kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    GE2025 Ukweli usiopingika, miaka mitano ya Samia alikuwa anatembelea nyota ya Magufuli, hii mitano ya kwake ndiyo tutajua uhalisia wake

    Waswahili wana msemo akiutaka mpe,yeye ndiye atakayejua. Hakuna asiyejua Magufuri alifanya mambo makubwa sana ambayo hatukuwahi kuyashuhudia maishani mwetu Tanzania ilipaa na kusifika kila mahali,alipofariki Samia aririthi kiti chake na kuendeleza yale ya Magufuri ndiyo maana kulikuwa na...
  2. ChoiceVariable

    GE2025 Mpina: Wasiishie kumpa mama matumaini tu bali wajiandae na kumpa pole baada ya ACT kuingia Ikulu

    Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo My Take Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na...
  3. W

    SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume amemuita Polepole ni msaliti na mnafiki mkubwa

    Wakuu hii ni kweli ?
  4. JamiiCheck

    Je, wajua kuwa Akili Unde (AI) inaweza kutumika kuwafanya watu kupuuza mchakato wa uchaguzi katika mataifa yao?

    Mdau, Je, wajua kuwa Akili Unde (AI) inaweza kutumika kuwafanya watu kupuuza mchakato wa uchaguzi katika mataifa yao? Mwezi Januari 2024, maelfu ya wanachama wa chama cha Democratic nchini Marekani, katika jimbo la New Hampshire, walipokea simu ya roboti (robocall) yenye sauti inayofanana...
  5. JamiiCheck

    Video na picha za kughushi zinazotengenezwa kwa teknolojia ya (AI) zinaweza kuwapotosha wapiga kura na kudhoofisha imani katika mchakato wa uchaguzi

    Licha ya faida zitokanazo na teknolojia hii katika uchaguzi lakini pia moja ya athari inayoweza kusababishwa na teknolojia ya akili unde ni uwezekano wa kuenea kwa taarifa potoshi. Video na sauti za kughushi (Deepfake) zinazotengenezwa kwa Akili unde zinaweza kutumika kuwapotosha wapiga kura na...
  6. mshale21

    GE2025 CCM Simiyu yamtupa nje Luhaga Mpina kuwania ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  7. Mindyou

    GE2025 Waziri Ulega: Nikishindwa Ubunge Mkuranga haitotawalika

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi Mkoa huko Pwani. Kuna namna huko Pwwani vita ya madaraka imekuwa kubwa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Jessica Mshama: CCM inajivunia kuwaamini vijana katika uongozi

    Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Jessica Mshama, amesema kuwa CCM inatambua na kuthamini uwezo wa vijana katika uongozi na ndiyo maana imekuwa mstari wa mbele kuwapa nafasi za juu za kiuongozi. Akizungumza katika...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 ZEC: Vyama Visivyosaini Maadili ya Uchaguzi Havitaruhusiwa Kufanya Kampeni

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema kuwa chama chochote cha siasa kitakachoshindwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi hakitaruhusiwa kufanya kampeni, ingawa kitapewa fursa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  10. Idugunde

    GE2025 CCM haipo mioyoni mwa Watanzania kama ilivyo CHADEMA. Hata kama itashinda uchaguzi ni sababu ya mikakati wanayoitumia kila chaguzi

    Tembelea vijiwe vyote, iwe ni baa, kwa mama ntilie, kwa wavuvi hata kwq mafundi viatu utapata huu ukweli. CCM haikubaliki, kila kundi la watanzania haliridhiki na namna CCM inqvyowatumikia tangu tumepata uhuru. Watu hawana uhakika hata wa mlo mmoja! Kundi la machawa na wanaCCM wachache ndio...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto Kabwe: Polisi tendeni haki, mimi ndiye Rais ajaye

    “Hawa polisi wajue kitu kimoja, wewe unaweza kuwa OCD leo, mimi leo naweza kuwa Mbunge napiga maneno tu, au mwingine akawa Mbunge, lakini kesho mimi ndiye Rais – ndiye ninateua IGP, ndiye ninayeamua pensheni zenu. Polisi wekeni akiba,” amesema Zitto amesisitiza kuwa CCM haitadumu madarakani...
  12. K

