kubeti

  1. A

    KERO betPawa wanafanya michezo michafu ya kutotoa fedha kwa Wateja wao

    Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao husika. Ukiwasiliana na Mtandao husika wanasema muamala umefeli umerudi kwenye account yako ya...
  2. mr pipa

    Toka ulivyoanza kubeti Umepoteza kiasi Gani Cha fedha na umepata kiasi Gani mpaka sasa

    Leo baada ya kupunwa na khanji ka laki kangu na kale katimu nikaamua niingie tu site nijue nimeliwa shingapi na kula shingapi ili nifanye maamuzi Nimeanzia kubeti 2019 mpaka kufikia siku ya Leo nimepiga tasmini ya faida na hasara ya huu mchezo Hesabu niliyoipata lost tsh 1,353090/= milion...
  3. O

    MIAKA 2 iliyopita nilijenga nyumba ya MILIONI 50 Kwa kubeti

    Nilianza mwezi WA kwanza 2023 na nilimaliza mwakan2024 mwezi wa9. Nilikuwa nimeplan sitajenga Kwa PESA ya biashara nitajenge Kwa kubeti. Safari ilikuwa ngumu ila nilimaanisha, nilichikua 500k nikaanza kuzungusha na na kuweka material kidogo kidogo , nikiliwa navuta mwezi natupia tena 500k...
  4. Fbn

    Hivi siku hizi Vodacom kwenye M-PESA inatuma matangazo ya michezo ya kubeti

    Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje uwe wa michezo wakati M-PESA sms ni kwa ajili ya jumbe za miamala.
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    Hakuna kampuni ya kubeti matokeo ya uchaguzi?

    Kama ipo nijulisheni kuna chimbo lina odds za uhakika mwezi october. Nataka kusuka mkeka niweke milioni 200. Mkeka nitakaosuka utakuwa hivi Rais - Mama Abdul wa Dp World Mbunge Moro - Abood Mbunge Gairo - Shabiby Mbunge Arusha - Makonda Mbunge Iramba - Mwigulu Mbunge Mtwara mjini - Double...
  6. Waufukweni

    Nchi 6 za Afrika zinazoongoza kwa Kubeti (Maafisa Ubashiri), Tanzania nusu ya watu wake wanacheza Kamari

    Sekta ya michezo ya Kamari barani Afrika inaendelea kukua kwa kasi, ikivutia wawekezaji, wasimamizi wa sheria na watafiti. Ukuaji huu unachangiwa na idadi kubwa ya vijana, upatikanaji wa intaneti na matumizi ya simu janja. Ripoti ya GeoPoll ya Aprili 2025 inaonesha kuwa idadi kubwa ya watu...
  7. Waufukweni

    Mwita Waitara ageuka Mwalimu wa Kubeti Bungeni, adai masuala ya Kubeti yanasomwa Shuleni, atumia mfano wa Simba na Yanga

    Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
  8. M

    Tafiti yakinifu: Asilimia 85 ya watumishi wa umma wanabeti ili kulipa madeni na kujikwamua na maisha magumu

    Ingia maofisini kila jumatatu au kutana nao kwenye vikao vyao na maongezi yao..Utasikia Kachana mmoja tu... Maisha ya watumishi wa umma ni magumu sana na wana mikopo kila kona. Kuanzia kwenye mabenki hadi kausha damu za Uvccm. Sisi Walimu ndio wahanga wakubwa.
  9. Uwesutanzania

    Serikali iongeze umri wa kuanza kubeti (na sisi wenye miaka 14 tupewe nafasi

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+. Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza kamari ambayo katuletea. Maana leo vituo vya habari vya taifa vyote vinahamasisha sasa hii inatunyima...
  10. Hyrax

    Magonjwa Nane (8) yanayoweza kukupata kwa asilimia 98% kama unajihusisha na shughuli za kubeti

    Kama unajihusisha na kubeti mara kwa mara, kuna magonjwa na matatizo ya kiafya ambayo yanaweza kukupata, hasa kutokana na msongo wa mawazo na athari za tabia hii. Baadhi ya magonjwa hayo ni: 1. Msongo wa Mawazo (Stress) na Wasiwasi (Anxiety) Kubeti kunaweza kusababisha wasiwasi mkubwa kuhusu...
  11. issac77

    Wakuu ukamalia sio kazi, Kila siku nawaambia, acheni kubeti!

