote kisiasa na vinywa vya watz baada ya kuepuka kifo Awamu ya Magu. CHADEMA imefanikiwa Kwa wiki hizi chache kurudisha umaarufu wao haraka kuelekea uchaguzi. Na propaganda hii inaenda...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea dakika ya tisini: "Maoni ya wanachama yasiposikilizwa, CHADEMA njiani kulia na kusaga meno!"

    Haya si maneno yangu: Yaliwakuta NCCR ya Marando, yakawakuta CUF ya Lipumba na sasa siyo siri, bundi katua chama pendwa. Kwamba ilihitaji kufunga kumwombea mwenyekiti hekima ya mfalme Suleiman aache kuvutaniana mtoto? Looh! Kwani yakitokea huko kwingine nani hakuyaona? Kama ilivyo kwa...
  13. JamiiForums Tanzania VITUO: Mbezi kuelekea mlandizi

    Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maendeleo Kaskazini: Barabara ya kuelekea South Sudan yakamilika!

    Mradii huu unajengwa kutumia loan ya $1 Billion kutoka WB ambapo nusu yake iko Kenya. Tazama video inayoonyesha ujenzi umekamilika hadi mpakani mwa South Sudan.. https://www.youtube.com/watch?v=VePxxyObwWw
  15. JamiiForums Tanzania Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. 📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Masaa 48 ya Mbowe kuamua hatma na uelekeo wa chadema kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Ni wazi kauli ya mbowe inayosubiriwa kwa hamu na gamu kubwa sana na wana chadema na taifa kwa ujumla, atakayoitoa mbele ya waandishi wa habari, ndani ya masaa 48 yajayo, itaamua mustakabali, uelekeo na myukano wa kisiasa wa aina ya kitofauti mno ndani ya chadema kuelekea uchaguzi wa ndani ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtego unaowakabili chama cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa 2025

    Hello! Natumai mu wazima! Nchi ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ni yetu sote watanzania ila kitu kibaya kuna baadhi ya kundi dogo la watu kuona nchi hii ya Tanzania inapaswa kuwa mali yao binafsi. Hilo ni kosa kubwa kwa chama tawala kudhani wao ndio wanapaswa kutawala nchi hii miaka yote...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upepo wa kisiasa unavuma upinzani, je hii ni ishara njema kwa chama tawala kuelekea 2025?

    Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko. Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025? Nini sababu ya chama tawala kupoteza ushawishi katika kipindi hiki kifupi? Je ni mbinu hafifu za kisiasa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi, maoni yangu ni haya

    Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:- 1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement. - Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la usafiri mikoa ya Kaskazini kuelekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya

    Habari ya wikiend wadau.. Naona tatizo la usafiri kila ikikaribia mwisho wa mwaka bado linaendelea kuzoeleka na kuonekana kawaida. Leo nimejaribu kufanya booking kwa bus kampuni zaidi ya tatu naona zote ziko booked mpaka wiki ijayo nafasi zimejaa. Lakini kuna watu wanalangua ticket kwa bei ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…