✅JE UNAHITAJI KUCHIMBA KISIMA CHA KISASA CHA MAJI SAFI NA SALAMA KAMA UKO DAR ES SALAAM TUMEKUPA PICHA TU YA WATER TABLE IKO MITA NGAPI KWA MAENEO TULIYOCHIMBA VISIMA
Feri_ kigamboni mita 50
Kisota _Kigamboni mita 70
Geza_Kigamboni mita 70
Dege_Kigamboni mita 60
Mbutu kichangani_Kigamboni...
Tuelimishane kuhusu uchimbaji wa kisima cha kisasa na hatua zake borehole drilling
✅hatua ya kwanza ni ufanyaji wa utafiti geophysical investigation hatua hii ni kupima eneo husika kama kuna mikondo ya maji sio kila sehemu kuna mkondo wa maji ambao ni endelevu hapa wataam watakuja na vifaa...
Ni sahihi kuchimba kisima cha maji kipindi cha mvua?
Sikuwa na mpango wa kukichimba muda huu, lakini mtu anayelihudumia shamba langu kwa sasa kaniambia anaweza kukichimba kwa bei nafuu hadi ayakute maji. Nilipomwambia kuwa visima vianvyochimbwa nyakati za mvua zinaweza kuishiwa maji wakati wa...
Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza Barabara na ya migodini, ikiwemo Wheel loader, Excavator, Bull dozer (mashine ya kipekee ambayo ukiwa Dar...
Huduma zetu!
KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI.
KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO.
KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA.
KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI.
0759600809
Gerezani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.