Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema asubuhi hii (leo, Jumatatu Septemba 23, 2024) amefuatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi nyumbani kwake, na kuelezwa kuwa anahitajika kuripoti kwa RCO wa mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo amesema yuko tayari kwenda kuitikia wito huo...