kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali ya Mama Samia inatumia nguvu kubwa kuwaondoa Wamasai Ngorongoro?

    Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia hazikujaribu kuwaondoa. Cha kushangaza awamu hii wanajaribu kwa kila mbinu na hali kuhakikisha kuwa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Zifahamu changamoto za kwenye kilimo zilizo kubwa

    Kilimo ni UTI wa mgongo Kilimo ni maisha Kilimo ni utajiri Kilimo ni chakula. Kilimo ni pesa na utajiri. Kilimo kina faida Pana na kina maelezo mapana ukielezea kiundani ndani. Leo tutatazama changamoto chache na kuu zilizopo kwenye kilimo Kwa watu walio kwenye kilimo tutaelewana na wanao...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wangu, Vita ni kubwa, vijicho ni vingi, kaza moyo twende mbele!

    Maadui wa taifa letu wameongezeka wamekuwa wengi na possibly wamejipanga kwelikweli, lengo ni ukate tamaa, uwaachie Dodo, tena uliachie kwa watu wasio sahihi, waungwana na wazalendo wa ukweli tunasema, wivu wao, na kukosa hoja kwao, Kusisababishe, tukalipelekaa taifa letu kusiko, Vita...
  4. JamiiForums Tanzania Ni huduma ipi inayotolewa na Serikali ndani ya Jamii unaifurahia kwa asilimia kubwa?

    Huduma zinazotolewa na Taasisi,Idara,Mashirika,Wakala na kwingineko. Mimi binafsi katika utafiti wangu mdogo idara ya maji inajitahidi sana kutuma bili kwa wakati. Pamoja na watu wengi kulalamikia bili hizo kuwa zinakuwa na bei kubwa ukilinganisha na matumizi lakini wamepiga hatua kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Inaonekana sehemu kubwa ya teenagers nchini wameingia kipindi cha kufanya ngono na kuanzisha familia, serikali ianze kujipanga kwa madawati mapema.

    Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa kuoana au malalamiko mbalimbali ya mahusaina, mapenzi na ndoa yanayoonekana ni kutoka kwa vijana wenye...
  6. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Dp World waanza kuiletea faida Taifa letu. Tril 1.5 zaokolewa. Tulikuwa tunapata hasara kubwa. 2025 Wapinzani msithubuku kuweka wagombea

    Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo yanakwenda sambamba na Kupungua kwa Muda wa Kusubiri kwa Meli za mizigo ya Kontena
  7. JamiiForums Tanzania Kutoka kuvamia hadi kuvamiwa, hii ni fedheha kubwa kwa Russia Super Power kutegemewa na Iran

    Nchi dhaifu kabisa na nchi ndogo kama Ukraine leo hii ndo ya kuivamia Russia? Nani alitegemea haya kutokea? Kwa hali hii, Irani na nchi zingine zinazoiamini Russia na kuweka matumaini kwake kwamba ataweza kuwalinda, waendelee kuamini hivyo? Kwa namna hii, Bado USA ndiye kiranja wa mataifa...
  8. JamiiForums Tanzania Viashiria 7 kuwa wewe ni mtu wa thamani kubwa

    1.Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwakosea heshima. Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwapandishia sauti. 2. Unaanza kujitokeza na kuondoka katika muda ulioupanga. Watu wanakufahamu kwa umakini wako wa muda. 3. Unaacha kuwahukumu watu kutokana...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi yenye IQ kubwa Duniani

    Countries. Rank Country/Region IQ 1 Hong Kong * 106 2 Japan 106 3 Singapore 106 4 Taiwan * 106 5 China 104 6 South Korea 103 7 Netherlands 101 8 Finland 101 9 Canada 100 10 North Korea 100 11 Luxembourg 100 12 Macao * 100 13...
  10. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mitambo ya uchakataji Mkonge yatajwa kuwa ni chagamoto kubwa kwa wakulima

    Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa watoa sadaka tu: Sadaka ya vitu Ina nguvu kubwa kuliko cash au sadaka za miamala

    Tendo la Kutoa sadaka limefungamanishwa katika Kila selihai ya mwanadamu bila kujali anamuamini au haamini Mungu. Watu wote hutoa sadaka. Tofauti ni mahali wanapotoa na Nia nyuma ya utoaji huo. Ukifuatilia historian ya utoaji sadaka sadaka inayozolewa moja kwa moja kama vitu au huduma...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Yanayoipata chadema sasa yangekuwa na impact kubwa sana endapo tungekuwa na uongozi wa juu wa chama damu changa.

    Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Urusi kuvamia na kuteka Ukraine sio habari ila Ukraine kuvamia kilomita 1,000 ndani Urusi na kuteka ni habari kubwa Sana ya kusisimua

    Tangu mwanzo wa vita wengi walitarajia Urusi kuvamia Ukraine na kuteka yote NDANI Ya muda mfupi Sana Na pengine kumfurusha Zelensky Kama sio kumuangamiza kabisa Lakini Cha ajabu huu ni mwaka wa pili Urusi inapambana na Ukraine Huu ni ushindi mkubwa kwa ukraine Lakini Cha ajabu Leo wamevamia...
  14. JamiiForums Tanzania Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Habari zenu watanzania wenzangu na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Mwaka jana mwezi dec nilibahatika kununua samsung s20+, baada ya kujikunja kwa muda mrefu kutokana na simu niliyokuwa natumia mwanzo(samsung s8) kuharibika betri. Lengo la kuandika uzi huu miezi miwili iliyopita nilipata...
  15. JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zipewe heshima kubwa kwenye ligi, mgao mkubwa

    Wadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na vifurushi ili kuona mechi za Simba na Yanga zinapocheza na timu nyingine au zinapokutana wenyewe. TFF...
  17. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge 19 Kurudi au kutorudi CHADEMA, nini kifanyike?

    Kila tunapokaribia duru za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vuguvugu na joto la siasa linapanda. Kuna suala la wabunge 19 walikuwa CHADEMA na ambao suala lao liko mahakamani. Hawa wabunge walifukuzwa uanachama na Kamati Kuu na kupata baraka za Baraza Kuu baada ya rufaa zao, na kisha suala hilo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
  20. JamiiForums Tanzania Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Japan

    Ni tetemeko la ardhi la ukubwa wa ritcher 7.1, limetokea kusini mwa Japan. Tahadhari ya kutokea Tsunami yatolewa na mamlaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…