Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
Hapa naileta kama swali, hii dhana na kauli mbiu ya Samia Mitano Tena, kufuatia ile the spirit ya 2025, "twende na mwanamke" , hatuendi na mwanamke kwasababu ya jinsia yake ya kike, tunakwenda na mwanamke kwasababu ya uwezo wa...