kuapishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  2. Superbug

    Hakuwahi kuapishwa mbele ya anaowaongoza. Awamu zake zote aliapishwa uchochoroni

    Mara ya kwanza aliapishwa baada ya kuokota dodo mchangani. Mara ya pili aliapishwa kwenye uwanja ukubwa wa netball. Rejected.
  3. figganigga

    GE2025 Sikutegemea Katoliki wamuombee Dua Samia kwenye kuapishwa kwake

    Imekuaje Katoliki wamekubali mwaliko wa kwenda kwenye Sherehe za kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan? Halafu wanamuombea Dua yenye nguvu kabisa. Imekuaje? Nnimefarijika Mumetaja mauaji yaliyotikea wakati wa Uchaguzi na mumewaombea Dua.. Yule wa Ummoja wa Wakirisyo hajui hata kama kuna watu...
  4. M

    GE2025 Samia Suluhu Hassan kuapishwa kesho, Novemba 3, 2025 saa 4 asubuhi

    Kutoka BBC | Novemba 2, 2025 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapishwa rasmi Jumatatu Novemba 3 Jijini Dodoma. Kulingana na taarifa ya serikali iliyotangazwa kupitia runinga ya kitaifa ya TBC, sherehe ya uapisho itafanyika katika uwanja wa kijeshi ambapo raia wa kawaida...
  5. Richard

    GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  6. Black Opal

    GE2025 Mgombe wa Urais UDP anasema anasubiri kuapishwa kuwa Rais, huyu naye anatakiwa akasalimiwe

    Mgombea wa Urais UDP anasema ameshamaliza kuoiga kura na anaamini kutokana na uhamasishaji waliofanya basi mapema kabisa anaingia Ikulu. Anatoka mwanamke Samuya, anakuja yeye Saumu. Haya yote yanaendelea wakati maandamano yanazidi kushika kasi na mtandao ukiwa umekatwa nchini Tanzania. Huyu na...
  7. SSH2025_2030

    Mheshimiwa Haji Manara anasubiri kuapishwa tu kama MEYA wa Jiji la Dar es Salaam

    Mstahiki Meya Haji Sunday Manara (2025-2030) karibu City hall
  8. Sky Eclat

    Haikuwa nia yake kugombea baada ya kuapishwa… Utamu wa madaraka na wale wanaotaka alinde maslahi yao

    Nyerere aliwahi kusema kuwa Ikulu siyo pango la walanguzi. Kwa katiba hii tuliyonayo ambayo Rais ndiye Alfa na Omega na kwa Rasilimali tulizobarikiwa Tanganyika ukiwa Rais hata Elon Mask na Jeff Bonzos watakufahamu. Kuna mengi tulipitia ambayo yaliharibu mchakato wa kuandaa watu kwa nafasi za...
  9. Emilio Mzena

    Huyu anasubiria kuapishwa tu

    Wachukua fomu wanaendelea kuchukua fomu kwa kishindo. Huyu anasubiria kuapishwa tu.
  10. Z

    Jaji Mkuu George Masaju baada ya kuapishwa anza na mambo yafuatayo;-

    Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania. Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_ 1. Ondoa uonevu na upendeleo ndani ya muhimili wenyewe, jenga umoja na mshikamano. tenda haki kwa watumishi wote bila upendeleo...
  11. Setfree

    Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

    Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini...
  12. GENTAMYCINE

    Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

    Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa...
  13. Mtoa Taarifa

    Rais mpya wa Msumbiji kuapishwa Januari 15, 2025 licha hali ya machafuko kuendelea nchini humo

    Baraza la Katiba (CC) limetangaza rasmi kuwa Rais Mteule, Daniel Chapo ataapishwa Januari 15, 2025 kuwa Kiongozi wa Taifa hilo, licha ya wito wa Wananchi, Wapinzani na Jumuiya za Kimataifa kudai Uchaguzi uliompa ushindi haukuwa wa Haki, Huru na Uwazi. Ushindi wa Chapo umeibua Mgogoro na Vurugu...
  14. B

    Wanafunzi mlioko Marekani rudini kabla ya Trump kuapishwa.

    Wasiwasi umetanda katika baadhi ya Vyuo Vikuu nchini Marekani huku vingine vikitoa tahadhari kwa Wanafunzi wa Kimataifa kurudi vyuoni kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa nchi hiyo Donald Trump. Kwa mujibu wa Shirika la habari la CNN, Vyuo hivyo vina wasiwasi wa kuwepo kwa marufuku ya safari...
  15. Mindyou

    LGE2024 Tabora: Viongozi wa Serikali za Mitaa waomba Serikali Kuu kuwaongezea posho muda mchache baada ya kuapishwa!

    Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani?
  16. Don Gorgon

    LGE2024 Wenyeviti wateule 106 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuapishwa Kinondoni

    Wenyeviti wa Mitaa wateule 106 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wanaapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye pia ni Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Hanifa Hamza ndiye mgeni rasmi...
  17. G

    Biden kainyima Israel silaha wakubali ku "pause" vita, zimebaki siku 60 Trump kipenzi cha Israel kuapishwa, Vikundi vya Iran vitapata taabu sana

    Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu. Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
  18. R

    PreGE2025 LGE2024 Uchaguzi ni mchakato, kama kujiandikisha, kuteuliwa, na kuapishwa kumekuwa na "madudu" sahau kuwa kesho kuna haki yoyote itatendeka kwa wapinzani

    Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
  19. Mtoa Taarifa

    Baadhi ya Mipango ya Rais Mteule Donald Trump kwa Siku 30 za Kwanza Baada ya Kuapishwa

    Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali, ikiwa ni pamoja na sheria, elimu, uhamiaji, na masuala ya kijamii. Hapa ni baadhi ya mipango aliyoeleza...
  20. B

    Naibu rais mteule wa Kenya Kindiki Kithure kuapishwa kesho. KICC

    #BREAKING: Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC. Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama ya Kuu ya Kerugoya, Kaunti ya Kirinyaga kuzuia kuapishwa kwa Prof. Kithure Kindiki kama Naibu Rais...
Back
Top Bottom