    Huu uraibu nilidumbukia rasmi mwaka 2016 nikapigwa wee akili ikaja kunikaa sawa mwaka 2021 Niko nyang'anyang'a. Nikasema basi sirudi Tena huko. Hamna tim ambayo siijui, ligi zote zipo kichwani, option zote zipo kichwani lakini vichapo kwenda mbele... Nawashangaa sana vijana wanashupaza shingo...
  12. Mstahiki Mea

    Aua Rafiki zake 14 ili apate hela ya kubeti

    Sararat Rangsiwuthaporn. MWANANMKE mmoja nchini Thailand amehukumiwa kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake 14 kwa kutumia sumu. Mahakama mjini Bangkok ilimpata na hatia Sararat Rangsiwuthaporn (36) ya kuweka sumu kwenye chakula na kinywaji cha...
  13. Edsheraan

    Kubeti sio kazi

    Habari,kubeti imekuwa kazi kuliko kuchimba dhahabu man city kanilaza na viatu itabidi niachane na hii kazi haina faida....... 😡😡😡. NB:Mali yapatikana shambani
  14. Ben-adam

    Nakukumbusha tena, "acha kubeti" mwisho wa betting sio mzuri

    Kijana acha kubeti, amua kuachana na utumwa huo bettingi haitakuacha salama Katika betting sio tu unapoteza pesa bali unapoteza na uwezo wa kufikiri, ubunifu nk Betting inaweza kuathiri sana akili ya mtu, na mara nyingi athari hizi hujikita taratibu, hivyo kuwa ngumu kugundulika mapema. Athari...
  15. Mstahiki Mea

    Maana ya kubeti kistaarabu

    Mara zote kampuni na asasi za Betting industry zimetakiwa kuwakumbusha wateja kubeti kistaarabu , hii nikutokana na ukweli kuwa betting inasabaisha matatizo ya Afya ya akili Kama msongo na addiction. Unachopaswa kuifundisha akili yako nikiwa hakuna utajiri unaotafutwa kwa betting na kuwa betting...
  16. A

    Ushauri kwa vijana: Kubeti siyo kazi

    Vijana wengi wanaishi kwa matumaini yasiyokuwepo. Wanawaza ipo siku watamla mhindi anayechezesha betting. Na imekuwa kawaida sasa hivi vituo vingi vya habari nao kuchezesha michezo ya kubahatisha. Unakuta unaangalia runinga mara kipindi kinakatishwa kwa tangazo au kumtangaza mshindi wa mchezo...
  17. Mstahiki Mea

    Orodha ya kampuni za kubeti Tanzania

    Tasnia ya betting Tanzania imekua Sana kwa Sasa Kuna kampuni za kubeti mtandaoni zaidi ya 30. Hapa nitakuwekea list ya kampuni zote za betting . Tahadhari betting Ni mchezo wa kujifurahisha na sio ajira Wala utajiri. Cheza kwa kiwango ambacho hutaumia endepo utapoteza. Betting inaweza...
  18. G

    Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  19. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba hili la Treni ya SGR kupatwa na Hitilafu za mara kwa mara za Bundi na Ngedere liwekwe katika Michezo ya Kubeti ili tuwe tunapiga Hela

    Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
  20. DELETED ACCOUNT

    Kwenye kubeti, kuna watu wanashindaga hii Perfect 12?

    Binafsi huwa sibeti na siku nikiamua kubeti huwa nataka nishinde mzigo wa maana. Kwa hiyo ama nitaweka pesa nyingi au nitabeti matokeo ambayo siyo mategemeo ya wengi (yenye odds kubwa sana) kama hisia zangu zinaniambia hivyo. Siku hizi nimetokea kubeti zaidi hii Perfect 12 maana nikiangalia...
Back
Top Bottom