kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Dkt. Nchimbi achangisha Tsh. Bilioni 1.7 ujenzi Ofisi ya CCM mkoa wa Singida

    BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 1.7B UJENZI OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo...
  2. PreGE2025 Wasira: Hatuwezi shindana na nusu CHADEMA, Ikulu wataiona kwenye Runinga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa mgawanyiko ndani ya CHADEMA unazidi kudhoofisha nafasi ya chama hicho kushindana na CCM katika uchaguzi ujao, akisisitiza kuwa hadi sasa hakuna chama mbadala chenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani...
  3. PreGE2025 Aliyepinga Rais Samia kupitishwa Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM afukuzwa uanachama

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho. Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga...
  4. W

    PreGE2025 Mzee Wasira anadai Mwita Waitara alikuwa akiwatumia vijana wa Tarime kufanya fujo

    Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
  5. PreGE2025 Serikali kugawa mitungi ya gesi kwa sharti la kutoa namba ya nida ni mkakati wa kupata kura feki 2025?

    Wakuu, Majuzi kuna mdau aliweka uzi kuhusu mitungi ya gesi kugaiwa kwa masharti ya kutoa namba ya nida - Nzega, Tabora: Mtaani kwetu kuna watu wanapita Kila kaya wanagawa mitungi ya gesi, Sharti lao uwape namba yako ya NIDA Tunajua taarifa za nida zinatumika sehemu nyingi ikiwepo na kwenye...
  6. PreGE2025 Uhuru wa Habari: Gazeti la Nipashe Februari 8 kuhusu ARV kuanza kuuzwa halikufika mtaani, kama walikuwa na ushahidi shida ilikuwa wapi?

    Wakuu, Asubuhi ya Jumamosi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa aliweka pandiko kwenye account yake ya Insta iliweka lebo kwenye gazeti la Nipashe "SIO KWELI (MISINFORMATION)" na kuongeza maelezo kuwa; PUUZENI UPOTOSHAJI HUU WA TAARIFA ZA DAWA ZA KUFUBAZA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV). Dawa haziuzwi...
  7. J

    PreGE2025 Kama Tundu Lissu atafikisha Ruzuku majimboni kama alivyoahidi kwenye kampeni basi CCM iuzingatie Ushauri wa Kikwete kuwa " Hakunaga Adui Mdogo"

    Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito mkubwa kauli za Mzee Kikwete Tundu Antipas Lisu Mwenyekiti Mpya wa Chadema aliahidi atashusha Ruzuku...
  8. PreGE2025 CCM Iringa: Watiania wanaojipitisha majimboni kabla ya muda waambieni tutawafyeka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa vijijini kupitia kwa Katibu wake Sure Mwasanguti wametoa onyo kali na la mwisho kwa baadhi ya watia Nia wa nafasi ya Udiwani na Ubunge wanaojipitisha katika Kata na Majimbo na kujitangaza na kuomba ushawishi kwa wajumbe kabla ya muda kutangazwa...
  9. Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

    Sasa rasmi familia ya JPM itadhibiti siasa za Geita na Chato kwa miaka kadhaa ijayo. Nguli wa siasa za Afrika Mashariki kaweka mkono wake.
  10. PreGE2025 ACT, CHADEMA, CHAUMMA, CUF na NCCR- Mageuzi kufanya mazungumzo ya kuungana ili kuikabili CCM

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
  11. PreGE2025 Wasira: CHADEMA wakitaka kufanya fujo wanachukua vijana kutoka Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya vurugu katika maeneo mbalimbali. Soma: Wasira: Watanzania hawana sababu ya kuichagua CHADEMA Amesema CCM inamipango...
  12. PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inanadi sera zake sio matusi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano katika kuhakikisha kinaheshimu utu wa watu na kufanya kazi kwa kufuata misingi yake. Soma: Dkt...
  13. PreGE2025 DC Muheza akabidhi Pikipiki 10 kwa UVCCM Tanga, ahamasisha Ushindi wa CCM

    Mkuu wa Wilaya ya Muheza, Zainab Abdallah ametoa pikipiki kwa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Tanga ili zitumike na Vijana kusikiliza na kutatua kero za Vijana, kusemea kazi nzuri zinazo fanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan lakini pia zitumike kuhamasisha zoezi...
  14. W

    PreGE2025 Mwana FA asema atagombea tena ubunge wa jimbo la Muheza

    Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge wa Jimbo la Muheza katika mwaka huu wa Uchaguzi 2025 ili kuendelea kuwaletea Maendeleo Wananchi wa...
  15. PreGE2025 CCM Ruvuma waandamana kuunga mkono uteuzi wa Dkt. Samia, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwinyi

    Wakuu Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa CCM Taifa ambalo liliwachagua na kuwapitisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Jamhuri...
  16. PreGE2025 Katibu Mkuu ACT Wazalendo: Rais Samia alituhadaa na falsafa yake ya maridhiano kutupotezea muda

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan alitumia njia ya maridhiano kuwapa upofu kwa muda wapinzani ili aweze kujipanga kukabiliana nao. “Kumbe Mheshimwa Rais alikuwa anatuhadaa kwa hiyo Rais akataka kwanza awe na kipindi cha kutokusumbuliwa ili aweze...
  17. PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: CCM tunafanya siasa za ustaarabu na maendeleo

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho hakina sababu ya kutumia lugha ya kebehi na matusi kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi uliofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Balozi Dkt. Nchimbi ametoa kauli hiyo jijini...
  18. PreGE2025 Josephat Gwajima karibu CHADEMA tuijenge nchi

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima. Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu unafanywa na na viongozi wa ccm ni kwa sababu upo CCM. Na wewe ni msema kweli, kiasili ww hauwezi...
  19. PreGE2025 Kupita bila kupingwa kunapenyezwa taratibu na CCM, tutashtuka ya 2020 yakijirudia tena

    Wakuu, Kama mmeona sasa hivi upande wa CCM kila wakifanya mkutano kiongozi husika anapotishwa bila kupingwa kienyeji ama anaombewa kisayansi kupitishwa bila kupigwa! Ilianza kwa Samia na Mwinyi, Diwani akataka Silaa apitishwa bila kupingwa, Rufiji nao wakampitisha Mchengerwa bila kupingwa na...
  20. PreGE2025 Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Doto Biteko apite bila kupingwa nafasi ya ubunge ndani ya CCM, kwenye udiwani tutapambana

    Wakuu, Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo:BearLaugh::BearLaugh: anasema eti amekuja kuona utekelezaji wa Irani ya CCM na mbunge ametende kweli kweli na kwamba hana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…