Miaka 30 ya bongo flava ni yenu, mnaidhamini nyie ili kuondoa watu wasijadili vitu Fulani, MEFANIKIWA
Dudubaya mnamtumia nyie
Kupiga vita ushoga ni jambo zuri sana , lakini kwenye jambo hilo zuri na nyie mkapenya mkaanza kumtumia dudubaya kwa akili nyingi sana kwasasa upepo umehama,mara basata...