kubali

Ərəb Qubalı (also, Ərəbqubalı, Arab-Kubali, Arabkubaly, Kubali, and Kubalikend) is a village and municipality in the Kurdamir Rayon of Azerbaijan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Funzo: Ukizidiwa kubali yaishe, sio kuanzisha ligi

    Hili ni funzo kubwa sana katika maisha, kama kuna mtu kakuzidi uwezo nyoosha mikono kubali kwamba amebalikiwa. Badala ya kuanzisha ligi naye, jifunze kupitia kwake ili nawe uwe bora zaidi
  2. JamiiForums Tanzania Msichana, kubali kuwa wewe ni M-TAMISEMI, itakupunguzia maumivu kidogo

    Msichana Kubali Tu 😅 Afu weka Mikakati Yako Sawa 🥂 Mtaani kuna mengi yanazungumzwa kuhusu Watumishi wa Umma hasa hawa ndugu zetu wa Ajira Mpya ambao kila siku tunawaona wakilia kuhusu mazingira ya kazi na wengine wakiwemo wale wa Fedha za Kujikimu. Huyu dada Missywear amepost hii kitu huko...
  3. JamiiForums Tanzania Iddi Amin Mama, Kubali Yaishe. Maslahi Ya Nchi Ni Makubwa Kuliko Maslahi Yako Binafsi!

    Iddi Amin Mama, inawezekana you’re in deep denial, lakini ukweli ni kwamba hakuna tena uwezekano wa wewe kuendelea kuongoza hii nchi bila kuzidi kuharibu umoja wake wa kitaifa! Ukubali au usikubali, huna washauri wazuri. Washauri ulionao ni wale wanaokuambia kile wanachodhani unataka kusikia...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha.

    Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha. wenye nchi tumeshasema nani qnabisha ?
  5. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uwanja wa Mkwakwani ulifungwa zaidi ya miezi sita kwa ajili ya Marekebisho huwezi kubali

    Ukiangalia uwanja wa mkwakwani na ukaambiwa umetoka kwenye matengenezo huwezi kubali kwanini Majukwaa ya mashabiki badala ya kuweka viti vya kukunja viko vilevile na hayana paa Pembeni mwa uwanja badala ya kuweka nyasi ila kumuwekwa kokoto Surface ya uwanja mbovu bado ina-mabondemabonde- nyasi...
  6. JamiiForums Tanzania Kama haupotezi marafiki kubali kuwa haukui na haujitambui

    Mtu anayejitambua huwa hawi na marafiki walewale muda mrefu ni nadra Marafiki huja na kuondoka kutokana na hali iliyopo kipi mnashirikisha Rafiki akija shukuru na akiamua kuondoka shukuru Watu wanaojitambua hawana marafiki wa muda mrefu, hawa ni rahisi kuwa maadui na mara hupenda kubadilisha...
  7. JamiiForums Tanzania Kukubali kuliwa na Panya ndio ujinga

    "Usijiite mjinga hadi pale panya atakapokushinda akili na kukula ukiwa hai. Kufikia hatua hiyo, hautakua na haja ya kuuliza "wewe ni mjinga au sio". 😂😂"— Alloyce, P.R.
  8. JamiiForums Tanzania Kubali Umekataliwa Maisha Yaendelee

    Kkkm
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo maisha yalivyo kubali kataa

    Ukifika polini/mbugani utaona Simba wakiwala swala ili waishi japo swala nao Wana taka kuishi ila Wana kula majani amabayo nayo Yana taka kuishi Ukienda baharini utakuta samaki wakubwa Wana Wala samaki wadogo ili waishi japo samaki wadogo nao wanataka kuishi na wanakula wadudu wa baharini na...
  10. JamiiForums Tanzania POV: Kama hauko dimbani, itumie siasa kama burudani ila utakapo kubali ikufanye chombo chake utasambaratika na wala haitakukumbuka.

    Siasa ni unafiki in general ila Siasa za kiafrika ni ushetani overall. Ushetani mtupu usiojali utu. Siasa ni mchezo in general ila siasa za kiafrika ni vita overall. Vita ya kulinda kiti hata kama itahitajika damu kumwagika. Siasa ni wizi wa fikra isiokukubali in general, ukishindwa kuiiba...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyeiti Mbowe kubali yaishe

    Nimesikia mengi toka huku mitaani. Wanakusifu sana jinsi ulivyoongoza CHADEMA kwa muda wa miaka 20 lakini wanakuomba kwa uchaguzi ujao KUBALI YAISHE. Unaombwa kumuachia mwingine naye asimamie na kuongoza Chama. Uchaguzi ujao iwe jua au mvua Lissu anaenda kukushinda. Naomba using'ang'anie...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri : Lisu imetosha kubali yaishe, Jiengue kwenye nafasi ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Wadau ... Nipende kumshauri mpinzani wa kweli na Muumini wa Demokrasia Mh Tundu A. Lisu kuwa ni busara kujiengua mapema kwenye kiini macho kinachosubiriwa cha uchaguzi CDM, watu ambao wanaenda kupiga Kura wanakula , wanalala kwa gharama za Mbowe. Wewe Nani atakupigia Kura japo wanafahamu uwezo...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kada wa CCM Mbeya: Ukivamia mikutano ya CCM umekubaliana na kuumia au kufa, tanapotafuta nafasi roho zetu zinabadilika

    Wakuu, Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni. Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa vyama pinzani walikuwa wamepanga kuvamia mikutano ya CCM na hivyo iwapo vijana hao watavamia...
  14. JamiiForums Tanzania Tujifunze kuwaambia watu tunawakubali, kuliko kuwaiga na kufanya ushindani.

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu..... Tujifunze ku normalize kuwaambia watu kwamba wana tu inspire kwa matendo yao au style ya maisha yao, kuliko kujaribu kuwa kama wao na kuanzisha competition. Binadamu hatupo sawa, kila mtu ana uwezo wake na umahiri wake katika jambo fulani, lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Kubali au ukatae Magufuli angekuwepo mwendokasi mbagala ungekuwa imeshaanza

    Amini usiamini Magufuli angekuwepo sahizi mabasi ya mwendokasi yangekuwa yanapishana Barbara ya mbagala mengine yanaena na mengine yanarudi R.I.P Jembe langu
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha wauwa demokrasia kupewa kubali na ubunge ni ajabu!

    Yaani Dr Bashiru angetakiwa kufukuzwa kazi kwa kuhongo wabunge, kuuwa demokrasia ya nchi na mpaka leo nchi yetu inapata matatizo kwasababu yake
  17. JamiiForums Tanzania Kubali kujifunza, kingereza ni lugha ya kikabila tu

    MAKUBWA! ETI "WHO IS KNOW?" - "NANI ANAJUA?". Ndugu zangu, kuuliza "Nani anajua?", hatusemi "who is know?". Huwa tunasema, "who knows?". Hivyo unapotaka kuuliza, "nani anajua?", wewe sema "who knows?". NI MAKOSA KUSEMA: 1. Who is know? 2. Who is Knowing? MIFANO YA SENTENSI: 1. Who knows to...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika Lupweko, Mimi sina historia iliyo yangu. Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa. Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimpata mpenzi anayekupa hela, siku akikuchoka kubali kuachika siyo unakuwa king'ang'anizi

    Nimekupenda/ kukutamani nimekuvuta kwa hela nawe ukavutika,nikakutunza,nikakutumia vya kutosha mpaka nikawa sioni tena jipya kutoka kwako. Siku nikitaka kubadili ladha,tafadhali usinikatalie maana natumia pesa zangu kuwa enjoy nyie omba omba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…