kuchimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu na kulipua mawe kutumia baruti eneo la Kijiji cha Nyangomango kitongoji Nyaruhama kata Usagara

    Eneo hili Kuna uharibifu mkubwa wa mazingira kwa uchimbaji molamu na kulipua mawe kwa kutumia baruti ambazo zinatoa mlipuko kama bomu.Wakazi wa maeneo haya mwaka jana 2025 walilalamika kwenye ofisibza NEMC mkoa wa Mwanza na wakazuia mhusika kuendelea kuchimba badala yake afukie hili shimo...
  2. aise

    Anayehitaji kazi ya kuchimba msingi Unguja nicheki

    Kama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki 0624254690 Kazi ni kesho kuchimba msingi! Malipo 30,000 Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana. Eneo ni karibu na Fuoni kituo Cha Polisi
  3. D

    Spika Zungu aipongeza DAWASA kuchimba visima Ilala

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa maagizo ya Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso ya kuongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji kwa uchimbaji wa visima virefu vya maji vitakavyo uunganishwa katika mtandao wa Mamlaka. Lengo ni kusaidia...
  4. T

    KERO Wakazi wa Nyegezi (Mtaa wa Mpambije Street na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji

    Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
  5. Hance Mtanashati

    Mnakumbuka kuna mtu aliahidi atanunua mashine za kuchimba makaburi?

    Mnakumbuka Wanu aliahidi atanunua mashine za kuchimba makaburi? Ninadhani mtakuwa mumemuelewa sasa. Asiyejua maana haambiwi maana.
  6. meningitis

    Makampuni ya Wazawa yaliyopewa kazi ya kuchimba makaa ya mawe na NDC

    By Jacob Maganga WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwa wachimbaji wazawa katika Mradi wa mchuchuma baina ya Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na Makampuni Matano ya wazawa yaliyoshinda...
  7. MamaSamia2025

    Mliomnyima kitalu cha kuchimba dhahabu Kigwangala mnasababisha atokwe na mapovu sana... sio sawa..

    Kigwangalah should learn to MOVE ON... He is not the only citizen who deserves to be a minister. Hata Lucas Mwashambwa anaweza kuteuliwa na rais kuwa mbunge na akawa waziri siku hiyohiyo. Ile ni nafasi ya kisiasa tu haina uzito kama ukatibu mkuu wa wizara. Huyu jomba kila siku anatoa kilio kwa...
  8. Bushmamy

    Rombo; Kilimanjaro Baba aua mtoto wake na Kisha kuchimba shimo na kumfukia

    Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku. Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya...
  9. A

    KERO Uuzaji holela wa eneo la kijiji unaosababisha Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu kata Usagara, kijiji Nyangomango, kitongoji Nyaruhama

    Kuna tatizo linaendelea hapa kata ya usagara,kijiji Nyangomango,kitongoji Nyaruhama. Kuna uchimbaji wa molamu katika makazi ya watu na mbaya zaidi lipo shimo lefu sana ambalo limetokana na uchimbaji wa hyo molamu hii ni hatari na watu wanaoishi maeneo haya hasa watoto hasa kipindi cha mvua maji...
  10. S

    Nauza eneo lipo Homboza Msanga Zalala eneo unaweza kujenga au kuchimba mchanga ni tambalale

    Habari viongozi nina eneo lipo omboza msanga zalala ni eka mbili eneo ni mali yangu halali halina shida yoyote eneo ni tambalale kabisa naitaji million13 kwa eka zote mbili nipigie simu 0794454720
  11. R

    Hivi ushawahi jiuliza kwa nini taasisi za Bank tunaziamini kutuwekea/hifadhia mahela yetu, ila huduma ndogo tu kama kuchimba dawa hawawezi kukupatia!?

    Hallo wana JF!? Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP wao!? Kingine, kinachoniudhi, ni pale unaweza ukawa upo Bank, unapigiwa na mtu ambaye mnataka ku...
  12. B

    Serikali itupie jicho mkata hotelini yanaposimama magari ya abiria kwa ajili ya chakula na" kuchimba dawa"

    Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
  13. upupu255

    Wazazi na Walezi Mtwara wajitolea kuchimba Msingi kwa Ujenzi wa uzio Shule ya Sekondari Chuno

    Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela. Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
  14. Right Marker

    Acheni kuchimba mashimo na kuyaacha wazi kwa muda mrefu.

    📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
  15. L

    Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Wadau Salaam. Shida yangu natafuta mdau mwenye ujuzi wa kuchimba almasi nitafute inbox WhatsApp
  16. Mindyou

    Kampuni ya Noble Helium yachagua maeneo matatu ya kwanza ya kuchimba kwenye Mradi wake wa North Rukwa

    Noble Helium imetangaza kuchagua maeneo matatu ya kwanza kwa uchimbaji katika Mradi wa North Rukwa ikiwa ni hatua muhimu katika kuchunguza uwepo wa gesi kwenye maeneo yenye kina kifupi. Maeneo haya yaliyochaguliwa ni sehemu ya maeneo 10 ambayo yanaonekana kuwa na potential ya uwepo wa gesi...
  17. wa stendi

    Usafi sio kufagia barabara tuu ni pamoja na kufyeka kuchimba mitaro na kurekebisha barabara zenye makorongo

    Kufuatia tamko la mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh. Chalamila kuwa tare 23 vyombo vya ulinzi vitafanya usafi mkoa wa dar salaam mi naona kuwa kwa kuwa hivyi vyombo viko vingi angepanga kwa mafungu kuwa chombo hiki kije na maslesha chombo hiki kije na sururu chombo hiki kije reky na hiki...
  18. MINING GEOLOGY IT

    Uganda Yazidi Kujifunza Jiolojia Yake Katika Mchakato wa Kuchimba Mafuta

    Uganda, nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta katika eneo la Albertine Rift Basin, inaendelea kujifunza na kuboresha uelewa wake wa jiolojia ya eneo hilo wakati wa mchakato wa uchimbaji wa mafuta. Kupitia ushirikiano na kampuni za kimataifa za mafuta na wataalamu wa ndani, serikali ya Uganda...
  19. Mlaleo

    Iran wanaogopa kulipa kisasi, Ayatollah itabidi aishi kwenye Mahandaki kama Sin-war na Nasrallah

    Serikali ya Iran ipo kwenye khofu endapo watajaribu kulipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya kauli ya kibabe ya Netanyahu. vita inaweza kuwa kubwa na Tatizo la Israel huwalenga kwanza Viongozi na Iran haipo tayari kabisa kumpoteza Ayyatollah au aishi kwenye mapango na mahandaki kama mwenzake wa...
  20. M

    Kazi ya Survey na Kuchimba kisima

Back
Top Bottom