Sijui naota au ni kweli? Nmeyapata kijiweni kwetu pale kizimkaZi Wana wanasema yupo mjomba angu atagombea na historia itaandikwa TU YAKUWA mbunge wa kwanza kutoka chama Cha Ubwabwa Tanzania atatokea kizimkazi.
SALUMU MWALIMU ataje hata MJUMBE Mmoja wa nyumba kumi kutoka chama Cha democrasia na...
Kuna wabunge walio Kaa madarakani, Muda MREFU TETESI zina vuma Samia anataka wapigwe chini kwenye kura za MAONI Ili baada ya uchaguzi wapangiwe ubalozi nje ya nchi lakini majimbo Yao wawape wakina MREMA wa chauma na wenzake.
Ombi litaletwa kwenye mkutano Mkuu baadhia ya wabunge wajiuzuru...
Wananchi wakiwa katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha leo Jumatano Mei 28, 2025.
Chama hicho leo kimeanza operesheni ya No reforms, no election katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini inayojumuisha mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara kunadi...
Kama kawaida Chadema ilianza kwa Sala za Mashehe na Maaskofu ili kuweka Ulinzi wa Mungu.
Pichani ni Baba Askofu Mwamakula akiondoa nuksi Jukwaani
Baada ya Dua kishindo cha Elimu kikaendelea
Baada viwanja kujaa kupita kiasi wananchi wakajiongeza na kuparamia mapaa ya nyumba za Wazalendo...
Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge.
Pia, Soma
Mmoja ya waasisi wa CHAUMMA, Eugene Kabendera aachana na ubwabwa wa Rungwe, asema Chama...
Ukitaka kujua tunawakilishwa na wachumia tumbo waliojaa unga kichwani, subiri Rais Samia akiamka vizuri na kukemea vitendo vya utekaji na kuagiza vyombo vya usalama vinawakamata wanaotekeleza vitendo hivyo uone jinsi sinema itakavyobadilika.
Kila mbunge, waziri, kiongozi wa CCM, na chawa...
Mwili wa Sheikh Jabir Haidar Al Farsi umekutwa usiku wa kuamkia leo, Jumatano Mei 28, 2025, katika eneo la Bumbwisudi akiwa tayari amefariki dunia. Taarifa za awali zinaeleza kuwa huenda marehemu alishambuliwa na watu wasiojulikana, ingawa pikipiki aina ya Vespa aliyokuwa akiitumia ilikutwa...
Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amesema kuwa maoni yaliyotolewa na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti za Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hayawakilishi msimamo rasmi wa BUNGE
Aidha, Spika Tulia amesema maoni hayo yalionesha viashiria vya ukiukwaji wa Kanuni za...
Msanii wa Kenya Bien alipata nafasi ya kufanya mahojiano katika kipindi cha Breakfast Club Power New York, Marekani, ambapo aliongea mambo mbalimbali ikiwepo hali ya siasa nchini Kenya.
Amesema pia kumekuwa na matukio mengi ya utekaji, akisema kumekuwa na uhuru wa kujieleza lakini si uhuru...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho.
Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakikuundwa ili kuwa chama cha muda bali kiliundwa ili kuwa chama cha kudumu
Akizungumza leo Mei, 28 2025 wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma...
Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema;
"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa...
Wakuu!
Amka! Pesa za walipa Kodi zinatolewa kama 'kifuta jasho' cha Burudani. Rais Samia, Mwinyi wagawa bahasha kwa Mrisho Mpoto baada ya kutumbuiza kwenye shughuli ya CCM huko Dodoma.
Soma: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?
Kuna vitu vingine vinafanywa na serikali na CCM na serikali yake hadi vinatia aibu. Kila mtu anajua wakati wa uchaguzi wa Chadema Lissu Vs Mbowe, serikali na CCM walifanya kila wawezalo ili Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa Chadema, ikashindikana.
Kisha wakaanza kuwatumia wafuasi wa Mbowe ndani...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameeleza kuwa yanayotokea sasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kilitokea kwao pia mwaka 2019, wakati Msajili wa Vyama vya siasa alipokataa Uteuzi wa Maalim Seif na viongozi wengine waliokuwa wameteuliwa na Halmashauri...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.
Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
(Sehemu ya Pili – Mapendekezo ya Maboresho ya Kimuundo na Kiutendaji)
1. Uteuzi wa Viongozi wa INEC
Kwa sasa, Rais ndiye mwenye mamlaka ya kuteua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, na Makamishna wa Tume. Hii inaleta wasiwasi kuhusu uhuru wa Tume, hasa ikizingatiwa kuwa Rais ni kiongozi wa chama...
Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson ametumia mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Askofu Immanuel Lazaro kuwataka Watanzania kuliombea Taifa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili viongozi wapatikane kwa...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Ndugu Othman Masoud Othman amesema amesikitishwa na kauli za baadhi ya Wabunge dhidi ya wanaharakati kutoka Kenya na Uganda kuhamasisha matumizi ya nguvu za dola dhidi yao.
Akitolea mfano wa Mbunge wa Pandani Ndugu...