kubaka

Kubaka Castle (久場嘉城, Kubaka jō, Okinawan: Kubaka Gushiku) is a Ryukyuan gusuku located near the shore of Irie Bay in southern Miyakojima, Okinawa, in former Ueno Village. It is the only castle on Miyako Island where the original castle layout is still visible.

View More On Wikipedia.org
  1. Mashahidi 10 kuhojiwa kesi ya Padri anayedaiwa kubaka mtoto

    Mashahidi hao ni wa upande wa mashtaka kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashitaka (NPS) dhidi ya Padri Sostenes Bahati huku upande wake ukisema utakuwa na ushahidi wa mshitakiwa kutokuwepo eneo la tukio siku ya tukio. Ushahidi huo unaofahamika kama Alibi, unahusisha mshtakiwa kujitetea kuwa alikuwa...
  2. MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

    Mshtakiwa katika kesi ya ubakaji namba 45 ya mwaka 2022, Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Deonis Aropagita katika Jimbo la Moshi, Sostenes Bahati Soka, amesomewa maelezo ya awali. Padri Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, Kilimanjaro leo Jumatatu Oktoba...
  3. Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

    Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo. Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...
  4. UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

    UPDATES: Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro amesomewa mashtaka matatu katika Mahakama mbili tofauti. Padri huyo mwenye miaka 41, amesomeshwa mashataka hayo leo Jumatatu, Septemba 26, 2022 kwa nyakati...
  5. Mzee mwenye miaka 52 afungwa miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 7

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kiteto dhidi ya Charles Lemje mwenye miaka 52, Mkazi wa Kijiji cha Pori Namba Moja mbele ya Hakimu Mosi Sasy. Mshtakiwa alikumbushwa kosa lake na Mwendesha Mashtaka wa Serikali Willfred Mollel kuwa Septemba 23, 2021, alimbaka mwanae wa kufikia...
  6. T

    Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

    Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8. ===== Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi...
  7. Msaada: Jaribio la kubaka

    Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo. Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani. Kesho yake aliachiwa...
  8. Afrika Kusini: Zaidi ya Wanaume 80 Mahakamani kwa Kubaka kundi la Wanawake Wakiwa Local

    Genge la Wanaume 82 wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama ya Afrika Kusini leo wakihusishwa na makosa mbalimbali yakiwemo kuwabaka kundi la Wanawake waliokuwa wanarekodi video ya Muziki katika moja ya migodi nchini humo siku ya Alhamisi Shuhuda wa tukio hilo, lilitotokea huko Krugersdorp...
  9. Cristiano Ronaldo afutiwa kesi ya kutuhumiwa kubaka Nchini Marekani

    Kesi ya kudaiwa kumbaka Kathryn Mayorga iliyokuwa ikimkabili Cristiano Ronaldo Nchini Marekani imefutwa na Jaji Jennifer Dorsey aliyekuwa akiiendesha. Kathryn alidai nyota huyo wa Manchester United alifanya tukio hilo walipokuwa hotelini Las Vegas, Marekani mwaka 2009. Ronaldo alikana na kusema...
  10. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  11. Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Global International School iliyopo Mtaa wa Vijana, Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chacha Magere (26), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kubaka, kuwalawiti na kuwashambulia kwa aibu baadhi ya wanafunzi wake anaowafundisha. Jumla amesomewa...
  12. Arusha: Mtandao wa kuteka, kubaka, kupora wanawake maarufu waanza kudakwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni viongozi wa mtandao wa utekaji, uporaji na ubakaji wa wanawake maarufu jijini hapo. RPC wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watu hao na kuongeza kuna wengine wawili wamekamatwa wakihusishwa na tukio...
  13. Geita: Mwanafamilia abaka na kulawiti watoto wa familia moja

    JESHI la Polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa Kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa la tatu wa familia moja wa Shule ya Msingi Bukori. Wanafunzi hao wameumizwa sehemu zao za siri kiasi cha kushindwa kwenda haja. Kamanda wa...
  14. M

    Binti amenipigia kelele kuwa nataka kumbaka baada ya kutokubali ushawishi wake wa kunitaka kimapenzi

    Salute bosses, leo siku naona imeniendea vibaya, nimepigiwa kelele na binti mmoja kuwa nambaka. Huyu binti alikuja eneo nililokuwa nimetulia zangu najinywea bia zangu. Mara akaanza kuleta mazoea ya haraka, alipoona sina mda nae akaanza kunitolea maneno machafu. Ukizingatia mimi ni mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…