kudhibiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwambukusi apendekeza CAG apewe mamlaka ya kuchukua hatua ili kudhibiti madudu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko ya kimfumo, ripoti za CAG zitaendelea kuwa kelele zisizo na matokeo. Akizungumza na televisheni ya...
  2. U

    Mkurugenzi Mkuu idara ya kudhibiti ugaidi aliyejiuzulu majuzi anachunguzwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri

    25min ago FBI investigating if top counterterrrorism official who resigned leaked classified info By AP FILE - Joe Kent, then-director of the US National Counterterrorism Center, speaks during a congressional debate at KATU studios, October 7, 2024, in Portland, Oregon. (AP Photo/Jenny Kane...
  3. W

    Wadau wataka hatua zichukuliwe kudhibiti 'kubet': Tutazalisha matapeli wa kitaifa

  4. F

    KERO NEMC Imeshindwa Kudhibiti Kelele za Makanisa na Misikiti

    Ni wazi kuwa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kulinda mazingira na ustawi wa wananchi. Moja ya mifano ya wazi ni kushindwa kabisa kudhibiti kelele zisizokuwa na ulazima zinazotoka kwenye makanisa na misikiti, hasa katika...
  5. Wauguzi MOI wapatiwa mafunzo ya kudhibiti msongo wa mawazo

    Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajengea uwezo wa kutambua, kuepukana na kudhibiti msongo wa mawazo unaotokana na mazingira yao ya kazi pamoja na changamoto za kijamii wanazokutana nazo majumbani. Mafunzo hayo yamenyika leo...
  6. Pongezi Serikali kudhibiti maandamano, ila msibweteke! Panapo fuka moshi, chini kuna moto. Gen Z wetu wana hoja, wasikilizwe!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili Utangulizi, Hii ni makala muendelezo wa makala ya wiki iliyopita kuhamasisha GenZii wasiandamane ile October 9 Thread 'Wito kwa Gen Z wetu: Disemba 9 tusiandamane, kuandamana bila malengo ni ukichaa. Serikali, tafadhali...
  7. H

    PostGE2025 Kutokana na ukatili mkubwa unaodaiwa kufanywa na Wazanzibari kwa Watanganyika, Sheria kali ziwekwe kudhibiti uingiaji wa Wazanzibari Tanganyika

    Kila mahali wapo mashuhuda waliowaona na kuwasikia wauaji wakisema wazi kuwa eti walikuwa wanafanya hayo mauaji kulipiza kisadi kwa Watanganyika, kwa sababu polisi wa Tanganyika waliwaua Wazanzibari miaka ya huko nyuma. Kama hali ni hiyo, na kama hawa watu wana chuki za kisasi kwa Watanganyika...
  8. Njia liyotumika kudhibiti panya road nchini hiyohiyo itumike kudhibiti maandamano

    Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo. So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
  9. GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

    Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju. Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake kwa hivyo...
  10. TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

    SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria kwa jamii ya wakazi wanaoishi jirani na hifadhi ya taifa kisiwa cha Rubondo. Mradi huo ni sehemu ya makundi matatu ya miradi ambayo inahusisha...
  11. JWTZ ilipelekwa Congo, Comoro kudhibiti Utekaji na Mauaji dhidi ya Wakongo, Leo WATANZANIA Wanaotekwa, Wanauawa, Rasimali zao zinaibwa, JWTZ kimya?

    Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia. Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo. Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
  12. W

    SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  13. Fahamu kuhusu Tofali Smart. Tuwasiliane ili uboreshe biashara yako

    Je, una biashara ya tofali za block? Unapata changamoto hizi? Kupoteza kumbukumbu za uzalishaji Kutojua stock zilizopo Ugumu wa kuhesabu gharama na faida Kukosa ripoti za haraka na sahihi Suluhisho ni TOFALISMART System Mfumo huu unakusaidia: Kusajili na kufuatilia aina zote za tofali...
  14. L

    Wajibu wa Mamlaka kudhibiti uhalifu wa vikundi vinavyojifanya Washirika wa CCM na kuumiza watu

    Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo chake.
  15. Z

    Pongezi kwa TCRA kwa kudhibiti wimbi la matapeli kwa njia ya mtandao.

    Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu. na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa. Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana. Mwendo huohuo.
  16. Polisi wamiminika kudhibiti maandamano ya Saba Saba

    Barabara zote kuu zinazoelekea jijini Nairobi zimefungwa leo huku hali ya usalama ikimarishwa katika maeneo mbalimbali ya mji, kufuatia maandamano yanayotarajiwa katika maadhimisho ya kumbukumbu ya Saba Saba. Kulingana na BBC, polisi wameweka vizuizi katika maeneo muhimu, wakizuia magari ya...
  17. TRUMP Atumia Jeshi kudhibiti maandamano !

    Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
  18. Kuanzishwe kampeni ya kudhibiti lugha chafu kwenye mabanda ya mpira

    Sijui kuhusu maeneo mengine ya nchi ila kwa Dar nimepitia kwenye mabanda mengi hali ni mbaya sana.Lugha ya matusi imekuwa kama sehemu ya kusheherekea mchezo.Mbaya zaidi unakuta hapo ndani kuna uwepo wa Watoto pia.Ni wakati sasa Jamii ikumbushwe kuwa ushabiki wa mpira si kwa ajili ya kundi fulani...
  19. Mwalimu Nyerere: Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi, mkiwa na uoga, 'I promise you' mtatawaliwa na dictators

    Wakuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatukumbusha kujenga utamaduni wa kudhibiti viongozi kama wanavunja sheria ya nchi, anasema tukiogopa, tutatawaliwa na viongozi madikteta. "Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi. Tusiogope mkiwa na uoga, 'i promise...
  20. K

    PreGE2025 Ili kudhibiti uhalifu, uanzishwe mfumo wa National Recognition System wenye kutunza DNA na fingerprint za watu wote

    Kwako Rais wa JMT, Waziri wa mambo ya ndani, Baada ya kutafakari kwa kina kama mtanzania ni kitu gani kifanyike ili kudhibiti uhalifu katika maeneo mbalimbali, Nashauri serikali iunde chombo mahususi chini ya wizara ya mambo ya ndani kitakachokuwa kinatumia mfumo wa NATIONAL RECOGNITION SYSTEM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…