kudai

Kudai are a Latin Grammy Award-nominated Chilean pop group that was founded in Santiago, Chile. Its original members were Tomás Manzi, Pablo Holman, Nicole Natalino and Bárbara Sepúlveda Labra. In 2006 Nicole Natalino left the group citing personal reasons, and was replaced by Ecuadorian Gabriela Villalba for three years. They released five albums in Latin America: Vuelo in 2004, Sobrevive in 2006, Nadha in 2008, Laberinto in 2019 and Revuelo in 2021.
With their debut single, Sin Despertar, which reached #15 at the Billboard Hot Latin Tracks, they received strong radio airplay in all of the Hispanic world. Sin Despertar was included in their album Vuelo, which was a worldwide success, reaching 3x Platinum status in Chile, Platinum status in Mexico, and selling over 500,000 copies worldwide.
They are well known for hit songs, such as Sin Despertar, Ya Nada Queda, Escapar, Déjame Gritar, Llévame, Tal Vez, Lejos De Aquí and Morir De Amor.
They also performed the theme song for Quiero Mis Quinces, a show for MTV Latinoamérica. "Quiero Mis Quinces" was also a hit in Mexico, reaching #7 there.
In November 2016, the band confirmed their return to the scenes with the original members.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Jihan unaonyesha watanzania wanaweza kuungana kwa pamoja kufanya jambo. Wanashindwa nini kutumia sauti hio kubwa kudai mabadiliko.

    Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa, Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa. Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja. Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona. Lakini...
  2. JamiiForums Tanzania VIJANA KUIPENDA TANZANIA NI PAMOJA NA KUDAI TANZANIA YENYE HAKI

    Uzuri wa nchi haupimwi kwa mataji inayoshinda, vivutio vya utalii inavyovimiliki, wala sifa inazopata kimataifa pekee. Nchi hupimwa pia kwa namna inavyowalinda wananchi wake, inavyosimamia rasilimali zao na inavyowajibika mbele ya watu wake. Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali; mzazi anayetaka na kudai matunzo ya mtoto asikae na Mtoto. Full stop!

    SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama. Huruma sio malezi. Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa. Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
  4. JamiiForums Tanzania Maandamano ni desturi ya kudai mabadiliko katika baadhi ya mataifa duniani, lakini Africa Mashariki imekua ni kichochea cha ghasia, uharibifu na maafa

    Kama mdau wa JF katika jukwaa hili huru la siasa, Unadhani changamoto kubwa ni nini hasa, hata maandamano katika eneo la maziwa makuu na zaidi sana Africa Mashariki, kua na sura ya ushari zaidi, lakini pia kukosa kua na faida wala kuleta matokeo yoyote yale chanya kulingana na malengo, na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Ado Shaibu: Sitaogopa Binadamu, nitaendeleaza mapambano ya kudai haki

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, ameapa kutoogopa vitisho vyovyote na kuendelea kupigania haki za wananchi wake. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi, mbunge huyo aliwahutubia wale wanaokandamiza haki, polisi wanaonyanyasa raia...
  7. JamiiForums Tanzania Roboti waandamana Warsaw kudai Udhibiti wa Akili Mnemba

    Takriban roboti 30 wameandamana katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, wakipeperusha bendera na kuimba kaulimbiu nje ya Wizara ya Masuala ya Kidijitali. Maandamano hayo yameandaliwa na kundi la Democratism kwa lengo la kuibua mjadala kuhusu athari za Akili Mnemba na matumizi ya roboti katika soko la...
  8. JamiiForums Tanzania Afande Sele: Viongozi wanachochea wananchi kuzidi kudai katiba mpya

    https://www.instagram.com/reel/Dc8IZBMs-gw/?stkn=bmR4OHhueTUyZWFy
  9. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la kudai Tanganyika huru linanukia?

    Harakati za Tanganyika kujitenga na Zanzibar zinasukumwa na malalamiko ya kisiasa na kiuchumi kuhusu muundo wa sasa wa Muungano wa serikali mbili. Wanaounga mkono vuguvugu hili wanahoji kuwa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika imepoteza utambulisho wake wa kikatiba, jina, na nembo za taifa, tofauti...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Machozi, Matunzo na Sheria: Unachopaswa Kujua Kabla ya Kudai Fidia kwa Kulea Mtoto "Usiyemzaa" (almaarufu wa kusingiziwa)

    Katika jamii zetu, moja ya mambo yanayoumiza sana kihisia na kuleta migogoro mikubwa kwenye familia ni pale mzazi anapogundua (au anapodai kugundua) kuwa mtoto aliyemlea na kumgharamia kwa miaka mingi, kumbe si wake kibaolojia. Katika nyakati hizo ngumu zenye mchanganyiko wa hasira na maumivu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sungusungu Chamazi wanakuja kudai fedha usiku bila vitambulisho

    Kikundi cha watu kilichojitambulisha kuwa ni Sungu Sungu wa Chamazi Msufini kinadaiwa kuwafuata wananchi usiku wa manane kudai fedha za ulinzi bila kuwa na vitambulisho wala barua kutoka kwa mamlaka husika. Wanadaiwa kufika wakiwa zaidi ya watu 10, wakiwa na marungu, kugonga milango ya wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Mawakili wa TID kufungua kesi kudai fidia ya 500ml kutoka Bar ya Kitambaa Cheupe kwa kumchafulia jina

    Mwanamuziki wa Bongofleva, T.I.D (Khalid Mohamed), kupitia ofisi ya mawakili wake wanaomsimamia masuala yake yote ya kisheria, ametoa notisi ya siku saba (7) akiidai Bar ya Kitambaa Cheupe, kupitia Mkurugenzi wake Jessica Kikumbi, kulipa fidia ya Sh500 milioni. Katika notisi hiyo, T.I.D pia...
  13. JamiiForums Tanzania Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

    Link hii hapa ifuatie mwenyewe:- https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Anko Shamte kudai mali walizochuma na Mtalaka wake

    Kama mnavyojua Anko amepewa talaka 3 na tayari washatengana na Mama. Nataarifiwa anakusudia kupeleka shauri mahakaman ili kupata hako ya mali walizochuma na mtalaka wake.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna namna gani nzuri ya kudai mishahara inapocheleshwa

    Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na NUSU sasa na hatoi sababu.
  16. JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kudai Boss alipe Mishahara

    Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu. Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine nao wakifanya anawadhurumu . Trend huwa ipo ivyo Leo tumekaa kupanga jinsi gani Tu deal na BOSS ila...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Tunatenga hela nyingi ya 10% lakini Wakusanyaji wetu hawana utaalamu kukusanya madeni, wanaenda kudai wanarudi na mkaa na kuku

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma wakati akichangia hoja leo Aprili 15, 2026 Bungeni, ameitaka serikali kuzingatia ukusanyaji wa madeni wa mikopo ya asilimia 10% kwenye Halmashauri kwa kuajiri vikundi au vijana wasomi wenye ujuzi huo ambapo kwa sasa kazi hiyo inasimamiwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania wote wapenda HAKI na amani ni muda sasa wa kuamka kudai kuachiliwa kwa Lissu tena kwa nguvu zote na mamlaka kutwambia yuko wapi Polepole

    Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October...
  19. JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu

    Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu
  20. G

    JamiiForums Tanzania Naenda kudai mtoto wangu kwenye ndoa ya mtu

    Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…