kudai

Kudai are a Latin Grammy Award-nominated Chilean pop group that was founded in Santiago, Chile. Its original members were Tomás Manzi, Pablo Holman, Nicole Natalino and Bárbara Sepúlveda Labra. In 2006 Nicole Natalino left the group citing personal reasons, and was replaced by Ecuadorian Gabriela Villalba for three years. They released five albums in Latin America: Vuelo in 2004, Sobrevive in 2006, Nadha in 2008, Laberinto in 2019 and Revuelo in 2021.
With their debut single, Sin Despertar, which reached #15 at the Billboard Hot Latin Tracks, they received strong radio airplay in all of the Hispanic world. Sin Despertar was included in their album Vuelo, which was a worldwide success, reaching 3x Platinum status in Chile, Platinum status in Mexico, and selling over 500,000 copies worldwide.
They are well known for hit songs, such as Sin Despertar, Ya Nada Queda, Escapar, Déjame Gritar, Llévame, Tal Vez, Lejos De Aquí and Morir De Amor.
They also performed the theme song for Quiero Mis Quinces, a show for MTV Latinoamérica. "Quiero Mis Quinces" was also a hit in Mexico, reaching #7 there.
In November 2016, the band confirmed their return to the scenes with the original members.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuhodhi vuguvugu la kudai Katiba kana kwamba mahitaji ni yao pekee yanadhoofisha upatikanaji wa Katiba Mpya

    Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu. Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote. Kwanini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe, waalimu, wakulima na wavuvi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tuungane kuidai ni haki yetu

    Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo. Walisema umoja ni nguvu. Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote. Wako CCM, NCCR, CHADEMA, nk na wengine hata vyama hawana. Shughuli hii inahitaji watu, tena...
  5. JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  6. JamiiForums Tanzania TANU Tanga wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika: Dua ya ushindi wa kura tatu Nnyanjani 1958

    TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958 Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992. Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Mwigulu kudai VAR kisa bao la Chama, hii ni kauli ya Ofisa Habari wa Simba

    Mara baada ya Simba kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, bao ambao lilizua utata kutokana na baadhi kuamini kabla ya tukio hilo kulitokea Meddie Kagere kuwa offside kisha Clatous Chama kufunga, kuna maoni mengi yalitolewa. Sehemu ya maoni hayo yalitolewa pia na Waziri wa Fedha...
  8. JamiiForums Tanzania Bidhaa zipi hazihitaji kutoa na kudai risiti?

    Je kuuza kipande kimoja Cha sabuni nitoe risiti na mnunuI adai risiti?
  9. JamiiForums Tanzania 1950 Machifu wa Kinyakyusa walienda Uingereza kudai uhuru!

    Nawakumbusha 1950's Machifu wa Kinyakyusa Walienda Uingereza Kudai Uhuru wa Nchi yao ya REPUBLIC OF SOUTHERN Highlands walikaa Mbele ni Kutoka Kushoto Chief Mwangobola, Chifu Mwansansu, Chief Mwanempazi, Walio kaa Nyuma Kutoa Kulia ni Chief Mwakalindile, Chief Mwakasonda na Chief Aniagile Chief...
  10. JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa Watanzania kudai katiba mpya, wasipodai taifa lao litaibiwa kama shamba la bibi.

    Katiba mpya itazuia mapungufu ya kila aina ambayo yanasabisha hili taifa kuibiwa na kuporwa kama shamba la bibi. Katiba mpya itawapa wananchi nguvu ya kuzuia, kurekekebisha na kukataa uovu wa kila namna ndani ya taifa lao. Mfano kukaataa na kupinga utawala unaokumbatia ufisadi kwa kuzuia au...
  11. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe si muumini wa kudai katiba mpya, ACT wote mnaona sawa?

    Niulize swali hili ni kwa wanachama wote wa ACT-wazalendo wenye mawazo mema na taifa hili kama taasisi, hivi ni kweli mnakubaliana na ulaghai wa anakifanya bosi wenu? Yaani vyama vyote vikubwa vya upinzani vinataka mchakato wa katiba mpya lakini Zitto Kabwe anaamini tume huru ya uchaguzi ndio...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya kudai Katiba Mpya wazinduliwa

    Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani. Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine. Mkakati mpya kudai Katiba Watu ambao hawakuwahi kukemea ndivyo sivyo za tume ya uchaguzi, polisi dhidi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Lindi wacharuka wadai haki kwa Vitendo

    Hii clip inajieleza: Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu. Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane! Haki ni zetu sisi. Heshimuni matakwa ya watu.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa

    Haki ya maoni ni haki ya kikatiba. Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo. Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Pamoja na mapungufu yake kwa kutoa maoni yake, hili la watu...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

    Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini. Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima. Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu...
  17. JamiiForums Tanzania Wadau badilisheni mbinu ya kudai Katiba Mpya

    Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
  18. JamiiForums Tanzania Bi. Titi Mohamed alipozungumza Tononoka Mombasa kudai Jomo Kenyatta atolewe kifungoni

  19. JamiiForums Tanzania DR-Congo: Raia waandamana kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa ya Kinshasa ambapo waliharibu sanamu ya Rais Felix Tshisekedi Maandamano hayo yamekuja baada ya...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa @ChelseaFC, @MichaelEssien kushuka kiwango

    Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango. Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji Arnold Mensah Elavanyo katika kipindi cha Vibes in 5, alisema kwamba alishusha kiwango cha Essien...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…