    GE2025 Baruani Muhuza na wenzake kumng'oa Ngenda, Kigoma mjini

    Baadhi ya watia niya katika jimbo la kigoma mjini kutoka kushoto ni mwandishi wa habari Nguli Baruani Muhuza,Dr.Maulidi Kikondo na Mr.John wakiwa katika picha ya pamoja wamekusudia kumng'oa Mbunge wa jimbo hilo Mheshimiwa Ngenda Shaban Kirumbe.
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Steve Nyerere: Vijana maarufu jitathimini kwanza kabla ya kutangaza kugombea

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu kama Steve Nyerere, ameonya kuhusu wimbi la vijana maarufu – hususan kutoka mitandao ya kijamii na burudani – kujitokeza kuchukua fomu za kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, akisema...
  14. L

    GE2025 Itakuwa ni aibu, fedheha na chukizo mbele za Mwenyezi Mungu kwa Mtanzania yeyote ambaye hatampigia Kura ya Ndio Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Natambua na kuelewa ya kuwa Ni kweli huwezi kuungwa mkono na kila mtu, ni kweli huwezi kupendwa na kila mtu,ni kweli huwezi kukubalika kwa kila mtu ,ni kweli huwezi kuwafurahisha watu wote,ni kweli huwezi kuwaridhisha mioyo yao watu wote. Hata ungewafanyia wema gani...
  15. B

    GE2025 Saikolojia ya Wananchi na Nchi kwa Ujumla ni kama hawautaki Uchaguzi wa Mwaka huu. Umedoda sana. Umekosa amsha amsha

    Mwezi kama huu Mwezi Julai, pangekuwa Patashika Nguo Kuchanika. Kwa mliokuwa hai mwaka 2015 na 2020, harakati za uchaguzi zilioesha shamla shamla kiasi kwamba wananchi wanasahau shida zao angalau kwa kipindi kifupi. Mpaka inafika julai kila.mwananchi ameshatafuta kichinjio, kiparata au...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwalimu: CCM wameua zao la karafuu Pemba na kusababisha kudhoofisha msingi wa kiuchumi wa wakazi

    “Mungu alikuwa na kusudi lake kuipatia Pemba karafuu. Na kusudi hilo lilionekana miaka ya 70 na 80, utajiri wa watu wa Pemba ulivyotokana na karafuu. CCM walipoona watu wa Pemba wanafaidi na kujitegemea kiuchumi, wakaanza kulifisidi zao la karafuu,” aMEsema Mwalimu. Amedai kuwa hatua hiyo ya...
  17. Waufukweni

    GE2025 Polisi: Hatujapokea barua ya ACT kuhusu Watia Nia wa Ubunge na Udiwani kutakiwa kutoa taarifa zao kwa Jeshi la Polisi

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu madai ya Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo kwamba wamemwandikia barua Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini kutokana na madai ya Viongozi wao kuwa wametakiwa kuwasilisha taarifa na majina ya watia nia ya kugombea ubunge na udiwani kwa Jeshi la...
  18. Waufukweni

    GE2025 Ameir Hassan: Nikichaguliwa Rais, mtapokea mshahara wa TSh 500,000 kila mwezi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia Makini Taifa, Ameir Hassan Ameir, amesema kuwa endapo wananchi wa Zanzibar watampa ridhaa ya kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika uchaguzi ujao, atahakikisha kila mwananchi wa Zanzibar anapokea mshahara wa shilingi 500,000 za...
  19. R

    PreGE2025 Video ya Mtia nia Ubunge CCM Mvomero, Burton Mwemba (Mwijaku) akigalagala chini akimshukuru Rais Samia

    Wakuu, Nimekutana na hii uko mtandaoni, sidhani mtu kama huyu ikitokea akapewa uongozi akaweza kuleta mabadiliko au maendeleo yoyote kwa wananchi, kwanza video hii itakupa maswali, Je yupo sawa kiakili? Akiwa kiongozi basi hata wananchi wataambiwa wasujudu Soma pia: Pre GE2025 - Special...
  20. Waufukweni

    GE2025 John Heche: CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola

    Wakuu! Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akizungumza Julai 9, 2025 kwenye uzinduzi wa CHADEMA Family Musoma Mjini amesema "CCM wamefuta Mikutano yetu kinyume na Haki kupitia Vyombo vya Dola" == Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ameongoza uzinduzi wa Chadema Family katika...
Back
Top Bottom